Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Usimuombe samahani mtu ambaye hana akili.Mkuu umewahi kupitia hata JKT? Yani Meja Jenerali akashike AK 47 mstari wa mbele??
Samahani HUNA AKILI.
"You can't just cut such a big country out of the world economy without consequences."
Residents of Cyprus are discussing the increase in the price of electricity in chats: they complain that they are forced to pay hundreds of euros, although the tariffs were already high before.
For example, for electricity for three months in a one-room apartment they paid €175. And this year, many of the bill was not less than €100 for just one month.
Screenshots from a subscriber.View attachment 2147170View attachment 2147171
Hizo ni gold na foreign exchange reserves, Huo ni wizi tu, mna transfer hela ya Nchi bila wao ku confirm. Kuna kitu wanakitafuta
Ni HANA AKILI. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usimuombe samahani mtu ambaye hana akili.
Ukiwa kiongozi mkubwa hapaswi kuwa na mawazo ya kidem namna hii.
Tofauti ya jeshi la Urusi na Msumbiji ni vifaa na uniforms tu.Putin anaomba msaada kwa lukashenko na assad [emoji23][emoji23]
super power ya buza
Wamarekani wana satellites, ndege na meli ziko busy zinachunguza vita na taarifa nyingi tunazipata kutoka vyanzo vyao. Ndio wana mambo mengi ya kugawa silaha na kuweka vikwazoWamarekani hawana pressure na hii vita. Sisi kutokana na kukosa mambo muhimu ya kufanya ndio tuko hapa masaa 24 kuzungumzia vita.
Sidhani kama Nato ipo tayari kuingia vitani kuitetea Ukraine.
Huyo unayetaka asalimu amri, haiwezekani mtu ajekukuvamia nyumbani afu unakubali kuwa mateka, hasara tayari ishatokea, kilichopo pigana mpaka dakika ya mwisho. Ukweli ni kuwa, Russia anapigana bega kwa bega na Belarus na mamluki wengine, hii pia siyo sababu ya kusalimu amri, wakichukua miji waache, fanyeni ambush mwisho wa siku wataona kumbe walikuwa wameteka makaburi yao.Yapi hapo sasa ya zelensky au ya putin ??[emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na hii ambayo US anasema anafanya kama sehemu ya ulinzi kwa NATO, sijaona wamarekani wa kawaida wakiiweka Serikali yao kikaangoni kuhusu vita ya Ukraine.Wamarekani wana satellites, ndege na meli ziko busy zinachunguza vita na taarifa nyingi tunazipata kutoka vyanzo vyao. Ndio wana mambo mengi ya kugawa silaha na kuweka vikwazo
Huyo unayetaka asalimu amri, haiwezekani mtu ajekukuvamia nyumbani afu unakubali kuwa mateka, hasara tayari ishatokea, kilichopo pigana mpaka dakika ya mwisho. Ukweli ni kuwa, Russia anapigana bega kwa bega na Belarus na mamluki wengine, hii pia siyo sababu ya kusalimu amri, wakichukua miji waache, fanyeni ambush mwisho wa siku wataona kumbe walikuwa wameteka makaburi yao.
Mkuu umeongea jambo la point ambalo hata waziri mkuu wa Pakistan aliliongea siku chache zilizo pita.Ukraine ingekaa kama majirani wengine wa Russia kina Finland au Sweden isingepungukiwa kitu. Vitu vingine ni kufanya analysis nzuri mkatoa national policy ya kudumu sio kila kitu mlazimishe kuwa katikati ya ugomvi mnaumia zaidi ya wanaogombana. Hapa NATO hawatapigana na Russia kabisa ila Ukraine anapigana kisa wao. Ingawa naona Finland wanataka kuanzisha mjadala kuzungumzia kujiunga ila Sweden imesisitiza haitaki kusogeza migogoro Kaskazini.
Switzerland yuko katikati ya Germany, Austria, France na Italy. Zote zilishiriki WW1 na WW2 na vita kabla ya hapo ila Switzerland hakushiriki wala hakuvamiwa. Yeye alijua akiwa upande wowote atakuwa target ya upande mwingine, akawa neutral. Switzerland iko vilevile na mipaka yake since 1800s na haijawahi pigana vita, chanzo cha Vatican kutumia Swizz guards tangu early 1500s ni kwakuwa wako neutral inachukua kamanda na wanajeshi waliotrained na wazawa wa Switzerland inawatumia kulinda Vatican ndani maana haina chuo cha ulinzi. Isingechukua labda Wafaransa alafu Ufaransa iingie vitani na Uingereza na mambo yachanganyikane pale Vatican.
Hiko/hivyo vyanzo mbona hujaviattach hapo na sisi tujionee!? Your words against yours [emoji2369]Kw
Kwanza punguza mihemko twende taratibu.
Hii sio vita kulingana na kauli ya Putin ameita operation maalum.
Lakini pia ukisoma baadhi ya vyanzo vinasema alikuwa na malengo by 02 march awe kashaikamata Kyiev leo ni tarehe ngapi?
Ukiachana na hilo kuna vyanzo vingi tu vinadai wanajeshi wa urusi wanakosa supply ya mafuta pamoja na ammunation mpaka wanatelekeza vyombo vyao. Hii ina speculate aidha hawakujipanga vizuri au mipango yao imeenda kinyume na matarajio.
Jingine unakubali kuwa vita haijawahi kuwa rahisi wakati huohuo unakataa kwamba mambo hayawezi kwenda kinyume na matarajio.
Common sense is not common.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vita imekuwa ngumBaada ya kuteketezwa wale toys wa mwanzo sasa nao wameanza kutafuta askari wa kukodi.
Nao watafyekwa
View attachment 2146830
hilo liko wazi biden ameshapigwa nakitu kizito kichwani humuoni anavyotapatapa,amefeli mapema sana karibu kwenye kila kitu toka ashike nchi wahuni wa republican wanamchora tu... kuhandle tu ishu ya covid~19 hata kwa 35% imemshinda mpaka sasa hili la russia~ukraine ndio ataliweza? uhasama wakijinga wa chama chake dhidi ya putin utamtokea puani yeye mwenyewe biden soon...time will tell
Ila kiukwel hii inaonesha udhaifu wa RussiaShow kali[emoji28]
Nchi ya pili kwa ukubwa barani ULAYA ikiwa nyuma ya URUSI. Ukraini ni sawa na Nusu ya AFRIKA MASHARIKI YOTE HII.Ila kiukwel hii inaonesha udhaifu wa Russia
Yani kanchi kama Ukraine kanawasotesha mpaka wametafuta watu kutoka midle east na belerous