LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
.
Screenshot_20220311-180555~2.jpg
 
Wao ndio walianza kuleta Jihadist Ulaya....
Warusi wameona isiwe tabu sababu watu wa middle East wanauzoefu na hizi vita za mjini.
Basi waje tu.
Warusi wamefanya Mambo ya aibu!jinsi Nyie warusi wa kigamboni mlivyokuwa mnawasifia na kutuelezea aina mbalimbali za silaha zao nzitonzito Leo wao sio wa kukimbilia Syria,,,wamewaangusha sana
 
Hakuna dini iliyokuja Afrika na majahazi isipokuwa imani potofu iliokuja na Wazungu kutokea Ulaya. Dini ya Kiislaam ni dini pekee ya Mitume Ibrahim, Mussa, Issa, Yaakoub, Nuh, Sulaiman, Muhammad, salama na amani iwe juu yao wote hao.

Wengi wa hao au walikuwepo Afrika au walikuja Afrika au Walikuwa na uhusiano wa karibu na Afrika.

Fikiri, kabla hujakurupuka.
Sawa mfia dini hiyo ndio dini sahihi wengine wote tutachomwa moto ninyi mtaenda peponi kuishi milele, nasikia huko kila mwanaume atapewa lundo la wanawake sio kwa idadi kama hii ya duniani, mbarikiwe ninyi wenye uraia pacha duniani na mbinguni kwa uhakika.
 
Warusi wamefanya Mambo ya aibu!jinsi Nyie warusi wa kigamboni mlivyokuwa mnawasifia na kutuelezea aina mbalimbali za silaha zao nzitonzito Leo wao sio wa kukimbilia Syria,,,wamewaangusha sana
Majibu mtayapata ngoja magaidi 16000 watue Ulaya kumbuka jana Sudan imeipa Russia Air Base kwa ajili Russia kutumia kusafirisha Magaidi yaende Ulaya
 
Roskomnadzor on blocking Instagram:

“Since it will take time for active Instagram users to transfer their photo and video materials to other social networks, to notify their contacts and subscribers, Roskomnadzor decided to complete the procedure for introducing restrictions on access to Instagram at 00:00 on March 14, providing users with an additional 48 hours transitional period".
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Kiasi naeza kukubali kwasababu ata ukianglia namna wanavyo-react kila sunctions zinapowaendea unaona kabisa "No Punic"....

Ingekuwa ya kukurupuka sa hv nadhan tungeshuhudia mtifuano wa mwaga mboga nimwage ugali... Like Cut Off Gas and Oil Supply at once na mengineyo ya kijinga kijinga....
mkuu kwa hivi vikwazo amini baada ya vita jamaa kazi anayo. Vikwazo hivi asilimia kubwa vinagusa maisha ya RAIA wake .
Assume ma origach wote wanataabishwa .
Makampuni ya kigeni yanafungwa (ajira hapo).
Kwa vikwazo hivi atapata pressure kubwa sana kutoka kwa raia wake.
 
Ila kwa mtzamo wangu bora Meta Platforms Inc. wasingejihusisha na hizi siasa... Mwezi ulopita walireport kwa mara ya kwanza kupungua kwa Active users kwe platform y FB tangu ianzishwe...

Ikapelekea kushuka kwa speed thaman ya kipande cha hisa cha kampuni hiyo ka unakumbuka si geni kwako hili. Kiasi kilichopelelea Zuckerberg kutoka kwe list ya mabilionea kumi duniani.

Sasa ikifungiwa tena kwa sabab ya kijinga ka hyo si ndo itazidi kupoteza watumiaji?

Siasa na biashara wapi na wapi ndo maana Elon Musk huwa anaizodoa sana FB.
Mwenyewe huwa naona hizi sanction mbona zinaleta hasara kwa hao wenye makampuni pia,imagine MacDonald anafunga migahawa zaidi ya 800 si hasara hiyo!anyway sijajua labda Ni njia za ku sympathize na wahanga
 
Back
Top Bottom