LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wao ndio walianza kuleta Jihadist Ulaya....
Warusi wameona isiwe tabu sababu watu wa middle East wanauzoefu na hizi vita za mjini.
Basi waje tu.
Warusi wamefanya Mambo ya aibu!jinsi Nyie warusi wa kigamboni mlivyokuwa mnawasifia na kutuelezea aina mbalimbali za silaha zao nzitonzito Leo wao sio wa kukimbilia Syria,,,wamewaangusha sana
 
Sawa mfia dini hiyo ndio dini sahihi wengine wote tutachomwa moto ninyi mtaenda peponi kuishi milele, nasikia huko kila mwanaume atapewa lundo la wanawake sio kwa idadi kama hii ya duniani, mbarikiwe ninyi wenye uraia pacha duniani na mbinguni kwa uhakika.
 
Warusi wamefanya Mambo ya aibu!jinsi Nyie warusi wa kigamboni mlivyokuwa mnawasifia na kutuelezea aina mbalimbali za silaha zao nzitonzito Leo wao sio wa kukimbilia Syria,,,wamewaangusha sana
Majibu mtayapata ngoja magaidi 16000 watue Ulaya kumbuka jana Sudan imeipa Russia Air Base kwa ajili Russia kutumia kusafirisha Magaidi yaende Ulaya
 
Roskomnadzor on blocking Instagram:

β€œSince it will take time for active Instagram users to transfer their photo and video materials to other social networks, to notify their contacts and subscribers, Roskomnadzor decided to complete the procedure for introducing restrictions on access to Instagram at 00:00 on March 14, providing users with an additional 48 hours transitional period".
 
mkuu kwa hivi vikwazo amini baada ya vita jamaa kazi anayo. Vikwazo hivi asilimia kubwa vinagusa maisha ya RAIA wake .
Assume ma origach wote wanataabishwa .
Makampuni ya kigeni yanafungwa (ajira hapo).
Kwa vikwazo hivi atapata pressure kubwa sana kutoka kwa raia wake.
 
Mwenyewe huwa naona hizi sanction mbona zinaleta hasara kwa hao wenye makampuni pia,imagine MacDonald anafunga migahawa zaidi ya 800 si hasara hiyo!anyway sijajua labda Ni njia za ku sympathize na wahanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…