Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha shobo mtoto wa kiume utapakatwa uanze kulia tena
 
Hawezi kuelezea. Mzowee tu huyu binti. Ni mbishi kiasili
 
Point yako ni nini hasa au unampinga jamaa au unatoa clarification???Wageni si wageni tu..either kutoka nchi jirani au nchi za mbali au mpaka wawe weusi....au ulitaka wavuke bahari ambayo haipo....
 
Kwani ni kosa kutumia vifaru vya zamani?
 
"Not too generous": the Polish prime minister accuses Germany of not supporting Ukraine enough.

Germany has not provided enough support for Ukraine, Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki told POLITICO in an interview Friday, lashing out at Berlin while Europe looks for ways to continue arming Kiev.

Among his suggestions: NATO allies should dramatically increase their spending to 3 percent of economic output, the EU should explore new debt facilities for defense purposes, and countries should accelerate efforts to repurpose frozen Russian assets for military action.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Dawa ime waingia NATO ndege zao zinaishia Romania[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1205][emoji631] NATO is doing the same old thing — US Lockheed EP-3E Aries II electronic reconnaissance aircraft is flying over the Romanian coast. Apparently, they refuse to go to the Black Sea without fighters' cover.

#Russia #Crimea #Putin #Ukraine
 
Kwani ni kosa kutumia vifaru vya zamani?
Hapana!!! Ni dalili ya nguvu na hasa ushujaa. Ukichukua debe hizo za kale kutoka makumbusho (yaani vifaru vya aina T 54 na T55) unaonyesha kwamba huogopi kifo wala chochote. Yaani ukiwa na akili (na ukiongozwa na jeniasi Putin) unajua vema kwamba magari yako hayana uwezo wala kinga lakini unapuuza hatari na matatizo yote! 😉
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji298]️ Briefing by Chief of Nuclear, Biological, and Chemical Protection Troops of Russian Armed Forces Lieutenant General Igor Kirillov on consequences of West nations' supplying Kiev-regime with depleted uranium ammunition

[emoji821] is.gd/OPcne9
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
#Wagner Breaksthrough Southern #Bakhmut Reaching The Center | Full Front Update 25/03/23 russiatruth.co/wagner-breakst… via @russia_truth Wagner wanachanja mbuga kuelekea kwenye mapango ya wanamgambo wa Ukraine
 
Point yako ni nini hasa au unampinga jamaa au unatoa clarification???Wageni si wageni tu..either kutoka nchi jirani au nchi za mbali au mpaka wawe weusi....au ulitaka wavuke bahari ambayo haipo....
Mkuu sikujadili idadi ya wageni katika nchi yoyote. nilidokeza tu kuna nchi ambako watu wa mbali wanapanga foleni mpakani ili wapate (labda) nafasi ya kuingia ingawa hawana vibali wakiona pia hatari nyingi kuvuka mipaka.
Nikisikia maoni hapa nashangaa namna gani foleni hizo hazionekani mpakani mwa nchi ambazo ni paradiso za maendeleo na ustawi kama vile Urusi, lakini zinaonekana mpakani mwa nchi zinazozidi kufilisika kila siku kama vile Ufaransa, Uingereza, Hispania au Ujerumani, tena nchi ambazo hazina usalama kwa sababu mkuu Medvedev anaeleza kila siku jinsi atakavyozibadilisha kuwa majivu matupu.
Hii angalau picha ninayopata nikisoma michango hapa uwanjani.
Kwa hiyo nimeshangaa kidogo.
 
Chelsea Manning, Edward Snowden na Julian Asange sidhani kama wanaiona tofauti ya Urusi na Marekani likija swala la uhuru wa maoni
Hapana. Leaking na kutoa mawazo tofauti ni mambo mawili tofauti kabisa. Lakini kwa Urusi kufanya "Leaking" adhabu yake ni kifo.

Kulinganisha Kina Assange na huo ujinga wa watu wa Urusi kuzuia watu kutoa mawazo tofauti na serikali haupo Marekani.
 
Enemy spies report: "MI-6 transmitted intelligence to Ukraine that the Russian General Staff has accumulated significant reserves of equipment, ammunition, soldiers in the Crimea for a counterattack in the upcoming battle of the Sea of Azov. For the last 3 months, reserves have been formed in warehouses and military bases that are capable of providing everything necessary the Russian army throughout the year" - from Ukrainian sources t.me/vicktop55/13962
 
Nyie hamtakiwi kuangalia Urusi anatumia silaha gani au wanakufa wangapi.nyie pambaneni ili mumtoe Mrusi Ukraine maana wenzenu huko Urusi wanakula bata tu wakati ukraine asilimia 75 ya watu wake wapo ukimbizini.

Kule zanzibar kuna wa Ukraine kama wote awataki kurudi kwao kwa sababu ya vita.imebidi waombe msaada wa ifadhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…