LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mimi nauliza Islael ndio kitu gani?
 

All shi*"ts w'll be balanced by world war 111.
Dharau zimezidi sana.
 
Mkiona wake zenu wanapiga story na wanaume wengine, mnakuja juu kwa kumshambulia mkeo.
Huku midume mkiiacha
Urusi karuhusu wababe wenzie waingie sasa sio nyo nyo nyo za kinafik
 
Oky nimekuelewa, kuna haja gani ya urusi kumuweka kiongozi wanaomtaka ukraine l, kwanini wasichukue nchi yote ya ukraine waunganishe na Urusi iwe nchi moja, iwe jimbo au mkoa wa urusi? Chini ya Rais Putin
Hizo zilikuwa nchi moja kwenye muungano wa Kisovieti..
Kuna makubaliano kadhaa ya ki usalama kati ya Urusi na baadhi ya nchi zilizokuwa USSR.
 
Mi naamini islael wakiinglia huu mzozo putini atakimbizwa sana. Kwanza akisikia tu kwamba islael wanatia mkuu, atastop Vita siku hiyo hiyo.

Lile ni taifa la mungu na ndo wababe wa Vita duniani hata urusi pale inakaliswa ma.tako.
Unaota wewe.. Israeli iitishe urusi? Akili z waisraeli zitasaidia Nn kwenye kukwepa mako bora!? [emoji23]
 
Warusi wanazidi kusonga mbele, mji wa Buryn umeangukia kwenye mikono ya Warusi.
Watashinda Vita ila hawataweza kuikalia kwa amani......

Yaliyoipata Marekani baada ya kuikalia Iraq mwaka 2003 yatampata Putin
 
Kuwa serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…