Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mji wa Mariupol ambao ulikuwa umeharibika vibaya mno kutokana na mapigano, umejengwa tena na upo vizuri.

Ndani ya mwaka 1, mji umejengwa upya kabisa. Schools, residential buildings, hospitals, roads, malls etc.

Na hizo residential buildings wananchi wanakaa bure.

Halafu Westerns wanakwambia Russia ni nchi masikini sana.
 
Mwana kulitafuta mwana kulipata.
 

​
Raia laki nane (800,000) wa Korea ya Kaskazini wamejitolea kwa moyo mkunjufu

Kujiunga na Jeshi la Korea ya Kaskazini kwa nia ya kupambana na Jeshi la Marekani wakidai kuwa:

"Wamechoshwa na uchokozi wa jeshi la Marekani usio koma".

♻️ Habari za Maendeleo ya Dunia.
 
Yani tangu Mh Putin amefurumua mji wa chini ya ardhi akawafukia humo wanyeto, akaipaka mafuta ndege ya Marekani alafu akatembelea miji aliyowanyang'anya wanyeto NATO wamepoa kweli.

Yani ukisikia katoto kamelowa ndio huku sasa 😁
NATO yote kuanzia na mama mkwe wao wamelowa hawajui washike wapi.... Bado tukienda Syria Urusi anarusha ndege nyingi juu ya kambi ya kijeshi ya Marekani, wakati huohuo Marekani anaziangalia tu hizo ndege huku machozi yakimlengalenga
 
[emoji1168]Moldova is preparing personal sanctions against about 25 people in connection with Russia's war against Ukraine, first decisions may be announced in a few weeks, Radio Liberty reported, citing Moldova's Minister of Foreign Affairs Nicu Popescu.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kipigo kinaendelea [emoji91][emoji1255]

The Ukrainian Air Force struck enemy positions seven times over the past day, hitting manpower and equipment clusters and an ammunition depot. #

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna panya ambaye atabakia salama.
 
Mnyamakazi yuko Ukraine 🇺🇦 anatembelea maeneo yake mapya, wazee wa counter offensive mpo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…