LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
UNGEKUWA WEWE UPO KATIKA NAFASI YA PUTIN NA SANCTIONS ZOTE HIZI UNGEFANYA NINI WAKATI HUU?

NA JE UNGEKUWA ZELENSKY KATIKA NAFASI YAKE UNGEFANYA NINI?


images (28).jpeg
 
The US is imposing a ban on the import of alcohol, diamonds and seafood from Russia, Biden said.

View attachment 2147159
hili beberu linaangaika sana na sanctions kuwin mioyo ya wamarekani huku likijua kabisa sanctions hazitoiumiza tu urusi bali hata wamarekani pia,kiufupi ameishiwa mbinu kabisa anatapatapa tu
 
KGB lilikuwa dude hatari sana lina mbinu zote za umafia, watu waliona Putin mjinga kushindwa kuipiga ukraine haraka kumbe mwenzao anataka kuicheza hiyo ngoma Ulaya nzima. Maisha ndani ya NATO yatakuwa ya wasiwasi sana na hapo wakitaka kupambana na hao magaidi itabidi wawaue waukraine.

Nchini ukraine na ulaya kunaenda kuchezeka michezo ya middle east
Tukishakula mihogo tunafikiria ujinga ujinga tu.
 
Biden said that new sanctions against Russia would not be the last.View attachment 2147162
Apa najarib kuwaza kwa sauti lau ka western wangekuwa wanamiliki hewa ya Oxygen tunayovuta bure basi wangewapea kikwazo cha kuivuta Russia...

Kuna vikwazo vingine vina tija na vingine unavitizama adi unahisi kuna "Punic" ndani yake....

Et bia, mara sijui paka wa kirusi marufuku kushiriki michezo... Sasa mtu unajiuliza huyo paka ana kosa gani au anahusiana vipi na hayo yote...
 
"You can't just cut such a big country out of the world economy without consequences."

Residents of Cyprus are discussing the increase in the price of electricity in chats: they complain that they are forced to pay hundreds of euros, although the tariffs were already high before.

For example, for electricity for three months in a one-room apartment they paid €175. And this year, many of the bill was not less than €100 for just one month.

Screenshots from a subscriber.View attachment 2147170View attachment 2147171
Hizo gharama zikija kwetu apa atapona nani... An electric bill pekee $175 mshahara wa mwalim mwezi mzima na analea familia
 
Kwenye huu mgogoro Urusi naona anaenda nje ya mategemeo yake wakati anaanza hii operation.
Alijua ngoma itakuwa rahisi sasa mambo yanazidi kuwa mengi.
 
Target ya Ukrain mkuu walikuwa wanawasubiri russia waingie kwenye 18 zao, juilize leo ya ngapi toka usikie russia wapo Kiev?? Kibano kinatembezwa mkuu ni kama vile panya umemfungia milango unampa za uso
Waacha wee ndugu Mbonde kutoka dunia tatu unajifanya kuwa na akili kuliko Russia.

Yaani Treni inakutana uso kwa uso na bajaj, halafu ndugu yangu unadai dereva wa Treni atakufa. Hivi vita mshindi kishajulikana kabla ya vita haijaanza.

Ukraine wamepagawa wanatangaza askari wa Urusi waliokufa wanasahahu askari wao propaganda za kitoto.
 
Back
Top Bottom