mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
Sasa nani alimwondoa Gaddaf madarakani?Ni kweli baada ya Ghadafi kuondoka baadhi ya mataifa moja moja ya NATO yaliingia kwenye mgogoro ule. Mleta mada alidai NATO ndiyo ilimuondoa madarakani Ghadafi kitu ambacho siyo kweli.
Ha ha haaaa! Wahuni hao West, wamemuwekea vikwazo asiende kwao halafu eti wanamuwekea 'warrant'! Wamuondelee vikwazo vya kwenda kwao, halafu aende huko wamkamate kama wamedhamiria!Zitaje
Libya National Transitional Council (NTC)Sasa nani alimwondoa Gaddaf madarakani?
NATO inahusika katika kumuondoa Ghadafi maana wao walikuwa wanatoa air suport,kufundisha wapiganaji na pia kutoa silaha.kwa iyo mtoa mada yupo sahihi kabisa.Ni kweli baada ya Ghadafi kuondoka baadhi ya mataifa moja moja ya NATO yaliingia kwenye mgogoro ule. Mleta mada alidai NATO ndiyo ilimuondoa madarakani Ghadafi kitu ambacho siyo kweli.
Yevgeny Prigozhin, the founder of the mercenary Wagner Group, is to shift his attention from the war in Ukraine, according to a report.
Ni kweli kabisa "walisaidia" kuondoka kwa Ghadafi lakini siyo wao waliompindua GhadafiNATO inahusika katika kumuondoa Ghadafi maana wao walikuwa wanatoa air suport,kufundisha wapiganaji na pia kutoa silaha.kwa iyo mtoa mada yupo sahihi kabisa.
Na hata msafara wake wa mwisho ulishambuliwa kwenye mji wa Sirte na ndege za NATO baada kufatilia simu ya mwisho ya Ghadafi.
Huyu SAfrika wanamtafutia angle wammalize kiuchumi maana sio loyal kabisaPutin invited to South Africa summit despite arrest warrant, foreign minister says
South Africa's foreign minister Naledi Pandor has confirmed that Vladimir Putin is invited to an economic summit being hosted by the country this summer - despite a warrant being issued for his arrest.
Naledi Pandor says Mr Putin is one of the heads of state of Brics - denoting the emerging economies of Brazil, Russia, India, China and South Africa - and will be invited to the 15th summit at Durban in August.
The Russian leader was made the subject of an arrest warrant by the International Criminal Court (ICC) last week, accusing him of war crimes for his alleged involvement in child abductions from Ukraine.
It legally obligates the ICC's 123 member states to arrest Mr Putin and transfer him to The Hague in the Netherlands, where the court sits, for trial if he steps into their territory.
As a member of the ICC, Ms Pandor said South Africa would "have to have a discussion in the context of cabinet to decide how we respond".
Such discussions should happen "as soon as possible," she said.
It is unclear whether Mr Putin will accept the invitation to attend the summit.
Earlier this week, a spokesperson for South African President Cyril Ramaphosa said the country was aware of its legal obligation over the warrant and would "remain engaged with various relevant stakeholders".
[emoji23][emoji23][emoji23]ukweli mchungu lazima usemwe
View attachment 2561664
Waasi awakuwa na uwezo wa kumuondoa Ghadafi maana Ghadafi alikuwa na jeshi kubwa.ndege za NATO zililipua ndege za Ghadafi pamoja na kambi zote kubwa.Ni kweli kabisa "walisaidia" kuondoka kwa Ghadafi lakini siyo wao waliompindua Ghadafi
Ila we jamaa... Bora wazazi wako wangetumia kondomu.... Nakuingiza ignore list chap...Mkuu naona hatari ya Urusi kuporomoka. Kwa sasa si rahisi kuona jinsi watakavyomaliza. Putin aliongeza ugumu wa kupatana na Ukraine kwa kutangaza mikoa hii ya Ukraine kuwa sehemu za Urusi. Ukraine haitakubali kamwe (isipokuwa jeshi la Putin linafaulu kuteka Kyiv) na Putin hawezi kurudi nyuma. Zele ametangaza baada ya mauaji ya Bucha (kabla alikuwa tayari kupatana) anapaswa kupata kila kitu pamoja na Donbas na Krim.
Kwa hiyo ama Urusi anafaulu kushinda kabisa (ambayo sioni) au Urusi inapigwa hadi inapaswa kukubali aondoke.
na hapa naona hatari ya kuporomoka kwa Urusi (Medvedyev mwenyewe alisema vile). Hii ingekuwa hali ya hatari kwa Asia ya Kati.
Au wataendelea kuchinjana hadi kuchoka kabisa pande zote?
Ila we jamaa... Bora wazazi wako wangetumia kondomu.... Nakuingiza ignore list chap...Mkuu naona hatari ya Urusi kuporomoka. Kwa sasa si rahisi kuona jinsi watakavyomaliza. Putin aliongeza ugumu wa kupatana na Ukraine kwa kutangaza mikoa hii ya Ukraine kuwa sehemu za Urusi. Ukraine haitakubali kamwe (isipokuwa jeshi la Putin linafaulu kuteka Kyiv) na Putin hawezi kurudi nyuma. Zele ametangaza baada ya mauaji ya Bucha (kabla alikuwa tayari kupatana) anapaswa kupata kila kitu pamoja na Donbas na Krim.
Kwa hiyo ama Urusi anafaulu kushinda kabisa (ambayo sioni) au Urusi inapigwa hadi inapaswa kukubali aondoke.
na hapa naona hatari ya kuporomoka kwa Urusi (Medvedyev mwenyewe alisema vile). Hii ingekuwa hali ya hatari kwa Asia ya Kati.
Au wataendelea kuchinjana hadi kuchoka kabisa pande zote?
Vita mbaya sana,kwa hasara aliyolambishwa urusi huko bakhumut ni vigumu kuamini anakaribia kutema bungo 🥱
Ukraine wamesema wataushangaza ulimwenguVita mbaya sana,kwa hasara aliyolambishwa urusi huko bakhumut ni vigumu kuamini anakaribia kutema bungo 🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tutegemee kushuhudia maandamano zaidi kwenye nchi nyingi za Ulaya.
[emoji635][emoji635] Urusi imewashika pabaya[emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji95][emoji635][emoji95] Russia has doubled its revenue from coal sales despite sanctions.
Moscow doubled tax revenues from the industry to RUB 360 billion in 2022, up from RUB 175 billion a year earlier. In addition, Russia became Germany's largest supplier of coal in 2022.[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]View attachment 2563513