Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu umeisahau Severodonetsk, Melitopol na Lysichansk.
 
Mbona hujalalamika ulaya kufanywa koloni la marekan?
 
HII IMEM COST MRUSI...

Wakati wenzake wanaanzisha umoja baada ya vita vikuu ya pili vya dunia mwaka 1945 yeye akajifungia ndani kutengeneza technologia zake kwa lugha yake.

Wenzake wakati lugha zao wanahakikisha zinasambaa Africa na ulimwenguni kote yeye akajifungia ndani kufanya mambo yake kwa siri.
Sasa haya yote yanam cost...leo hii unaanza kusaka marafiki wapi na wapi ndugu? lugha yako yenyewe hakuna hata mwafrica anaingea huo urafiki unafanyikaje? baki na Belaruz - Mchina, Mkorea na Muhindi si wa kutegemea hata kidogo


Russian President Vladimir Putin and Belarusian leader Alexander Lukashenko are close allies [File: Vladimir Astapkovich/Sputnik/Kremlin via Reuters]
 
😁😁😁
Nahisi kulitokea tukio kubwa katika hili shambulio ukijaribu kuunganisha muunganiko wa matukio na mfuatano wake.

1.

Ukraine war: Russia fires hypersonic missiles in new barrage​

https://www.bbc.com › news › world-europe-64903202



9 Mar 2023 — But it also said it had been unable to intercept the six Kinzhal ballistic missiles - nor was it able to destroy older weapons, ...


2.

ICC issue arrest warrant against President Vladimir Putin​


BBC
https://www.bbc.com › pidgin › articles



17 Mar 2023 — Di International Criminal Court (ICC) on Friday 18 March issue arrest warrant against Russian President Vladimir Putin as dem accuse am say ...

3.

US urges Xi to press Putin over 'war crimes' in Ukraine​

https://www.bbc.com › news › world-europe-65022366


21 Mar 2023 — Chinese President Xi Jinping should press Vladimir Putin to "halt the war crimes" in Ukraine, the US has urged.

Au wazee mnasemaje????????

Nb: Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!!!
 
Huu ni mtazamo chanya kabisa.
 
This shows how your empty headed dude!
 
Odesa has made a bid to host the world exhibition EXPO 2030. Pusan, Rome and Riyadh
are also among the contenders. The host city will be chosen this year in November.
Today we will tell you more about the event and the advantages it will bring to Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…