LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Na sizani ka uhuru wa habari upo ka almost more than 90% ya media zinamilikiwa na kampuni 6 tu ajab zote zipo kutoka Ardhi moja... Upande mmoja.

Tutaendelea siku zote kupata wanachotaka tuskie na hatutaskia kile wasichotaka tusikie.

Ukitaka ona uhuru wa kuzungumza haupo tofauti na tunavoaminishwa wa hasa kwe social media angalia walivomfuta Raisi wao aliyetangulia kwenye mitandao ya kijamii kwa mwanvuli wa uchochezi...

Sasa najiuliza hiki ch wao kuruhusu walichokiruhusu ni suluhisho la mgogoro au uchochezi ule ule?

Au ndo vile kunya anye kuku akinya bata kaharisha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupigana apigane Putin, Af chuki zipelekwe kwa Abra dah
 
Wanachaje jamaa kakaa na timu kwa upendo wote.
Sasa hyo waionaje muhenga mwenzangu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]...

Af hii ndo tabia tulonayo kila sehem lakin... Ukigombana na mwenzio baa wataka kila rafiki yako aungane na ww kumchukia mliepishana nae.

Na ikitokea usipofanya hvo atakuita msaliti.
 
Sasa hyo waionaje muhenga mwenzangu ...

Af hii ndo tabia tulonayo kila sehem lakin... Ukigombana na mwenzio baa wataka kila rafiki yako aungane na ww kumchukia mliepishana nae.

Na ikitokea usipofanya hvo atakuita msaliti.
Ni kitu ambacho kinashindikana. Utanifanya nilale njaa kwajili ya vengeance zako. Hizo ni personal business.

Mambo ni tofauti nowadays, Mamuzi yako yasiumize wengine ukawapa shida zisizo za msingi
 
Ni kitu ambacho kinashindikana. Utanifanya nilale njaa kwajili ya vengeance zako. Hizo ni personal business.

Mambo ni tofauti nowadays, Mamuzi yako yasiumize wengine ukawapa shida zisizo za msingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atariii... na Kuna chama kimoja apo Tz ndo kina wafuasi wa sampuli hyo... Huwa nawatizama tu najsemea acha niwe shabiki wa kula kulala tu ya watu siyawezi... Hivi vingine vimenizidi uzito...
 
Unataka nani amuondoe Rais wa Cameroon au au wa Guinea, mbona alipoondolewa Gadaffi tulilalamika. Hii dunia hakuna nchi iko responsible kivile kutatua shida za nyingine. Huwezi feli wewe ukalilia misaada kwa watu waliojikomboa
 
Sanctions against Russia will affect the recovery of the global economy and harm all parties.

Chinese Premier Li Keqiang said:

“The global economy is already heavily impacted by the pandemic, and the corresponding sanctions will hit the global economic recovery and will not benefit either side.”

Today, the head of the EC announced that the European Union will adopt the fourth package of anti-Russian sanctions.

Unataka nani amuondoe Rais wa Cameroon au au wa Guinea, mbona alipoondolewa Gadaffi tulilalamika. Hii dunia hakuna nchi iko responsible kivile kutatua shida za nyingine. Huwezi feli wewe ukalilia misaada kwa watu waliojikomboa
Vyema kwani NATO walipoingia Libya kumtoa Gadafi lilikuwa n jukum lao?

Na ka halikuwa jukum lao kwanini walifanya hivo si wangewaacha wapambane wenyewe?

Apa T14 Armata tukubali tu tunafata mkumbo mpaka kwenye maamuzi. Na wao wanafanya maamuzi au kuingilia maamuzi yanayo fit interest zao ila sio kwamba et "They do care about us"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…