Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu uko sawa kwenye point ya kwanza ila Ukraine si mwanachama wa NATO hivyo hawawezi kuweka NFZ kwenye anga lake.

Pili, hata kama NATO ingetaka kuweka NFZ Ukraine maana yake wangekuwa waizuia Russia kurusha ndege zake kwani ukiweka NFZ ndege yoyote irukayo eneo hilo huwa ni target, hivyo ingepelekea vita kamili baina ya NATO na Russia jambo ambalo wote hawataki litokee.

Kumbuka kuweka NFZ watu hawakurupuki bali hutakiwa kuhakikisha NFZ yatekelezwa kwa vitendo kwa kuharibu uwezo wa adui hewani kwa kudungua ndege zake.

Mwaka 1991 kwenye vita ya kwanza ya ghuba Marekani na washirika wake (bila kuidhinishwa na UN) waliweka NFZ nchini Iraq kuzuia majeshi ya Iraq kuua raia kwa makombora.

Ni kwenye vita ya Balkan mwaka 1992 pekee UN waliidhinisha NFZ ili kuzuia majeshi ya Bosnia kutumia anga la nchi hiyo.
 
Kwa hiyo ulitaka naye afanye Ukoloni?
Lipo la kujivunia kwenye Ukoloni?
Ulitaka naye aingie kwenye biashara ya Utumwa?
Lipo la kujivunia kwenye utumwa?
Ulitaka awe sehemu ya watesi wetu?
Nani angekusaidia kwenye kujikomboa?

N.B Hata Urusi ni muungano wa nchi na Mataifa mbalimbali hii Leo?
Hata Soviet union ulikuwa ni shirikisho lenye nchi nyingi mno?

Wao hawaamini kwenye mfumo wa Magharibi kuhusu unyonyaji.
 
Ajabu nchi zaidi ya 30 zimeungana against huyu unayemwita uchwara. Dogo nenda jukwaa la mapenzi kwenye uzi wa riki boy huku unapuyanga.

The danger of a superpower confrontation​

That's the bottom line - Putin's stockpile of nuclear warheads.
Biden doesn't want to spark a "world war" by risking a direct clash between American and Russian troops in Ukraine and he's been open about that.
"It's not like we're dealing with a terrorist organisation," the president told NBC earlier this month. "We're dealing with one of the largest armies in the world. This is a very difficult situation, and things could go crazy quickly."
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation (3 April 2023)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

◽️ In Kupyansk direction, aviation and artillery of the Zapad Group of Forces inflicted a fire damage on the units of the Armed Forces of Ukraine (AFU) close to Sinkovka (Kharkov region), and Artyomovka (Lugansk People's Republic).

💥 Up to 75 Ukrainian troops, two armoured fighting vehicles, two motor vehicles, and one D-30 howitzer were destroyed.

◽️ In Krasny Liman direction, the ground-attack aircraft, artillery and units of the Tsentr Group of Forces have inflicted a fire damage on enemy manpower and military hardware close to Chervonaya Dibrova (Lugansk People's Republic).

💥 Up to 50 Ukrainian troops, two armoured fighting vehicles, one pick-up truck, and one D-30 howitzer were destroyed.

◽️ In Donetsk direction, the Yug Group of Forces and artillery have eliminated up to 285 Ukrainian troops, one tank, three infantry fighting vehicles, one armoured fighting vehicle, eight motor vehicles, two pick-up trucks, one Grad MLRS vehicle, four D-30 howitzers, and two ammunition depots.

◽️ In South Donetsk and Zaporozhye directions, aviation and artillery of the Vostok Group of Forces inflicted a fire damage on the AFU units close to Ugledar and Novomikhailovka (Donetsk People's Republic).

◽️ The enemy's losses in this direction during the day amounted to 45 Ukrainian troops, two pickup trucks, one D-30 howitzer, and one Polish-made Krab self-propelled artillery system.

💥 In Kherson direction, up to 10 Ukrainian troops, two motor vehicles, and one Akatsiya self-propelled howitzer have been destroyed over the past 24 hours.

💥 Operational-Tactical Aviation, Missile Troops and Artillery of the Russian Group of Forces have engaged 79 AFU artillery units at their fire positions, manpower, and military hardware in 98 areas during the day.

💥 Air defence forces have intercepted 10 HIMARS and Smerch MLRS projectiles during the day.

💥 Moreover, seven Ukrainian unmanned aerial vehicles were shot down close to Aleksandrovka (Donetsk People's Republic), and Naugolnoye and Staraya Krasnyanka (Lugansk People's Republic).

📊 In total, 405 airplanes and 228 helicopters, 3,648 unmanned aerial vehicles, 415 air defence missile systems, 8,521 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,078 combat vehicles equipped with MLRS, 4,494 field artillery cannons and mortars, as well as 9,287 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD
🔹 @mod_russia_en
 
Zelensky akiomba NATO Waweke no fly zone Ukraine,NATO wakakataa Kwa kuhofia kufanya hivyo,ingemaanisha world war 3!
Gaddafi angekuwa na nuclear,NATO wasingeenda kuweka no fly zone Libya!
Ukiwa unamiliki silaha za nuclear,unakuwa na special treatment!
Russia asingekuwa na nuclear,NATO wangeingia mazima kupambana na Russia!
 
Mkuu kisheria kila serikali ina haki ya kufunga anga lake, Hiyvo kila serikali inaweza kutangaza "no fly zone" juu ya eneo lake.
Ni swali tofauti, hasa wakati wa vita, kama uwezo wa utekelezaji uko pia.
 
Hopefully itaenda Riyadhi
 
Mkuu kisheria kila serikali ina haki ya kufunga anga lake, Hiyvo kila serikali inaweza kutangaza "no fly zone" juu ya eneo lake.
Ni swali tofauti, hasa wakati wa vita, kama uwezo wa utekelezaji uko pia.
Ni sawa ila hapa twazungumzia ufungwaji wa anga lako na nchi inokushambulia wakati wa vita.

Yaani kuondoa uwezo wako wa kurusha ndege za kivita kujibu mapigo.

Hayo ya kufunga anga kwa nchi yenyewe kwa sababu zake zingine yapo siku zote.

Kwa mfano Libya anga lake lilifungwa na kuzuia uwezo wake wa jeshi la anga kujibu mapigo.

Ndo maana Libya ikapigwa makombora ya kila aina.

Na mfani mwinginewe ni huop wa Iraq na sehemu zingine.
 
Prigozhin on Surovikin's role in the battle for Artemovsk: "The decision to conduct the Bakhmut operation, the so-called "Bakhmut meat grinder", was made by the commanders of the PMC "Wagner". Sergei Surovikin was directly involved in its design and implementation
 
Lakn kwenye mfumo wa kidkiteta wachache ndo wanafaidi kama ilivyo Leo huko Russia

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…