Hizi habari huzipati msm
Kwa kifupi Mzee baba Marekani, safari hii kaingia kwenye choo Cha wa mama wajawazito.Tupo pamoja na Dmitry Medvedev
Hiki ki Zelensky kijinga sana.Zelensky Demands More & Faster from EU Leaders
The Ukrainian president has warned that any delays in sending fighter jets, tanks and weapons could extend the conflict, an EU official said. (Reports)
Addressing a summit via video link, Vladimir Zelensky urged for more sanctions against Moscow, speeding up Ukraineβs EU membership, and more support for Kievβs 'peace plan'.
Western allies remain unsure about Zelensky's petitions for modern fighter jets he calls - βwings of freedomβ. Only Slovakia and Poland have both agreed.
Follow @RT_India_official
Kajamaa siku hizi kanatoa amri tu πππππ
Ufaransa mapinduzi? Sijui. Nchi zote za Ulaya zinapambana na changamoto ya kuzeeka kwa jamii, yaani idadi ya wazee inaongezeka. Mifumo ya tiba ni nzuri hivyo watu hufikia umri mkubwa, ilhali kila mzee ana haki ya malipo. Karibu nchi zote zimeshaongeza umri wa kustaafu... Inawezekana serikali ya Ufaransa itabadilishwa, ila hii si jambo geni katika mfumo wao.Hujajibu swali langu mkuu....
Watu millions wapo barabarani France huko ila wewe unaona Russia ipo kwenye Blink of revolution na sio France?
Dadeki,Sasa hivi west ni mwendo wa kusimangwa TU.South Africa Economic Freedom Fighters leader MALEMA: "ICC: Putin is welcome here. And no one is going to arrest Putin... we don't want ICC's hypocrisy to apply here in our country, President Putin is welcomed... We know our friends. We know the people who liberated us."
Huko SA alikwenda Omar Al Bashir wa Sudan wala hakukamatwa ,sembuse Rais wa nchi inayoitisha NATO na Mkuu wake.?!Angalia mataifa aliyokwenda Putin kabla hata ya SMO!Putin sio mzuriraji wa hovyo,US kwenyewe mara ya mwisho kwenda ni 2015!
Subirini mkamkamate South Africa kwenye BRICS summit August!
2021,Putin ameenda uswiss na India tu!
Supapawa kakimbizwa na Kikundi Cha watu TU,wala sio taifa,Taliban waonyesha baadhi ya mzigo ulioachwa na Wamarekani baada ya kukimbia AfghanistanView attachment 2563798
Je uchumi wa Ulaya unakuwa?Vita ilisababisha mapinduzi wakati watu walianza kuona njaa, au mazishi yalizidi, au makosa na uwongo wa viongozi vilikuwa dhahiri, au hofu ya watawala iliwafanya kutumia nguvu ya kinyama dhidi ya maandamano, au mchanganyiko wa sababu hizo...
nchi za Ulaya hakuna mazishi, na hadi sasa uchumi haukwami.
Urusi kuna mazishi. Uchumi unarudi nyuma, mwaka jana mapato ya gesi na mafuta yalifika bado, lakini mapao yanapungua sana. Njaa bado.
Mwaka ujao tutaona kama pesa za ustawi wa jamii na misaada kwa watu maskini itatosha au la. Putin ameongeza udhibiti wa media na intaneti, hivyo tutaona kama atafaulu kuendeleza kiwango cha propaganda . . . .
Huu uandishi wako ukipita bila utulivu ukifika mwisho unajiona kama una matatizo ya kichwa.Ufaransa mapinduzi? Sijui. Nchi zote za Ulaya zinapambana na changamoto ya kuzeeka kwa jamii, yaani idadi ya wazee inaongezeka. Mifumo ya tiba ni nzuri hivyo watu hufikia umri mkubwa, ilhali kila mzee ana haki ya malipo. Karibu nchi zote zimeshaongeza umri wa kustaafu... Inawezekana serikali ya Ufaransa itabadilishwa, ila hii si jambo geni katika mfumo wao.
Sikusema Urusi iko kwenye "blink of revolution". Ila naona uwezekano kama vita itaendelea vibaya.
Mfumo wa Putin haina nafasi ya kuandamana na kupinga. Ukimya au mlipuko. Ufaransa wanaweza kuchemka kidogo hadi joto litakapopungua.
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππView attachment 2564126
Julius malema