Mkuu nakufuatilia muda Sana...ushauri wangu acha kubisha na watu wa kwenye kahawa hao wenyewe Wana sifa ya ubishi alafu kichwani hawana details...watu wengi wamekalili Russia ina nguvu kubwa bila kufafanua nguvu hiyo ni ya namna gani ....nimeona unafafanua ni kweli Russia ina silaha nyingi Ila ni za zamani...ndio maana Yuko hapo alipo kwenye bettle mpaka leo...B-52 Stratofortress zinakuwa modernized na kuongezewa lifespan. Zishabadilishiwa injini na systems zote mara kibao. Kuna variants zaidi ya 10 ya B-52 hizo, wewe unaona kasha lile airframe ndio inaita ndege. Unajua Land Cruiser zimeanza lini? Officially zimeitwa hivyo mwaka 1954 ila zipo kwa jina lingine since early 1940s, je mtu akija na Land Cruiser ya 1954 na ya 2022 utasema vyote sawa kisa jina moja?
Alafu kumbe niko nabishana na mtu anayeiita Iskander tactical ballistic missile kwamba ni short range air defence system? Sasa kuna haja gani ya kuendelea kubisha na mtu huyu.
Propaganda ni hii ya kwako hapa mkuu, umeandika unavyotaka, report za kwanza zinasema 12,000 lakini nyengine za UN wamekadiria 3000 hadi 6000, kwa ufupi elewa russia wana kibarua kigumu ukrain na wewe changanya na zako, hii hapa chini ni mifano na hali halisi ya hii vitaNaomba kazi ya kusambaza propaganda, angalia mfano huu
Mpaka sasa wanajeshi 12,000 wa urusi wamekufa huku wanajeshi wa Ukraine wakiwa hawajauawa hata mmoja. Urusi inaenda kufulisika ndani ya mwez mmoja, hakika shetani Putin atajutia maamuzi yake.
Nchi za mungu, USA na umoja wa ulaya wanamchora tu Putin, mda si mrefu watamfuta kwenye ulimwengu.
Mkuu huna akili, kwani hao WAUKRAINE HAWAFI AU??Putin anao ubabe wa kijinga,anaendelea kupoteza askari wake na kuua raia wa Ukraine bila sababu ya msingi [emoji848]View attachment 2147792View attachment 2147793
Duh afu Wamerakani kwa aibu hawataongea wanakufa Kijerumani
Ukiona generali kauawa basi ujue Askari wengi wa Russia wameuawa sababu generali hulindwa na Askari wengiPropaganda ni hii ya kwako hapa mkuu, umeandika unavyotaka, report za kwanza zinasema 12,000 lakini nyengine za UN wamekadiria 3000 hadi 6000, kwa ufupi elewa russia wana kibarua kigumu ukrain na wewe changanya na zako, hii hapa chini ni mifano na hali halisi ya hii vita
View attachment 2147794View attachment 2147798
Kifaru sio nyumba ya majani kwamba unaiwasha inawaka, video inaonesha wamewaka wenyewe badala ya kifaruRaia wa Ukraine wakiwa kwenye gari Yao,wakitia moto kifaru cha Urusi 🤔
https://www.facebook.com/
Ukiona hivyo ujue nato wamebanwa mak3ndeInaonekana leo vita ime simama maana naona vyombo vya habari vimeacha kutuletea kinacho endelea.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Sema urusi mafala sana si wapige bomu Moja matata sana (hata la nyuklia ) sawa tu Ili marekani na washirika waingilie nao wapigwe mabomu ya masafa marefu (kwao) waonje joto la vita na wao kdgLIVE UPDATES: Russia Disables Ukraine's Main Radio Intelligence Centre
Samahani sikujuwa kama kuna walimu wa kiengereza humu unaweza kunipa zero tu haina shida muhimu umeelewa. Kichaa siku zote anajuwa yeye mzima ila waliomzunguka ndio vichaaHiki Kiingereza chako kimekata kona ya hatari, andika kiswahili utaeleka vizuri tu.
Hapana mkuu, Russia wanakwenda na plans wana AB na CSema urusi mafala sana si wapige bomu Moja matata sana (hata la nyuklia ) sawa tu Ili marekani na washirika waingilie nao wapigwe mabomu ya masafa marefu (kwao) waonje joto la vita na wao kdg
Acha ujinga, Kiingereza cha standard 3 kinakushinda afu unakuja kuchambua vita vya Urusi!Samahani sikujuwa kama kuna walimu wa kiengereza humu unaweza kunipa zero tu haina shida muhimu umeelewa. Kichaa siku zote anajuwa yeye mzima ila waliomzunguka ndio vichaa