Naona mkuu weekend umeianza poa sana 😂😂😂😂Moderator nashauri kwa hivi sasa huu uzi wa mgogoro wa Ukraine na Russia uwekwe ktk thread mbili, uzi wa kwanza uwe wa kulipia na uzi wa pili uwe free kwa wote . Kwa kufanya hivyo itasaidia Thread moja kubaki na vichwa vinavyojua kufanya uchambuzi wa vita na siasa za west na Far East , Yaani Great Thinkers. Na Thread ya pili ibaki na watu wa kawaidi kama kina Proved , MK254 na Kipanya , Yaani Normal Thinkers
Vita ya Congo imeshaua wangapi? Nani yupo nyuma ya hayo mauaji?
USA anafanya Mazoezi na South Korea kuchochea Vita na North Korea..
USA anamuuzia Taiwan silaha kuchochea Vita na China..
USA anataka wote tuwe vibaraka wake ili Dola yake iendelee kuwa na nguvu...
Hiyo ni VITA ya wanaogombea UKUBWA wa Dunia kwahiyo hakuna wa kumtetea zaidi ya kuwa mtazamaji na kwenda na yule mshindi wa jumla...
Hebu nipe shule Ndg yangu Sankara pale Drc nimesikia waafrika wamechinja waafrika wenzao kwa mapanga nani yupo nyuma ya hayo mapanga.
Na hayo maandamano ya Georgia nani yupo yake...
Tambua watu wamejua haki zao siku hizi huwezi kuwaburuza watu jinsi unavyotaka wewe hata urusi is the matter of time ipo siku wataamka na kumwona Putin ni kati ya mtu anaowacheleweshea maendeleo yao.
Ulitegemea Iran wanawake wataandamana...
Mungu aepushie mbali isitokee wakat huyo mwanao anamsoma Putin km muuaj isije ikawa umeshamuozesha kwa mwanaume mwenzakeHuyu jamaa kafikia kiwango cha juu sana cha ukatili nahisi kampita hata Hilter baada ya muda watoto wetu watamsoma kama kati ya madictator katili kuwashuhudia kundi moja na Musolin, hilter etc
Mkuu Putin ni nyonya damu lile jitu,halina haruma.Watu wamefika sehemu na kusema kiongozi wa Russia ni kati ya wale AntiChrist yeye kumwaga damu za watu ndio furaha kwake, akiangalia kwenye Tv watu wanavyokufa pale Ukraine kwa mashambulizi ya Kinzhal missiles an Shahed anacheka sana na kujiona yeye ni mwamba wa Karne hii, nakumbuka kuna kauli moja alipata kuisema kwamba yeye kazi yake ni Kuua wakakutane na hukumu huko juu.
Baada ya kumwaga damu za watu Ukraine na kuona hazitoshi hatimaye Jamaa ameelekea pale Georgia na kuwapiga biti kinachoendelea Ukraine na wawo watakipata soon hili limekuja baada ya wananchi wa Georgia kupinga sera zilizoletwa na mapandikizi ya Klemlin sera ya kuwagandamiza Wageorgia hili lilipelekea raia wa Georgia kuingia kitaa bila kujali maji ya washawasha wala mabomu ya machozi hatimaye nguvu ya umma ilishinda na muswada kuchomolewa bungeni.
Wageorgia wamekataa kuwa mateka wa mrusi kama Belarus and Chechnya ambao wamekubali kuongozwa na rimoti toka Kremlin wamekubali kuwa mateka wa Mrusi, walichokipigania Georgia ndicho wanachokipigania Ukraine kwani hata kwenye maandamano walikua wanapiga wimbo wa Taifa wa Ukraine
Georgia wanakumbuka Vita mbaya ya Russo-Georgian war ambapo mrusi alivamia na kuwaua raia wengi wasiokua na hatia mwaka 2008 na kuliteka eneo la Ossetia kumbe basi hii ndio tabia ya Urusi nchi inayoaamini katika ubabe na vita, wao damu ya mtu sio chochote sio kitu.
Russia watambue watu wa vizazi hivi wanajielewa na sio kuwatisha na vifaru vyake vya Kisoviet.
View attachment 2545712
Unapoongelea Mpinga Christo lazima Ujue nani Yupo upande wa Christo.....JE MAREKANI yupo UPANDE UPI?? wachochezi wa VITA hawa wanakaa upande upi!!!Watu wamefika sehemu na kusema kiongozi wa Russia ni kati ya wale AntiChrist yeye kumwaga damu za watu ndio furaha kwake, akiangalia kwenye Tv watu wanavyokufa pale Ukraine kwa mashambulizi ya Kinzhal missiles an Shahed anacheka sana na kujiona yeye ni mwamba wa Karne hii, nakumbuka kuna kauli moja alipata kuisema kwamba yeye kazi yake ni Kuua wakakutane na hukumu huko juu.
Baada ya kumwaga damu za watu Ukraine na kuona hazitoshi hatimaye Jamaa ameelekea pale Georgia na kuwapiga biti kinachoendelea Ukraine na wawo watakipata soon hili limekuja baada ya wananchi wa Georgia kupinga sera zilizoletwa na mapandikizi ya Klemlin sera ya kuwagandamiza Wageorgia hili lilipelekea raia wa Georgia kuingia kitaa bila kujali maji ya washawasha wala mabomu ya machozi hatimaye nguvu ya umma ilishinda na muswada kuchomolewa bungeni.
Wageorgia wamekataa kuwa mateka wa mrusi kama Belarus and Chechnya ambao wamekubali kuongozwa na rimoti toka Kremlin wamekubali kuwa mateka wa Mrusi, walichokipigania Georgia ndicho wanachokipigania Ukraine kwani hata kwenye maandamano walikua wanapiga wimbo wa Taifa wa Ukraine
Georgia wanakumbuka Vita mbaya ya Russo-Georgian war ambapo mrusi alivamia na kuwaua raia wengi wasiokua na hatia mwaka 2008 na kuliteka eneo la Ossetia kumbe basi hii ndio tabia ya Urusi nchi inayoaamini katika ubabe na vita, wao damu ya mtu sio chochote sio kitu.
Russia watambue watu wa vizazi hivi wanajielewa na sio kuwatisha na vifaru vyake vya Kisoviet.
View attachment 2545712
Ubaya hauna kwao!Mercenary group boss 'likely overestimated his favour with Putin'
Tensions between the Kremlin and the private military group Wagner have been well-documented over the last few months.
Russia analyst Kateryna Stepanenko, from think tank The Institute for the Study of War, has said that Mr Prigozhin "likely overestimated his favour with Putin and the combat effectiveness of his forces in hopes that achievements in Ukraine would secure him a spot near Putin".
Speaking to The Cipher Brief, she said: "Prigozhin likely imagined his efforts in Ukraine would continue to lend him military and political power in Russia.
"But Prigozhin began to exploit the Russian information space – and his prominence – to attack the Russian Ministry of Defense and Russian military command in hopes of pursuing his commercial and political objectives such as the legalisation of Wagner in Russia."
In response, she says the Kremlin has been "increasingly marginalising" him and siding with the Russian Ministry of Defence.
Reports have also emerged that the Kremlin and Russian MoD are forming new private military forces.
Ms Stepanenko says this is "likely in an effort to displace private military companies like Wagner".
========================
Kwisha habari yake huyu, katumika tu sasa katoswa.
Shetani hana rafiki.
Kwa Nini NATO hawabebi makaratasi yaliyojaa neno amani,wanapeleka siraha?Mkuu Putin ni nyonya damu lile jitu,halina haruma.
Hata Amelika,nimeona Jimbo flani wanaanza madai ya kujitenga.[emoji1787]Hebu nipe shule Ndg yangu Sankara pale Drc nimesikia waafrika wamechinja waafrika wenzao kwa mapanga nani yupo nyuma ya hayo mapanga.