LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
"You can't just cut such a big country out of the world economy without consequences."

Residents of Cyprus are discussing the increase in the price of electricity in chats: they complain that they are forced to pay hundreds of euros, although the tariffs were already high before.

For example, for electricity for three months in a one-room apartment they paid €175. And this year, many of the bill was not less than €100 for just one month.

Screenshots from a subscriber.View attachment 2147170View attachment 2147171

Hizo ni gold na foreign exchange reserves, Huo ni wizi tu, mna transfer hela ya Nchi bila wao ku confirm. Kuna kitu wanakitafuta

Hawa EU na US niwahuni sana, wanasema hawataki ugomvi na urusi lakini vitendo wanavyo wafanyia ni uchokozi kamili.

Yani kimsingi hawa jamaa ndio Ukraine war facilitators, kuanzia kwenye vikwazo mbaka silaha.

Putin ajiangalie sana, US wanatabia ya kumchokesha mtukwanza na vikwazo kwamudaflani wakishaona njaa imetamalaki watamshushia kipondo.

Putin kama anajipenda aache kulembalemba, ashushe kipondo chake chote mapema amalize kazi, biashara asubuhi.
 
Wamarekani hawana pressure na hii vita. Sisi kutokana na kukosa mambo muhimu ya kufanya ndio tuko hapa masaa 24 kuzungumzia vita.
Wamarekani wana satellites, ndege na meli ziko busy zinachunguza vita na taarifa nyingi tunazipata kutoka vyanzo vyao. Ndio wana mambo mengi ya kugawa silaha na kuweka vikwazo
 
Yapi hapo sasa ya zelensky au ya putin ??[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo unayetaka asalimu amri, haiwezekani mtu ajekukuvamia nyumbani afu unakubali kuwa mateka, hasara tayari ishatokea, kilichopo pigana mpaka dakika ya mwisho. Ukweli ni kuwa, Russia anapigana bega kwa bega na Belarus na mamluki wengine, hii pia siyo sababu ya kusalimu amri, wakichukua miji waache, fanyeni ambush mwisho wa siku wataona kumbe walikuwa wameteka makaburi yao.
 
Wamarekani wana satellites, ndege na meli ziko busy zinachunguza vita na taarifa nyingi tunazipata kutoka vyanzo vyao. Ndio wana mambo mengi ya kugawa silaha na kuweka vikwazo
Achana na hii ambayo US anasema anafanya kama sehemu ya ulinzi kwa NATO, sijaona wamarekani wa kawaida wakiiweka Serikali yao kikaangoni kuhusu vita ya Ukraine.
 
Unapigana vita na hauna zana za kutosha... Ni ujinga kbsa.... Aliambiwa mapema kuhusu kujiunga nato...
Huyo unayetaka asalimu amri, haiwezekani mtu ajekukuvamia nyumbani afu unakubali kuwa mateka, hasara tayari ishatokea, kilichopo pigana mpaka dakika ya mwisho. Ukweli ni kuwa, Russia anapigana bega kwa bega na Belarus na mamluki wengine, hii pia siyo sababu ya kusalimu amri, wakichukua miji waache, fanyeni ambush mwisho wa siku wataona kumbe walikuwa wameteka makaburi yao.
 
Ukraine ingekaa kama majirani wengine wa Russia kina Finland au Sweden isingepungukiwa kitu. Vitu vingine ni kufanya analysis nzuri mkatoa national policy ya kudumu sio kila kitu mlazimishe kuwa katikati ya ugomvi mnaumia zaidi ya wanaogombana. Hapa NATO hawatapigana na Russia kabisa ila Ukraine anapigana kisa wao. Ingawa naona Finland wanataka kuanzisha mjadala kuzungumzia kujiunga ila Sweden imesisitiza haitaki kusogeza migogoro Kaskazini.

Switzerland yuko katikati ya Germany, Austria, France na Italy. Zote zilishiriki WW1 na WW2 na vita kabla ya hapo ila Switzerland hakushiriki wala hakuvamiwa. Yeye alijua akiwa upande wowote atakuwa target ya upande mwingine, akawa neutral. Switzerland iko vilevile na mipaka yake since 1800s na haijawahi pigana vita, chanzo cha Vatican kutumia Swizz guards tangu early 1500s ni kwakuwa wako neutral inachukua kamanda na wanajeshi waliotrained na wazawa wa Switzerland inawatumia kulinda Vatican ndani maana haina chuo cha ulinzi. Isingechukua labda Wafaransa alafu Ufaransa iingie vitani na Uingereza na mambo yachanganyikane pale Vatican.
Mkuu umeongea jambo la point ambalo hata waziri mkuu wa Pakistan aliliongea siku chache zilizo pita.

Ali sema tabia za kuchagua makundi zime igharimu sana Pakistan kwa muda mrefu kwa sababu saa nyingine unajizolea maadui ambo siyo wa lazima.

Mfano angalia ikitokea Marekani akaishambulia Iran nchi pekee itakayo baki salama dhidi ya makombora ya Iran hapo mashariki ya kati ni Oman tu,kitacho ifanya ibaki salama ni siasa zake ambazo zime jitenga na makundi ya kuhamasisha uhasama dhidi ya Iran .

lakini hao hakina Qtaar,UAE,saudia,na wangine hiyo miji yao walio ijenga kwa gharama kubwa itageuka magofu kwa sababu ya kuendekeza makundi.

Ila huu mgogoro umevivua nguo vyombo vya habari vya kimagharibi vinavyo jiita huru kumbe ni takataka.
Kumbe hata TBC tuache kuilaumu maana kila mtu ana tumikia maslahi ya bwana wake.



Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Kw
Kwanza punguza mihemko twende taratibu.
Hii sio vita kulingana na kauli ya Putin ameita operation maalum.

Lakini pia ukisoma baadhi ya vyanzo vinasema alikuwa na malengo by 02 march awe kashaikamata Kyiev leo ni tarehe ngapi?

Ukiachana na hilo kuna vyanzo vingi tu vinadai wanajeshi wa urusi wanakosa supply ya mafuta pamoja na ammunation mpaka wanatelekeza vyombo vyao. Hii ina speculate aidha hawakujipanga vizuri au mipango yao imeenda kinyume na matarajio.

Jingine unakubali kuwa vita haijawahi kuwa rahisi wakati huohuo unakataa kwamba mambo hayawezi kwenda kinyume na matarajio.
Common sense is not common.
Hiko/hivyo vyanzo mbona hujaviattach hapo na sisi tujionee!? Your words against yours [emoji2369]

Mimi nikikuambia kuna vyanzo (mbalimbali) vilidai Putin mpango wake ni kuidemilitirize Ukraine, kufanya regime change na kuweka mapro-Russia na wala sio kufika Kiev by 02/03 utakubali bila kuweka hapa mfano wa hivyo vyanzo ili uone kwanza credibility zake!?

Hizo habari za kuishiwa maguta sijui blah blah nyingine mimi wala siziilii maanani sana. Unasikia mara wameishiwa mfuta alf baadae unaskia wamechukua mariupol[emoji1787]

Umesoma haraka ukakimbilia kujibu bila kuelewa kwanza nlichomaanisha. Mimi sijabisha kwamba mambo kwenye vita hayawezi kwenda kinyume na matarajio/mategemeo nilichobisha mimi ni wewe kusema "Putin amekwenda nje ya mategemeo alijua ngoma itakuw rahisi" nikakuuliza unayajua mategemeo ya putin yalikua ni yepi mpaka udai kwamba ameshindwa kuyafikia!? Umesema "Putin alijua ngoma itakuwa rahisi" kama vile wakti wanafanya mipango ya Vita ulikuwepo. Hakuna mtu especially Putin anayeweza kufikiri hata kwa dk moja eti kuichukua nchi nzima ya ukraine iwe ni suala jepesi. Na hata kama kuna hisia anazo za kuhisi vita itakuwa rahisi bado hawezi kuweka mpango mzima wa vita juu ya hisia tu. Ndio nikakuambia wenzetu hawafanyi mambo kwa kufuata hisia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
huyu ni mwanajeshi wa urusi kabeba kombora la javliv kutoka usa hil kombora limeachwa na majeshi ya ukraine
img_1_1647000093886.jpg
 
Kuwa wewe wajua kuliko Biden

Sent using Jamii Forums mobile app
hilo liko wazi biden ameshapigwa nakitu kizito kichwani humuoni anavyotapatapa,amefeli mapema sana karibu kwenye kila kitu toka ashike nchi wahuni wa republican wanamchora tu... kuhandle tu ishu ya covid~19 hata kwa 35% imemshinda mpaka sasa hili la russia~ukraine ndio ataliweza? uhasama wakijinga wa chama chake dhidi ya putin utamtokea puani yeye mwenyewe biden soon...time will tell
 
Back
Top Bottom