LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Putin anao ubabe wa kijinga,anaendelea kupoteza askari wake na kuua raia wa Ukraine bila sababu ya msingi 🤔
Screenshot_20220312-123651.png
Screenshot_20220312-123706.png
 
B-52 Stratofortress zinakuwa modernized na kuongezewa lifespan. Zishabadilishiwa injini na systems zote mara kibao. Kuna variants zaidi ya 10 ya B-52 hizo, wewe unaona kasha lile airframe ndio inaita ndege. Unajua Land Cruiser zimeanza lini? Officially zimeitwa hivyo mwaka 1954 ila zipo kwa jina lingine since early 1940s, je mtu akija na Land Cruiser ya 1954 na ya 2022 utasema vyote sawa kisa jina moja?

Alafu kumbe niko nabishana na mtu anayeiita Iskander tactical ballistic missile kwamba ni short range air defence system? Sasa kuna haja gani ya kuendelea kubisha na mtu huyu.
Mkuu nakufuatilia muda Sana...ushauri wangu acha kubisha na watu wa kwenye kahawa hao wenyewe Wana sifa ya ubishi alafu kichwani hawana details...watu wengi wamekalili Russia ina nguvu kubwa bila kufafanua nguvu hiyo ni ya namna gani ....nimeona unafafanua ni kweli Russia ina silaha nyingi Ila ni za zamani...ndio maana Yuko hapo alipo kwenye bettle mpaka leo...
 
Naomba kazi ya kusambaza propaganda, angalia mfano huu

Mpaka sasa wanajeshi 12,000 wa urusi wamekufa huku wanajeshi wa Ukraine wakiwa hawajauawa hata mmoja. Urusi inaenda kufulisika ndani ya mwez mmoja, hakika shetani Putin atajutia maamuzi yake.

Nchi za mungu, USA na umoja wa ulaya wanamchora tu Putin, mda si mrefu watamfuta kwenye ulimwengu.
Propaganda ni hii ya kwako hapa mkuu, umeandika unavyotaka, report za kwanza zinasema 12,000 lakini nyengine za UN wamekadiria 3000 hadi 6000, kwa ufupi elewa russia wana kibarua kigumu ukrain na wewe changanya na zako, hii hapa chini ni mifano na hali halisi ya hii vita

mateka.jpg
IMG_1089.jpg
 
Propaganda ni hii ya kwako hapa mkuu, umeandika unavyotaka, report za kwanza zinasema 12,000 lakini nyengine za UN wamekadiria 3000 hadi 6000, kwa ufupi elewa russia wana kibarua kigumu ukrain na wewe changanya na zako, hii hapa chini ni mifano na hali halisi ya hii vita

View attachment 2147794View attachment 2147798
Ukiona generali kauawa basi ujue Askari wengi wa Russia wameuawa sababu generali hulindwa na Askari wengi

Nampongeza aliyeua huyo generali wa Tatu wa urusi
 
Hii vita kama Urusi wangefanikiwa ingia mji mkuu wa Ukrine on Day one wangeshamaliza ! Tatizo kuna invisible Hand kwenye hii vita (kuna Dogo ana ufahamu wa nguvu na uwelewa wa majeshi yote makubwa Duniani! Huyu ndo anapigana hivi Vita - kwake mbali na kusaidia pia anatest system zake za kijeshi.ambazo no country have or have a knowledge about their existing ! Patamu sana hapa🇮🇱 na kwao mwenzao ni Mwenzao na ukimchokoza mmoja wanakuja wote kumtetea na Kumsaidia .Baada ya madhara waliyoyapata toka kwa Hitler awa majamaa awataki yeyote awaonee tena au kumbully mmoja wao
 
Kwamba hawakujua kwamba Lift inaweza ikazimwa kwa ku-disconnect power supply ?

Anyway vita ya kwenye makazi ya watu na kushitukizwa na inayochanganya raia / soldiers walioji-camouflage kama raia sio rahisi hata America Vietnam na Somalia walipata shida..., ila ndio hivyo wangetumia Bazooka kusarambatisha hilo ghorofa wangepigwa propaganda kwamba wameua wazee na walemavu...
 

LIVE UPDATES: Russia Disables Ukraine's Main Radio Intelligence Centre​

Sema urusi mafala sana si wapige bomu Moja matata sana (hata la nyuklia ) sawa tu Ili marekani na washirika waingilie nao wapigwe mabomu ya masafa marefu (kwao) waonje joto la vita na wao kdg
 

Western Junk Food Quitting Russia? Lucky Russians!​

Western fast-food chains and peddlers of toxic sugary drinks are reportedly closing down their restaurants or leaving behind operations in Russia – purportedly in protest over the conflict in Ukraine.
 
Sema urusi mafala sana si wapige bomu Moja matata sana (hata la nyuklia ) sawa tu Ili marekani na washirika waingilie nao wapigwe mabomu ya masafa marefu (kwao) waonje joto la vita na wao kdg
Hapana mkuu, Russia wanakwenda na plans wana AB na C

Plan A iliishamalizwa na sasa wapo kwenye plan B ambayo ni kuizunguruka kabisa Kyiv yote na asitoke hata panya, na ndo maana raia wote waliambiwa waondoke.

Plan C ni kuhakikisha mji warejea katika hali yake yaani umeme, askari wa Russia mitaani na kutangazwa raisi mpya.
 
Samahani sikujuwa kama kuna walimu wa kiengereza humu unaweza kunipa zero tu haina shida muhimu umeelewa. Kichaa siku zote anajuwa yeye mzima ila waliomzunguka ndio vichaa
Acha ujinga, Kiingereza cha standard 3 kinakushinda afu unakuja kuchambua vita vya Urusi!
 
Back
Top Bottom