Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Sielewi ni kwa nini warusi kwenye msafara wao lazima wabebe na mafurushi ya nyama za nguruwe!!?? Au ile baridi inawazingua!!Vita ipo Bakhmut centre kugombea makao makuu ya mji.usijali muda sio mrefu tutatangaza rasmi kichukua mji kwa asilimia 100 japo mpaka sasa tumechukua zaidi ya asilimia 75 ya mji wote.
MkuuNina wasiwasi huenda hii mission ya kuikomboa Donbas ikawa ndio ya mwisho kwa WAGNER hapo Ukraine baadae watakuja kupambana africa especially Congo, mali na afrika ya kati
Baada ya hapo itapigwa full scale war na red army wenyewe hapo kyiv
Hii kampeni itamalizwa kwa pigo zito mfano wa vita ya pili ya dunia, baada ya hapo kubwa jinga mmoja atarudi matawi ya chini ila ataendelea kuwa na heshima na adabu kwenye huu ulimwengu.
Either america au russia atashikishwa adabu.
Alisikika mpemba aliyeshiba futari.
Nikisema LGBTQ namaanisha WesternsHili suala la LGTB linahusiana vipi na hii vita??
Kwa kuwa wanaiunga mkono Ukraine ni 'LGTBQ'Hili suala la LGTB linahusiana vipi na hii vita??
Nikisema LGBTQ namaanisha Westerns
Kwa kutumia kigezo Gani??Kwa kuwa wanaiunga mkono Ukraine ni 'LGTBQ'
Na ndio maana Icc wanawalilia wale watoto walio kombolewa na Putin[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Baada ya Urusi kuwafyeka wanamgambo wengi wa Ukraine sasa ivi Zelenks kaanza kuingiza watoto jeshini ili wamlinde asijechomolewa Bandama na Wagner [emoji1787][emoji1787]
Ukraine is promoting a lot of militarism directly towards children. This was recorded near a Ukrainian army checkpoint.
It’s unclear if Zelensky would start sending child soldiers to the frontlines in the futureView attachment 2565207
Kama mbwai na iwe mbwai.We are not transferring our tactical nuclear weapons to Belarus, but we will deploy them and train the military, like the United States in Europe.
Putin
Vigezo vilivyopo...wame-declare wenyeweKwa kutumia kigezo Gani??
Unataraji lini mtatangaza mkuu?Vita ipo Bakhmut centre kugombea makao makuu ya mji.usijali muda sio mrefu tutatangaza rasmi kichukua mji kwa asilimia 100 japo mpaka sasa tumechukua zaidi ya asilimia 75 ya mji wote.
Vigezo vilivyopo...wame-declare wenyewe ma-LGTBQKwa kutumia kigezo Gani??
Mkuu umeelewa swali? Sijauliza uwezo wa Russia. Rudia kusoma swali langu kama unalojibu utareply hizi ulizoleta ni Opp kabisa.SMO is well calculated and all objectives will be achieved.
Tambua kwamba Russia inaweza kurusha kombora 1 tu la nuke pale Kiev na hii SMO ikaisha.
Kwa hiyo kaa kwa kutulia.