Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

kwa hiyo ww hapo ndio umeshajielimisha kisha ukaandika hivyo...!!!.. aisee!!!..we have a long way to go as individual..!!!.. hv Marekani sio sehemu ya hiyo dunia unayoiongelea..??...kwa nn yy hataki raia wake yeyote...(askari wake to be precisely).. kuwa charged kwenye hiyo Mahakama...,,,hii ni double standard ya aina gani..?
...sasa ww ndio nenda kajielemishe vzr kuhusu hiyo Mahakama ili kama ni ya Dunia nzima...???

kama ilishindwa kumkamata Albashiri hapo SA. itaanzia wapi kumgusa Putin..?

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli
ICC haiwezi shtaki nchi isiyo mwanachama.
USA hawezi shtakiwa ICC
Mkuu nashukuru sana kwa kumkatalia pasipo kuyumbisha maneno kisiasa..kwamba sio kweli, anataka kutudanganya yeye ana elimu kushinda marekani walioweka sheria nchini kwao kwamba ICC ikimshikilia raia wao ( yaan mmarekani mwenye arest warant ya icc akatembelea Kenya au SA alafu serikali hzo zikamkamata, Pentagoni watatuma Jeshi Kenya au huko SA kivita kumtoa mtu wao mikononi mwa ICC...hawasubiri apelekwe The Hague, ndio meaning ya kutumia jeshi ikibidi, meaning ya sunctions ni kama ameshafikishwa The Hague hawana option ya kumvamia NATO member mwenzao kijeshi..ndio maana secretary wa ICC alipigwa vikwazo kipindi kile..apate elimu hapa sio atupe elimu ya udanganyifu..adanganye mapro-lgtb wenzie
 
Mkuu niamani huyo Putin ni suala la muda tu lazima afike the Hague,kizuri hati ikiandikwa imeandikwa lazima mhusika afike the Hague,ikiwa kwa hiari au kwa nguvu.Labda afe leo ndio atapona kufika the Hague.
 
Umemuelewa vibaya au unataka kupotosha
Ukweli ni kwamba Russia hana nia wala haja yakukuza currency yake wala mchina hana hata wazo hilo...suluhisho ni kwamba...nyie mnaotaka kufanya biashara mtauziana kwa local currency za nchi zenu kupunguza transaction fees+transfer fees zilizoko kwenye dola na yuro...(ambazo wao west ndio walikibaliana iwe hivo..wakoloni mamboleo hawawez kuishi bila kukunyonya) hujiulizi kwanini sisi Ke=Tz si lazima tutumie $ kwenye mauziano yetu? Hii ndio nzuri nikitaka gari japan niwe na reserve ya yen...ile exchange rate inategemeana na mzunguko wa biashara kati yetu..ni kama bei ya mchele..kipindi cha mavuno bei ndogo, kipindi cha uhaba bei kubwa...haiwezi shindikana maana itasaidia nchi zinazouza rasilimali zote kwa wawekezaji zitakuchua maamuzi tofauti siku za usoni maana ukiwa na akiba ya DHAHABU kubwa basi wewe ndio tajiri zaid na ufanyaji wako biashara utakua mzuri kwa kutumia akiba ya dhahabu...hatutagawa tena bure dhahabu zetu ili tupewe mrahaba..tutazivuna wenyewe kwaajili ya malipo ya madeni yetu na biashara zingine..hawa wawekezaji wameshashtuka wataanza kuongeza mda wa mkataba kwenye madini siku sio nyingi...
 
Mkuu niamani huyo Putin ni suala la muda tu lazima afike the Hague,kizuri hati ikiandikwa imeandikwa lazima mhusika afike the Hague,ikiwa kwa hiari au kwa nguvu.Labda afe leo ndio atapona kufika the Hague.
Huyo wa kufika the hague atakuwa Putin wa maboksi.huyo aliyetoa iyo hukumu sasa ivi maisha yake ni ya wasiwasi maana anajua kabisa assasination muda wowote inamuhusu
 
Atayebisha hapa ni mwenye matatizo ya afya ya akili pekee.
Anajaribu kutoa vitisho kwa nchi zinazotaka kuunga mkono juhudi za Uchina na Russia kukata mrija wao wa unyonyaji...hakuna nchi duniani yenye hiyo affection na marekani...zinamuogopa kwa tabia yake ya kukupiga vikwazo, kufadhili na kuwatumia na kuwagaramia wapinzani wako wakuangushe, kufadhili vikundi vya kihalifu vikufanyie uhalifu (e.g maandamano ya Georgia juzjuz..mtu mmoja tuu wa georgia yupo matembezi marekan akaamua kuwahutubia wageorgia akiwa marekani kuwa anaunga mkono maandamano ya kupinga sera za kulinda ulinzi na uchumi wa georgia..)
US hana ushawishi wa voluntary..ana ushawishi wa vitisho na anamgeuza ndugu yako kuwa adui yako..angalia serbia-cossovo, China-Taiwan, South korea-North korea, usije ukashangaa Tz-zanzibar kama hamtafuata matakwa yake..hii ni real..sio finction
 
Niyadunia Nzima Kwanini Marekani Aliipiga Onyo Ikimshitaki Raia wa Marekani Itapewa Vikwazo ?
kwahiyo Hiyo nimahakama ya Dunia Nyingine Tofauti na US,UK Au France?
Kabla hujamuelimisha Mwinzie kwanza Unapaswa Ujiongeze wewe mwenyewe
 
Sasa si watulie wanruka ruka nin kama maharage yanayochemshwa
 
Yaaan kwa ambae alikua hafuatilii kwa umakini haya mambo basi atakua anasemaa yeeess hawa ndio US bwanaaa kwa mikwara hii hawa ndio mabingwa wa duniaa....ila ukiwauloza kwenye uhalisia vipi..? wanakwambia ni "State Confidential Information"
 
Usijisahaulishe mnapigana na PMCs sio jeshi la Urusi pale.
 
[emoji631][emoji635]The Russians eliminated a US Air Force MQ-9 Reaper drone that was spying near Sevastopol in Russian airspace.

The US response was to humiliate President Putin in front of the world through the international criminal court. It's all a stunt, revenge, papers with 0 value.

That's what the cowards and warmongers in the West do, when they can't get as they want.

#NATO #Russia #Biden #Trump #Ukraine #Ukrainian #China #India #Bakhmut #Wagner

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,anayeshtakiwa mtu ambaye kwa namna moja au nyingine amehusika na uhalifu wa kivita sio nchi.
France 24 - International breaking news, top stories and headlines
  1. / Americas

US threatens to arrest ICC judges if they pursue Americans for Afghan war crimes​

Issued on: 10/09/2018 - 21:00Modified: 11/09/2018 - 08:28

Text by:NEWS WIRES
|
Video by:David SMITH
The United States threatened Monday to arrest and sanction judges and other officials of the International Criminal Court if it moves to charge any American who served in Afghanistan with war crimes.
 
Vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56]



The explosions that occurred in the evening of March 20 in temporarily occupied Dzhankoy (Crimean Peninsula) destroyed Russian Kalibr cruise missiles during their transportation by railway.

This was reported by the Main Intelligence Directorate of the Ukrainian Defense Ministry.

"An explosion in the city of Dzhankoy in the north of the temporarily occupied Crimea destroyed Russian Kalibr NK cruise missiles during their transportation by rail," the intelligence said.

The MID reminded that the Kalibr cruise missile are designed to be launched with the help of surface ships of the Russian Navy. The range of defeat is more than 2,500 kilometers on land targets and more than 375 kilometers on sea targets.

"The mysterious explosions continue the process of demilitarization of Russia and prepare the Ukrainian peninsula of Crimea for de-occupation," the intelligence adds.

It is also reported that after the explosions an emergency regime was introduced in Dzhankoy.

Drones at the railroad station damaged the locomotive depot, security building, as well as freight and fuel warehouses, media report.

It should be noted that all the railroad lines of Crimea converge in Dzhankoy. Without this junction, Russia will not be able to supply weapons to the Black Sea Fleet and the occupied parts of the Kherson and Zaporizhzhia regions.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

#

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
EXPLAINED: Explosion in Crimea Destroys Missiles or a School, Depending on Who You Ask

“The mysterious ‘cotton’ continues the process of Russia’s demilitarization and prepares the Ukrainian peninsula of Crimea for deoccupation,” Ukraine’s Defense Ministry said.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…