kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Unafahamu lakini hoja ilipotoka au umedandia treni kwa mbele?Toa sababu ya Putin kuivamia,unajua chanzo? Nimekuuliza unaleta porojo!
Tafuta thread za nyuma uelewe kinachoendelea Kati ya Urusi na Ukraine,umedandia gari kwa mbele mkuu.Ni lini Ukraine alimpiga Russia? Na mbona wakati mmeplan kuvamia mlipeleka majeshi kimya kimya wengine wakasema mnaplan kuvamia mkakataa?
Russia kwa unafiki wako mbele sana.
Hongereni sana. Ila itabidi Zelensky ajitahizi kuongeza kulialia zaidi, ili mfike mataifa hata 100 hivi mkae upande wa Ukraine dhidi ya mwamba mmoja Putin na Russia yake.Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo
[emoji298][emoji298][emoji298] The Armed Forces of Ukraine eliminated about 160,540 russian troops in Ukraine from February 24, 2022 to March 14, 2023, including 740 occupiers over the past day alone.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Safi sana hii..... russia shikilia hapo hapo ......sasa tunataka kuwachapa nato kwa kutumia mother russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpaka wafungwa wa kike wameanza kupelekwa vitani [emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji298][emoji298]Prigozhin Has Started Recruiting Female Prisoners
Last week, a train carrying prisoners released from jails in Russia was observed moving towards the Donetsk region. Included within the train was one car female prisoners.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu kama links na picha kwenye tovuti zinakushinda, pole sana! Nimetuma hapa mara kadhaa links za Oryx, hapa unaweza kuona kila picha.Kwenye mdomo na maandishi wanakwambia wameteka vifaru 500.ila ukiwambia tu waonyeshe vifaru hata 100 hakuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Usipende kusikiliza maneno matupu.kwa kuongea tu kika mtu ana uwezo wa kujenga ghorofa, ila kwenye vitendo pagumu.
Hakika kweli we msomalo. With your bu head and brains katafute wengine wa ki copy and paste
Dubu atawamaliza dadekiiiiiUkraine wakili Hali mbaya kabisa. Ubora wa wanajeshi wake washuka.
Intel Slava Z:
🇺🇦 Kiev does not believe in the success of the spring offensive due to the deterioration of the quality of the Armed Forces of Ukraine
The quality of the Armed Forces of Ukraine has deteriorated over the year of the special operation due to the large number of casualties among experienced soldiers. For this reason, some officials in Kiev question Ukraine's readiness to launch a counteroffensive.
🇺🇲🇺🇦 In Kiev, they doubt the readiness for the offensive due to the declining quality of troops, The Washington Post learned.
It is alleged that this is due to losses among experienced fighters and officers and a shortage of weapons. Washington expects that the offensive could take place in late April or early May.
Wewe jamaa umetoka ulipotoka huko na mada ambazo tuliishaachana nazo....vitensi vyako vilidiscussiwa mwaka jana huko....Unaenda mwaka wa pili sasa kuichukua Ukraine?
Russia had been much exposed
Sio superpower hawa jamaa bali ni maneno tu.
Tunaomba kujua maendeleo ya zile leopard zilizopokelewa tunajua mnazuga ili siku ziende mbele mafunzo gani yanachukua miezi mitatu yaani tuseme dereva wa Basi atachukua mda gani kuendesha scania?The U.K. Defense Ministry posted a video from the training with Challenger 2 tanks that it had pledged to send to Ukraine. The U.K. said it would provide Kyiv with 14 such modern battle tanks. The General Staff of Ukraine’s Armed Forces shared the video, adding that Ukrainian tank crews have been quick to master “the mighty Challenger 2.”
Video: UK Defense Ministry
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kaweka propaganda source ambazo yeye zinampa auheni.Mkuu kama links na picha kwenye tovuti zinakushinda, pole sana! Nimetuma hapa mara kadhaa links za Oryx, hapa unaweza kuona kila picha.
Ilhali wewe ni mtu anayekataa kuona asichopenda, basi endelea kuziba masikio, kufunga macho na kuzima akili.
Teh, kwahiyo Putin hawezi tena pelekwa huko kama walivokuwa wanajipangaUrusi yatangaza kutoitambua Mahakama ya kimataifa ya Uhalifu. "Urusi haitambui Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu na mamlaka yake", Kremlin.View attachment 2550949
Mkuu kwa uungwana ungemjibu hoja yake!Tafuta thread za nyuma uelewe kinachoendelea Kati ya Urusi na Ukraine,umedandia gari kwa mbele.
Jf siku hizi kuna ujana mwingi.watu wanaonyesha sana hisia kuliko facts.mtu anauliza swali anajibiwa kwa swali.matusi ,lugha zisizo na staha zimetawala.humu nowdays kila anayetetea Ukraine ni shoga(sina hakika) na wa Russia ni ustadhi (si kweli)Yaani humu habari ikitoka BBC,CNN,AL JAZEERA ni propaganda ila RT ,TASS ni ya kweli(japo ni russia-ukraine war).kuna boa sana .ila kuna member humu walikuwa watu makini sana but siwaoni RTI ,T-ARMATA.