Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Japanese school students are dancing near the Ukrainian Embassy in Tokyo to the Ukrainian song "Stephania" by Kalush Orchestra. In 2022, this song won a Eurovision contest.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kuchezacheza karibu na ubaloz hakuna tija


Waende front wakaongeze nguvu
 
Nchi nyingi za ulaya zimeweka oda ya kununua silaha kwa wingi kutoka kwa Makampuni ya Marekani mfano himars, F-35 n.k ili kujilinda dhidi ya Urusi mfano Poland, Ujerumani, mataifa ya Baltic, Australia, Canada .......huoni faida hapo
Vita vya Ukraine vinakusukuma vipi kuweka order ya F35!? Kuna mahali F35 imetumika na kuwa effective Ukraine!?
 
Putin Ni legend wa kivita, kuanzia Chenchen war 1-2, Georgia, Ukraine1-2.
Magenerali wake Ni malegend was kivita Surovkin, Gerasmov wote wawili nk.
Wachumi wa kirusi Ni malegend pia wa kivita.
Vita ilipoanza wameamua na kufanikiwa kuendana na namna uhasama unavyozidi kuendelea kuanzia mbinu za kivita na namna ya kuhakikisha Russia inazidi kuwa imara kijeshi na kiuchumi.wote tumeshuhudia Russia iliyotabiriwa kuanguka kiuchumi baada ya wiki, Bado ipo . Imesimama ikiwa yenye nguvu zaidi afya zaidi.


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Siamini legend kwa jumla, na hiyo hapa? ???
 
Mgogoro huu na hasa kichapo kwa Ukraine kunapelekea watu humu jukwaani kuwa vichaa. Stress zinawaumiza. Wanaonekana kuipenda Ukraine kuliko hata nchi zao.
Kuna mwenzetu humu kutwa anatafuta update kutoka sehem mbalimbali duniani kuhusu Ukraine. Ohh maskini nawapa pole yeye na wenzake waliochanganyikiwa Kama yeye.
Nb
Naomba kujua uwepo wa britanicca
Kijana wa kibongo aishiye Saint Petersburg.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Russia’s ongoing offensive around Bakhmut has cost Moscow between 20,000-30,000 casualties, with the private security contractor Wagner Group sustaining the majority of the losses in human-wave assaults against entrenched Ukrainian positions.
====================


Hapo Bakhmut tu wamepoteza roho nyingi mno kwa faida kiduchu kimkakati.
👇
====================
Even if it falls to Russia - something that could still take time and is not guaranteed - Moscow will, Western officials say, have gained little and lost much.

For Ukraine, one official said, the battle for Bakhmut has been "a unique opportunity to kill a lot of Russians".

Ukraine's military has also paid a heavy price, although Western officials reject figures cited on Tuesday by Russia's defence minister.
=====================

Ni kweli huko Urusi, "Quantity have quality of it's own".
Maneno ya kujifariji tu,Bakhmut is gone! And nothing will change the facts.
 
Yani unatoa ela mwenyewe unanunua kitu alafu unafurahi umepata faida[emoji23][emoji23][emoji23].

Ukraine kwa sasa aina uwezo wa kununua hata bunduki 20.silaha zote ela wanatoa wenyewe wamarekani.sasa hapo kuna faida gani?
Nchi nyingi zilituma silaha Ukraine. Grenedi, roketi, mizinga, vifaru. Vipya vinahitajika na kununuliwa penye viwanda vya silaha. Biashara nzuri sana kwa Marekani. Wakubwa wa biashara hiyo wanampenda Putin.
Pamoja na hayo genias Putin alifaulu kunyamazisha watu katika magharibi waliowahi kupinga hela kwa jeshi. Mfano Wajerumani walitumia pesa kidogo, wakati Obama halafu Trump walidai waongeze makisio ya kijeshi. Sasa wametoa mara moja bilioni 100 kwa silaha mpya. Bila Putin isingewezekana.
 
U.S. House speaker McCarthy declines Zelenskiy invitation to visit Ukraine — Reuters.
Anaweza kwenda Ukraine ila atoe taarifa kwa Russia kama ambavyo mwenzake alifanya.
20230309_172557.jpg
 
Japanese school students are dancing near the Ukrainian Embassy in Tokyo to the Ukrainian song "Stephania" by Kalush Orchestra. In 2022, this song won a Eurovision contest.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Upo frontline kwenye mitaro mmezungukwa hamna risasi alafu kamanda aliyepo kilometa 20 kutoka ulipo anakwambia worry out watoto wa kijapan wapo wanakata mauno mbele ya embassy yetu huko Tokyo [emoji34]
 
Si tumeambiwa Makombora yameisha yamebaki 36 TU?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Walikua wanajifariji tu, Putin akiwaeleza kwamba hii ni SMO sio vita kamili wanakaza vichwa wanasema ni vita kamili, sherehe ya vita kamili ni mfano wa makombora yaliyotumwa jana.

Baada ya kuona silaha za Russia haziishi Pro Ukraine wakaanza kuulizana kwamba Russia ana missiles ngapi zimebaki?

Reporter anasema West walisema Russia anaishiwa high precision missiles lakini zaidi ya miezi 10 mvua ya makombora still inashuka kwenye majiji ya Ukraine.

20230309_173403.jpg
20230309_173551.jpg
 
Back
Top Bottom