Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Halafu tukisema US ndio amechochea vita hii Kwa mgongo wa nyuma mnapinga!Nchi nyingi zilituma silaha Ukraine. Grenedi, roketi, mizinga, vifaru. Vipya vinahitajika na kununuliwa penye viwanda vya silaha. Biashara nzuri sana kwa Marekani. Wakubwa wa biashara hiyo wanampenda Putin.
Pamoja na hayo genias Putin alifaulu kunyamazisha watu katika magharibi waliowahi kupinga hela kwa jeshi. Mfano Wajerumani walitumia pesa kidogo, wakati Obama halafu Trump walidai waongeze makisio ya kijeshi. Sasa wametoa mara moja bilioni 100 kwa silaha mpya. Bila Putin isingewezekana.
US inaangalia maslahi yake tu,ndio maana hata nchi za NATO zinalazimishwa na US kutenga asilimia 2 ya pato la taifa Kwa ajili jeshi!
Hapo Inamaana pesa nyingi inaenda kununua silaha za US!