Mkuu mataifa yanayotawaliwa na Urusi ni mengi. Usisahau kwamba Urusi ilikuwa mkoloni mkubwa zaidi katika historia ya dunia, iliyotwaa maeneo makubwa zaidi kuliko Uingereza. Ila Uingereza imetoka katika koloni zake (isipokuwa maeneo madogo ambako wenyeji waliamua wanataka kuendelea kama sehemu ya Ufalme wa Maungano).Nitajie Taifa Moja lililotawaliwa na Mrusi, nami nitakuonyesha nchi Moja inayozungumza kirusi.
Unazungumza vitu gani lakini, eti Russia ina silaha ambazo zina long range lakini precision zake ni dismal kabisa - who can take your entire comments herein seriously??Ni muda sasa sijaonekana humu. Nilisubiri winter iishe, counteroffensive ianze na battlefield iwe tense ila naona bado. Winter iliisha around 28th of February nikatarajia katikati mwezi March kutakuwa na mapigano makali ila ni kama mambo hayabadiliki sana. Russia imeweza kuchukua 70km2 ya Ukraine kwa mwezi March. Nachokiona vita itakuwa kali Ukraine wakianza counteroffensive maana walitulia kufanya training ya zana walizopokea. Russia imekomaa Bakhmut ambako pro Russians waliamini itachukuliwa mapema na pro Ukrainians baadhi waliamini Ukraine itafanya retreat lakini haikufanyika. Kuna siku niliandika nikapost ikafutika hapa narudia.
Russia imepoteza sana zana kwa mines pale Bakhmut na Vuhledar. Artillery strikes unaweza usizikimbie kirahisi mpaka uwe na fast response ya counterbattery radars, precision na range, Russia ana range ila precision sio sana na CB radars sio nyingi. Kwa upande wa mines, sio za kutisha kama una training, mbinu na vifaa. Russia alifanya clearance ya mines kule Syria kwa mafanikio makubwa ila Ukraine mambo sio rahisi. Kwanza mines zilizopo Ukraine ni advanced nitagusia chache, unakutana na kama PARM-22 directional anti tank mine za Ujerumani hizi wamepewa kidogo na zinapendeza pembeni mwa barabara sio eneo wazi kama Vuhledar na BakhmutView attachment 2573261
Ukraine inatumia Soviet made TM-62 hizi ni common kama unafuatilia landmines, inaweka ulinzi mkali sehemu fulani labda ni trench lines karibu na eneo muhimu au barabara kwingineko inapaacha inapanda mabomu ya ardhini.
Ili kupata breakthrough unatakiwa utafute weak points, zinapatikana kwenye minefields. Engineers wa Russia wanakuja kufanya clearance ya minefield wanaziondoa ardhini na kuziharibu, Ukraine inawaacha kutokana na intelligence inakuja kujua movement ya Russia inaanza lini, hapo inatumia US-supplied Remote Anti-Armor Mine system (RAAM) hizi zinafyatuliwa kwenye artillery shell ikifika eneo husika inapasuka na kuzisambaza. Zinakaa 9 kwenye shell moja. Warusi wanakuja wakijua wamefanya mine clearance wanakutana na hizi ambazo zinakuwa juu kama hivi vidude vilivyotapakaa hapaView attachment 2573266Ukiwa kwenye kifaru uoni wako ni hafifu lazima tu utazikanyaga, ili kuzikwepa inabidi washuke wafanye clearance kwa mikono au waite sappers. Wakishuka nje wanakuwa unprotected Ukraine inatumia artillery kuwashambulia. Changamoto hapo.
Ili kukwepa kadhia hii Urusi inatumia mine clearing vehicle kama BMR-3M yenye drums hizi zinabidi zilipue mines kutengeneza njia ila inafeli mara nyingiView attachment 2573267
Unakuta drum inaharibika, au mine haikuwa activated kutokana na sensor na fuse yake ilivyo hivyo mine inalipuka baadaeView attachment 2573269
Matokeo yake vifaru vya Urusi vinafuatana na vinaharibikaView attachment 2573270
Njia ya gharama zaidi ni kutumia UR-77 Meteorit inayotumia mine clearing line charge. Hii ina waya wa milipuko unaolipua eneo na kuharibu mabomu ya ardhini. Hizi sio nyingi na ni za kizamaniView attachment 2573271
Marekani hapa angekuwa na M1150 assault breacher a.k.a Shredded ambayo ina line charge na ploughView attachment 2573274 Wana experience na landmines za Iraq na Afghanistan.
Training na doctrines za Russia kwenye minefields (ni zilezile za Soviet Union ambazo Ukraine inazijua), mbinu za Ukraine, mines za kisasa zinazotolewa na NATO vimefanya Russia iwe na performance mbaya ikikutana na mines na itumie muda mwingi kupata gains.
Mkuu wakati ule wengi walidhani hivyo. Ila watu wa nchi hizo waliendelea kuomba na kusisitiza wapokelewa. Maana nchi hizo tatu zilishambuliwa mara kwa mara na Urusi na kuwa koloni zake. Mwisho mwaka 1940 wakati Urusi (Stalin) na Hitler walipogawana Ulaya Mashariki.Tujikumbushe hotuba fupi ya raisi wa Marekani Joe Biden mwaka 1997 akizungumzia kupanua NATO.
Unafahamu kwenye Ubepari wachache ndio wanafaidi.Lakn kwenye mfumo wa kidkiteta wachache ndo wanafaidi kama ilivyo Leo huko Russia
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Unazungumza vitu gani lakini, eti Russia ina silaha ambazo zina long range lakini precision zake ni dismal kabisa - who can take your entire comments herein seriously??
Kwani umesahau jinsi juzi juzi hapa MiG-31 ilivyo lenga na kuvurumisha Khinzal hypersonic missile towards US/NATO concrete reinforced military command post bunker buried 400 feet under ground - the whole infrastructure was turned upside down and inside out killing and vaporising all US,UK, Ukrainians and Polish Generals manning the post.
Most of the above mention bodies haven't even been fully recoverd from concrete rubbles - this obviously goes to show some doubting Thomas like you "how deadly accurate some Russian no nonsense missiles really are/can be",, sasa, unaposema Russian high precision missiles or bombs are highly questionable - hapo ndio sikuelewi kabisa, kama hiyo ingekuwa ni kweli ililuwaje tena hypersonic Khinzal missile ikafanikiwa ku-hit BULL'S EYE ya maficho ya Majenerali wa NATO wakachomwa mishikaki na wengine wakawa vapourised completely, je, umewahi kujiuliza kwa nini USA pamoja na mbwebwe zake zote hajawahi hata siku moja kujaribu kujiweka kifua mbele kwa kutaka kupigana ana kwa ana na Urusi - unajua kwa nini? US knows for certain what is inside the hood of Russian military -ndio maana ujaribu sana kuzitumia nchi ambazo hazijitambui kama: Ukraine,Georgia na Checheny zipigane a proxy war on US behalf ikiwa na imani kwamna vita hivyo vita idhoofisha Urusi kijeshi na kuihujumu kiuchumi - mpaka sasa wameshindwa kufanikiwa labda mabeberu na kinara wao wanabuni plan "B" ya kutaka kuimaliza Urusi - hawakati tamaa.
FYI linapo kuja suala la anti personnel land mines na TANK mines, here again Russia is light years ahead of them all.
Mkuu usipoteze muda kwa kusambaza hadithi za aina hii.vaporising all US,UK, Ukrainians and Polish Generals ???
Unafahamu hata Mongolia republic waliwahi Omba kuingia kwenye Shirikisho la Urusi?Mkuu mataifa yanayotawaliwa na Urusi ni mengi. Usisahau kwamba Urusi ilikuwa mkoloni mkubwa zaidi katika historia ya dunia, iliyotwaa maeneo makubwa zaidi kuliko Uingereza. Ila Uingereza imetoka katika koloni zake (isipokuwa maeneo madogo ambako wenyeji waliamua wanataka kuendelea kama sehemu ya Ufalme wa Maungano).
Urusi ilipaswa kuachana na makoloni mengi ya awali kama vila Kazakhstan, Uzbekistan na kadhalika lakini bado kuna maeneo makubwa kabisa ambako wenyeji wanatawaliwa na Moscow.
Mashuhuri ni Wachechnya, kule kwenye milima ya Kaukazi wako wengine kama vile Dagestan, Ingushetia, Kalmykia, halafu Watartari, kwenye MAshariki Waburyati....... Hao ni wachache tu wanaoendelea chini ya ukoloni wa Kirusi.
Pumba na mchele zitajitenga sio muda mrefu.Wazee wa bakhumut kuzungukwa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji28]
[emoji298]️The Russians are far from capturing Bakhmut, fighting continues around the city council, spokesman for the Eastern Military Group Serhiy Cherevaty said.
Earlier, Wagner head Yevgeny Prigozhin released a video in which he said that a Russian flag was allegedly raised over the administrative building in memory of Vladlen Tatarsky. He believes that "legally" the city has been seized.
"They attached their flag to some unknown thing and said they had captured the city," Cherevaty said.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hata mji wa Soledar ulikuwa mbishi kukubali kuwa umeanguka ila mwisho wa siku imebaki story.Bakhmut ishabaki story kwa sasa.Wazee wa bakhumut kuzungukwa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji28]
[emoji298]️The Russians are far from capturing Bakhmut, fighting continues around the city council, spokesman for the Eastern Military Group Serhiy Cherevaty said.
Earlier, Wagner head Yevgeny Prigozhin released a video in which he said that a Russian flag was allegedly raised over the administrative building in memory of Vladlen Tatarsky. He believes that "legally" the city has been seized.
"They attached their flag to some unknown thing and said they had captured the city," Cherevaty said.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nilichokipenda kwenye kauli yake anasema eti mapigano yapo Western side ya Bakhmut na sio city center tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mji wa Soledar ulikuwa mbishi kukubali kuwa umeanguka ila mwisho wa siku imebaki story.Bakhmut ishabaki story kwa sasa.
Husikwepe hoja, hapa hasa tunazingumzia masuala yanayo husu highy precision missiles na bombs, mimi nikasema mbona Urusi missile na mabomu kama hayo wanayo mengi tu - ndio maana nilitoa mfano wa missile iliyo lipua military command posts manned by NATO Generals and other staff from military other ranks, kombora lililo tumika pale ni one of highly precision missiles and hypersonic type.Mkuu usipoteze muda kwa kusambaza hadithi za aina hii.
Tafadhali lete majina ya hao majenerali! Maana majenerali ya nchi hizo yanafahamika. Nani hayupo tena, nani ametoweka???
(Ikiwa huwezi kuleta majina utambue kwamba umeamini hadithi isiyo na msingi)