Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Watu wanahisi USA is untouchable ila wanaweza kufikiwa hata kwa kupigwa torpedos na hypersonics mpaka watakapolegea 🤣🤣🤣 na kumalizwa NAVY zao. China anazo hypersonics nyingi, Urusi na hata North Korea.Mkuu hatusemi mambo ya kubuni hapa - jaribu kufatlia historia ya taifa hili la ajabu linapo kuja suala la kujiingiza kwenye mambo ambayo hayamuhusu kabisa kabisa - leo hii kwa mfano Blinken kamwambia nini Museveni?? Huo ni mfamo mdogo - sasa tuje kwenye mikubwa ambayo Merikani iliwahi kujiingiza kichwa kichwa bila ya kutafakari mambo kiundani, la kwanza lilikuwa vita ya Korea (1950 -1953) jeshi la Merikani na washirika wake walitandikwa kweli kweli na jeshi la Korea kaskazini likishirikiana na wanajeshi kutoka Uchina - wakarudishwa nyuma mpaka nyuzi 38 parallel, blunder nyingine ni ya kujingiza kichwa kichwa kwenye vita ya VietNam mwanzo WavietNam walikuwa wanapigana na Ufaransa, walipo washinda Wafaransa basi Wamerikani wakajiingiza kwenye vita hiyo kisiri siri kwanza tangu 1955 lakini watu wengi idhani USA iliingilia vita ya VietNam kuanzia 1965 - 1975 hii si kweli hata kidogo, ukweli wa mambo ni kwamba USA imepigana vita VietNam kwa miaka 20 sio kumi kama baadhi ya watu wanavyo amini.
Narudia kukumbusha kwamba USA ikiendeleza vurugu zake Duniani hasa hizi za kijinga za Biden kuamini kwamba anaweza kumuondoa madarakani au kumburuza Putin vyo vyote anavyo taka au kujaribu kuidhoofisha Russia kijeshi,kiuchumi na eventually kuisambaratisha - Biden akipania kufanya makosa hayo na ikathibitika moja kwa moja kwamba US/NATO wanataka kujiingiza moja kwa moja kwenye mgogoro huu - basi watamchangia na kuipa kipigo kitakatifu USA yenyewe bila ya kujali type ya silaha anazo miliki ambazo nyingi zake Russia ilisha zijulia jinsi ya kuzi intercept na kuziangamiza juu kwa juu - sisemi Urusi haiwezi kupata hasara lakini ilisha jitayarisha siku nyingi jinsi ya ku-deal na NATO specifically USA hata bila ya kitegemea Uchina,Korea Kaskazini na Iran - in case mataifa hayo yakihamua kushirikiana kiipa findisho US watahakikisha vita hii inapiganwa kwenye aridhi ya Merikani kweyewe for the first time,means and ways ya kifika huko Merikani mataifa hayo tajwa hapo juu yanayo sana - mark my word.
Hahahahahah huyu mzee kashalambishwa asali na mamluki wa US bila shaka 😀updates: Ukraine signals counterattack to come 'very soon' as Wagner mercenaries suffer large losses
Holly Ellyatt
WATCH LIVE
Ukraine's most senior ground forces commander sent a strong signal Thursday that the country's armed forces will launch a much-anticipated counteroffensive "very soon" to take back lost territory.
Colonel-General Oleksandr Syrskyi said that the Wagner Group of mercenaries fighting in Donetsk were losing manpower, equipment and "considerable strength" and that "very soon" his forces would take advantage of the "opportunity" that presented.
A repainted mural depicting the logo of Russia's Wagner Group on a wall in Belgrade, Serbia, on Jan. 19, 2023.
Darko Vojinovic | AP
The comments come just as Russian forces are seen to be losing momentum in Donetsk in eastern Ukraine.
Separately, the head of the Wagner Group of mercenary forces in Ukraine, Yevgeny Prigoin, denied a Bloomberg report suggesting that he is preparing to reduce Wagner's involvement in the conflict after a major dispute with Russia's Ministry of Defense.
Kidume kitashuka kwa mkaburu bila kujali chochote na hakuna shoga wa kumkamata.❗️Putin Invited To BRICS Summit In South Africa Despite Arrest Warrant
Russian President Vladimir Putin is invited to the BRICS summit in South Africa, despite his arrest warrant issued by the International Criminal Court, according to South African Foreign Minister Naledi Pandor.
According to her, the Russian leader is expected at the summit, which will be held in August, although the ICC warrant is "some cause for concern."
"In the past, I have repeatedly pointed out double standards in world problems. There are many other countries involved in conflicts, but none of them were interested in the ICC," she said.
Subscribe to RT
Wahuni sio watu🤣🤣🤣Wakuu mnaongeleaje hii ishu iliyojitokeza wiki hii. Ina semekana kuna kikundi cha wanajeshi wa US walienda Ukraine kupiga hela za donations na wamepiga zaidi ya billion 7 za Kitanzania wakijifanya wanashiriki vita front lines kumbe walikuwa wanakula malaya tu na kulewa kwenye makasino Kyiv na Lviv!!
Wewe utakuwa shoga ndio maana unatetea interest za hao madhalimu wenye wivu na husda ya hali ya juu kwenye maendeleo ya mataifa mengine.Mimi natumia mantiki nyie mnatumia misisimko kujenga hoja zenu. Kwani wapi nimebisha kwamba nguvu ya dollar inatokana na nchi nyingine kutumia dollar kwa kufanyia biashara? Ninachosema huo ni uhalisia na kuubadili inawezekana lakini siyo jambo rahisi.
Kwa mfano niliotoa ni kuonesha nguvu ya kununua (Purchasing Power) ambayo kimsingi ndiyo inayofuatwa kwa nchi nyingine kupeleka bidhaa zao Marekani. Na kama unakumbuka nilizungumzia mambo ya "Trade Volume" kuhusu Tanzania na India kuamua kutumia sarafu zao.
Maana watu wanatoa mfano wa mambo ya "Gold Standard" kama vile ni kitu kiteule wakati ni mfumo tu kama mfumo wa matumizi ya dollar yalivyo. Kwa ivo mtizamo wangu ni wa sasa ingawa sipingani na "Speculations" Zenu kuhusu nchi nyingi duniani kuacha kuitumia dollar kama fedha ya usawazisho dhidi ya sarafu zao.
Hahahah kaeni mkao, wazee wapo kazini🤣 show inakwenda kama ilivyopangwa.Kuna watu bado hawaelew maana ya hii SMO .......hii ni ku demilitarize ukrine plus ku buy time ili kuleta economic hardship Kwa EU
Ukibisha jibu swali hili
Kama hypersonic missile za Russia haziwezi kuwa intercepted.......kwanini asivunje ikulu ya zelensky na hizo missiles....ili kumfuta kabisa .......
.the answer is Russia anapigana friendly ili ku buy time[emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179]
Nukuu
Xi jinping: we're the one driving these changes
Putin: I agree
Je ni changes Gani hizo
Haya ndio mambo nayotaka kuyashuhudia. Sasa kiherehere yeyote ashoboke kumshika Putin ili washuhudie jinsi Nuclear Missile inavyofanya kazi😀[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia will bomb any country that attempts to arrest President Putin on the orders of the ICC.
This threat is similar to the US threat which warned about using military force against the ICC if they ever attempted to arrest US soldiers or politiciansView attachment 2563430
Uzuri nchi zishasema watamkamata, kama anajiamini aende hizo nchi husikaIf Putin were arrested abroad after ICC warrant it would mean a "declaration of war," Russian official says
From CNN's Radina Gigova in London and Nadine Schmidt in Berlin
Dmitry Medvedev attends a military parade on Victory Day in Red Square, Moscow, Russia, on May 9. (Maxim Shemetov/Reuters)
If Russian President Vladimir Putin gets arrested overseas following the International Criminal Court’s (ICC) warrant, that would mean "a declaration of war against Russia," Russian Security Council Deputy Chairman Dmitry Medvedev said Thursday, according to state news agency TASS.
Responding to German Federal Minister of Justice Marco Buschmann’s remark that Berlin would have to implement the ICC decision and arrest the Russian president if he arrived in Germany, Medvedev said: "Does he even realize that it would be a casus belli, a declaration of war?
Medvedev also reiterated that the ICC’s decision would have detrimental impact on Moscow’s relations with the West.
"Our relations with the Western world are already poor; they are perhaps at their worst ever. Even when Churchill delivered his Iron Curtain speech, our relationship was better. And all of a sudden, they make such a move against our head of state," Medvedev said, according to TASSS.
Nimeshangaa hizo ndege zimepaa kutoka Slovakia hadi Ukraine[emoji298]️Slovakia has already handed over the first four MiG-29 fighter jets to Ukraine, Slovak Defense Minister Yaroslav Nagy said.
The transfer was reportedly carried out by Ukrainian pilots, with the support of the Slovak Air Force.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hali imekuwa tofauti na matarajio yao[emoji298]️Yevgeny Prigozhin, Financier of Wagner Private Military Company, is preparing to wind down the military operations of his mercenaries in Ukraine and turn his attention to Africa, Bloomberg reported.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Maskini wengi kukikucha wapo kwa matajiri ila sio tajiri kukuche awe kwa maskini.Putin ni tajiri na kiongozi mkubwa.sio kila nchi anaenda tu,kwa mwaka unakuta katembelea nchi nne au zikizidi sana 6 tu.Uzuri nchi zishasema watamkamata, kama anajiamini aende hizo nchi husika
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app