Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

CIA Wana kazi sana safari hii,wataua na kupindua marsis wangapi hapa duniani.
 
Ukijua TU kucheza Chess.
Umemaliza.
 
Hizi T 90 nilihesabu. Niliona tisa. Ziko nyingine? Wapi? Nilisoma Uralvagonzavod wanaweza kutoa 29 kwa mwezi. Picha yako inalingana na taarifa. Ni takriban nusu mwezi. Zitadumu siku ngapi?
Hahahahahahahahaha daaaaaaah kwa hiyooo hivyo vifaru tisa umehesabu ukiwa Bakhmut au kharkiv
Hahahahahahahahaha humu kuna vituko saaaaaaaana
 
Zingekua zinafirisika benki za Urusi,tungekua hatunywi maji humu Jukwaani.
Kuna viji memba viwili humu vinajua Kila kitu,vingesema "tayari vikwazo vimeanza kazi!
Lkn Urusi inadunda TU.
Mkuu maskini hawezi filisika! Hakuna Benki hata moja hapa Tanzania imefilisika huwezi sema tuna hali nzuri kuzidi USA bali hatunacho cha kufilisika.
 
Una prove gani kwamba hii ni blogu ya kirussi?? Kwasababu imeandika kirusi??
Mkuu katika dunia ya intaneti hakuna "prove" - je hujui??? Kuna dalili za kupokea blogu hii, hasa pamoja na yale tunayoona uwanjani. Mara ngapi washabiki wa Putin walisifu hapa T14 Armata, na kumkemea yeyote mwenye mashaka... Lakini hadi leo hazikufika uwanjani. Labda kun akiba kubwa Mwezini au mafichoni chini ya ardhi.

Ukipenda kuamini, amini tu.
Napendelea kufikiri na kuona.
Sioni mafanikio ya Putin, sioni jenasi, sioni tekinolojia ya juu, na hasa sioni bado dalili ya kuwepo kwa vipuri vingi vya kukarabati vifaru vilivyokaa miaka kwenye matope ya Siberia.
 
Na wewe una amoni ropaganga hizi za kuchonga kibaya zaidi aliye file this report is not even Russian -military confidential kuziibuwa wapi - store za kibuni tu zenye lengo la kutaka kuonrsha kwambabRussia is in dire straits - ulaghai mtupu.
Mkuu shika imani yako tu! Hadi ninapoona hivi vifaru elfu nyingi uwanjani napendelea kulinganisha taarifa mbalimbali zinazopatikana... nikiona maelezo yenye mantiki yanayotaja sababu ya kutoonekana kwa vifaru elfu nyingi napendelea kuyazingatia.

Hotuba ya Medeyev aliporudia maneno ya Stalin ilirushwa kwenye media ya Urusi. Akitumia maneno ya Stalin, je hii si namna ya kutisha wakubwa wa viwanda? Kwa nini anahitaji kuwatisha kama mambo yanaenda vizuri??

Ila mkuu, ukpenda kutunza imani yako, heri usiulize maswali hayo.
 
Mkuu habari za HIMARS hazikuisha. Ila mafanikio makubwa yamepungua maana jeshi la Putin limejifunza. Vitu vyenye thamani kubwa (akiba kubwa za grenedi, makao ya makamanda ) haviwekwi tena karibu na mstari wa mapigano jinsi Warusi walivyofanya mwanzoni. Kwa hiyo HIMARS inapiga vitu vidogo zaidi siku hizi...
Kuhusu Leopard - tuwe na subira kidogo...
 
Uganda Kakomaa
Uganda ‘very satisfied’ with defense ties with Russia – president

Moscow and Kampala have had excellent bilateral relations dating back to the Soviet period, Yoweri Museveni has said

on.rt.com/calp
 
‼️🇺🇸 Congresswoman Marjorie Taylor Green on the fall of the #dollar:

I warned that the dollar would be replaced by the yuan a year ago, when Washington decided to wage a proxy war with Russia in Ukraine, and now it is happening.

Warmongers in Ukraine will plunge Americans into…
 
Kwa nini mara zote hujiulizi inakuwaje 90% ya repoti zinazo kuwa filed hapa zinatoka kwenye media za Uingereza - why, kwani wana embeded reporters kwenye war front au?

Hawajui hata kiwanda kikubwa cha kuunda main battle tank kipo Mkoa gani na mji gani nchini Urusi au wanajifanya hawajui.

Kwa taarifa yako kiwanda ambacho hawakisemi ndio kiwanda kikubwa sana Duniani kuunda Main Battle Tanks au wewe hizo habari huna - Mendevdev kiwanda alicho tembelea ni kodogo by comparison alitoa ushauri kwa wafanya kazi kuongeza bidii kwenye production hiyo ndio kazi yake yeye kama mshauri wa masuala ya ulinzi, wewe ulitaka aseme nini wakati taifa lake sasa hivi sasa lipo vitani - msianze ku-gross misintepret kauli za viongozi wa Urusi for political reasons

FYI Ukraine na mabeberu wake have na ways or means of winning this war, watashinda vita kwenye main stream media za magharibi na social media zao lakini sio kwenye war front - kama Urusi ikihamua kufanya kweli kwa maadui zake, wote watajuta kuzaliwa.
 

Dollar ikiangua, USA will disintegrate.
Hiyo United States itasambaratika kabisa.
 
Ukitaka kujua General Vladimir Putin ni mtu smart na mwenye ushawishi mkubwa dunaini angalia dunia ambavyo huchangamka kila anapomaliza kutoa speach.

Hivi karibuni baada ya kusema atasafirisha nukes kwenda Belarus, tayari bara zima la ulaya lishaanza kuhangaika utadhani mgonjwa wa tumbo la kuhara. Putin anaweza akaongea sentensi moja tu yenye maneno yasiyo zidi kumi lakini ikatikisa mamia ya vyombo vya habari duniani.

Kiufupi, Speach ya Putin ni furaha na ukombozi kwa dunia pia ni tumbo joto kwa mabeberu na vibaraka wao.

NI FAHARI KUBWA SANA KWA TAIFA KUONGOZWA NA MTU SMART KAMA PUTIN [emoji635]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…