US yeye watu aliowaua Libya, Iraq na Afghanistan UN walichukua uamuzi gani? 🤣Mkuu ni vema tukajielimisha kidogo kuhusu vita. Mimi nadhani kwenye vita nako kuna sheria na kanuni zake. Sidhani kama upo vitani wewe ukawalenga raia na kuwamiminia risasi; ukabomoa miradi ya raia kama ya maji, umeme, kuchoma maghara ya nafaka na nnyumba za raia n.k. nadhani hii sio sahihi, ndio maana nchi nyingine zinakupigia kelele kuwa unachofanya sio kizuri, na pengine ukashitakiwa kwenye mahakama zao (UN). Unatakiwa uwapige wanajeshi wenzako, piga maghara ya silaha zao, bomoa madaraja; kwa kifupi haribu vitu vya kijeshi na wanajeshi wao, na so vinginevyo.
Big-up Mkuu.
Mwendo wa kuchoma vibanda tu🤣Alafu wakikaa kwenye media wanakwambia tumetungua missile 50 katika missile 65.
Wakati hapo missile 4 hakuna hata moja iliyotunguliwa.anga jeupe kabisa.zike anti air missile sijui zilikuja Ukraine kutalii[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2554880
Watakifahamu kilichomtoa kanga manyoya 🤣🤣🤣Amunition depot huko slaviansk imekwenda na mma[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2554893View attachment 2554901View attachment 2554902View attachment 2554903
Akamatwe kwa misingi ipi? 🤣ICC wanataka Putin akamatwe...[emoji23][emoji23]View attachment 2555582
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Watakula moto tu waache wajipeleke hao ICC 🤣🤣🤣 Russia sio LibyaNATO mtafuteni putin, mpandisheni boti hadi ICC.
KIPANYA,
T14 ARMATA
PROVED
OMARY
UPOPO
Hahah wahuni walishaiteka toka day 1 wakazuga iko majini 🤣🤣🤣 ndio maana US walipotaka kwenda kuitafuta jamaa wakawahi baharini kutinga eneo ambapo inasadikika ilizama 🤣🤣🤣 kumbe walishaijam wakachukua taarifa na kuizimisha wakawa wameihifadhi stoo tu.Wanazima tu ukweli toka siku ile drones ilibebwa. US na technology yote alonayo ashindwe kuiona drone?? Hapana. Wahuni wameruka nayo since that day
Wameishiwa mbinu wamekimbilia kwa Pilato 🤣🤣🤣View attachment 2555585
Hahhahaha sijui hawa mashoga wanamzungumzia Putin wa Chanika!
Tumia Akili hii haina madhara yoyote hakuna dunia hii anayeweza Kumkamata putin.hakuna nchi yoyote Putin atakayoenda inayoweza Kumkamata putin.kila siku nakushauri kutumia Akili.Mambo ni fireeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2555602
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hilo nakubali, Putin anaweza asikamatwe kirahisi, lakini kutolewa huo warranty Kuna ujumbe umetumwa kwa ulimwengu,.. kumbuka Kwa Sasa Putin hatoweza kutembelea nchi wanachama wa ICC, Sheria za ICC zinataka nchi wanachama kuwajibika kwa kumkamata mshukiwa anayetaftwa na mahakama hiyo iwapo anatembelea katika mipaka ya hiyo nchi husika,Tumia Akili hii haina madhara yoyote hakuna dunia hii anayeweza Kumkamata putin.hakuna nchi yoyote Putin atakayoenda inayoweza Kumkamata putin.kila siku nakushauri kutumia Akili.
Dah..!Hilo nakubali, Putin anaweza asikamatwe kirahisi, lakini kutolewa huo warranty Kuna ujumbe umetumwa kwa ulimwengu,.. kumbuka Kwa Sasa Putin hatoweza kutembelea nchi wanachama wa ICC, Sheria za ICC zinataka nchi wanachama kuwajibika kwa kumkamata mshukiwa anayetaftwa na mahakama hiyo iwapo anatembelea katika mipaka ya hiyo nchi husika,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nawashangaa, Urusi aanze kuhitaji taarifa za cremia za nini wakati yeye ndo mwenye nazo, yeye anahitaji hicho kindrone ajue kilivyotengenezwa na ufanyaji wake wa kazi,Watu wanataka technology siyo vitu vya kkwenye memory tu