Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
[emoji848] Breaking NewsWaacha wee ndugu Mbonde kutoka dunia tatu unajifanya kuwa na akili kuliko Russia.
Yaani Treni inakutana uso kwa uso na bajaj, halafu ndugu yangu unadai dereva wa Treni atakufa. Hivi vita mshindi kishajulikana kabla ya vita haijaanza.
Ukraine wamepagawa wanatangaza askari wa Urusi waliokufa wanasahahu askari wao propaganda za kitoto.