Mbona hilo baraza la usalama la UN lilikataza Marekani kuivamia Iraq lakini bado Marekani akafanya uvamizi?Russia ni mwanachama wa kudumu wa baraza la usalama la UN mwenye kura ya 'Veto'.....hivyo hutumia hiyo kura kuzuia maazimio yote dhidi yake.
Pia hilo baraza limepitisha maazimio ya kulaani uvamizi huko Ukraine na kutaka majeshi vamizi yaondoke Ila Urusi imezuia hayo maazimio.Mbona hilo baraza la usalama la UN lilikataza Marekani kuivamia Iraq lakini bado Marekani akafanya uvamizi?
Kuna watu ni wavimbaji tu ila hawama madhara. Wanavimba na kujiaminisha uvimbaji ni akili kubwa. Lugha zisizofaa ni nyenzo ya kuwafanya wajisikie wao ni akili kubwa.Pengine huyo anaetukana na anaemtukana ni família moja kabisa bila ya kuelewa kwa sababu ya majina tu.
Humu hamna anaefaidika na lolote kwenye hivyo vita.
Mijada tofauti na mitazamo ndio hupelekea watu kufikia hatua ya kutusiana.
Inapendeza umpinge kwa hoja kwa kile alichokileta kama unapingana nacho na sio njia nyengine bali huwo ni udhaifu wa kuweza kumshindwa kwa alichokileta.
Kwahiyo wanamuogopaZelensky akiomba NATO Waweke no fly zone Ukraine,NATO wakakataa Kwa kuhofia kufanya hivyo,ingemaanisha world war 3!
Gaddafi angekuwa na nuclear,NATO wasingeenda kuweka no fly zone Libya!
Ukiwa unamiliki silaha za nuclear,unakuwa na special treatment!
Russia asingekuwa na nuclear,NATO wangeingia mazima kupambana na Russia!
Ni sawa ila hapa twazungumzia ufungwaji wa anga lako na nchi inokushambulia wakati wa vita.
Yaani kuondoa uwezo wako wa kurusha ndege za kivita kujibu mapigo.
Hayo ya kufunga anga kwa nchi yenyewe kwa sababu zake zingine yapo siku zote.
Kwa mfano Libya anga lake lilifungwa na kuzuia uwezo wake wa jeshi la anga kujibu mapigo.
Ndo maana Libya ikapigwa makombora ya kila aina.
Na mfani mwinginewe ni huop wa Iraq na sehemu zingine.
Ukisema mji haujanguka basi unatakiwa muda uwo uwe unaongea maneno hayo ukiwa kwenye jengo la halmashauri ya mji.tofauti na hapo basi utakuwa unaongea maneno ya kanga.[emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1][emoji1179][emoji1179][emoji1179]
Mkuu wa kundi la mamluki la Wagner la Urusi anasema ameinua bendera ya Urusi juu ya ukumbi wa jiji la Bakhmut nchini Ukraine.
Katika video iliochapishwa usiku, Yevgeny Prigozhin alisema Bakhmut sasa ipo chini ya Urusi "kulingana na sheria".
Hata hivyo alikiri vikosi vya Ukraine bado vilikuwa vimekita kambi katika wilaya za magharibi.
Ukraine ilipuuzilia mbali video hiyo na kusisitiza kuwa jeshi lake bado linashikilia Bakhmut - mji wa mashariki ambao Urusi imetumia miezi kadhaa kujaribu kuuteka.
"Adui hajasitisha mashambulizi yake kwa Bakhmut. Hata hivyo, watetezi wa Ukraine wanashikilia mji kwa ujasiri huku wakizuia mashambulizi mengi ya adui," Mkuu wa Wafanyakazi wa Vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine alisema.
Katika video hiyo, Bw Prigozhin alisema heshima kwa mwanablogu wa kijeshi wa Urusi Vladlen Tatarsky, ambaye alifariki katika mlipuko katika mkahawa wa St Petersburg siku ya Jumapili, ilikuwa imeandikwa kwenye bendera.
Ila kayataka mwenyeweHayawi hayawi yamekuwa - Kesho Finland huyooo NATO - hutaki meza kiwembe 😀 😀 😛😛
NATO says Finland to join Tuesday, prompting Russian anger
Finland will join NATO on Tuesday, said Jens Stoltenberg, head of the world’s largest military alliance. Moscow has responded by saying it will boost military capacity.
Braza kingereza africa ni zao la ukoloni hata kifaransa africa ni zao la ukoloni.Sasa Urusi haijawahi kuitawala africa.Pia lugha sio tatizo mataifa mengi ambayo ni first world county hayatumia kingereza mfano china,south korea,japan etc. Bora umekubali kua urusi anatechnolojia kibao ambazo hata dunia haina.Ubinafsi wa Mrusi umemponza, kuficha Technologia na Lugha yake - utakubalikaje kwenya nchi bila lugha yako kutangulia kwanza. Ni nchi gani Africa inayotumia kirusi kama lugha yake walau ya kufundishia tu.
Mkuu naamini unajua ni nchi gani inaifanya congo isikae sawa..na pia naamini unajua hyo nchi ni kibaraka wa nani...na inafanya hivo kwa maslahi ya nani..Ukraine sio superpower. Urusi ina utengano humo ndani yake, ni Congo ya Ulaya ile nguvu nyingi zinatumika kuiweka pamoja. Ikitetereka vita hii hapa
[emoji23][emoji23][emoji23] Wewe hayo machuma chakavu tuna yavutia muda tuyapeleke kwa mnunua vyumaWakuu naomba kuuliza
Vile vifaru vya Challengers na Leopards mbona havionekani wala kusikika kwenye uwanja wa vita..?
Vifaru 40 vimewekwa kwa ajili ya kaunta ofensive.Wakuu naomba kuuliza
Vile vifaru vya Challengers na Leopards mbona havionekani wala kusikika kwenye uwanja wa vita..?
Umejuaje kama huyo ni mwanaume?Mwanaume unatumiaje “Mxieew” kwamba umenuna?? Tushampoteza huyu tayari.
Halafu utakuta vijimtu humu JF finajifanya vichambuzi uchwara vitampinga huyo Mmarekani halisi.Wasomi wakubwa wa marekani wanakili vikwazo vya marekani dhidi ya Russia havifanya kazi , zaidi ya 90% ya dunia hawavikubali.
View attachment 2575269
Noam Chomsky, eminent American scientist: the world refuses to join Washington's sanctions against Russia.
[emoji23][emoji23][emoji23] ni jambo la kuchekesha sana kwa kweli.yani mpaka muda huu msaada wa vifaru vipya kuanzia vilivyotumwa na vya ahadi havifiki hata vifaru 200.Vifaru 40 vimewekwa kwa ajili ya kaunta ofensive.
Wakati huo huo anayefanyiwa kaunta ofensive ana vifaru af tatu
Pole bro.Bakhmut: Wagner raises Russian flag but Ukraine fights on
3 April 2023, 06:41 BST
Updated 6 hours ago
Image caption,
Yevgeny Prigozhin uploaded a video in which he claimed to raise a Russian flag over Bakhmut's city hall
The head of Russia's Wagner mercenary group says he has raised a Russian flag over Bakhmut's city hall in Ukraine.
In a night-time video, Yevgeny Prigozhin said Bakhmut was now Russian "in a legal sense".
However he admitted Ukrainian forces were still concentrated in western districts.
Ukraine has insisted its army still holds Bakhmut - an eastern city which Russia has spent months trying to capture.
The General Staff of the Armed Forces of Ukraine said on Sunday evening that while Russia hadn't stopped its assault on the city, "Ukrainian defenders are courageously holding the city as they repel numerous enemy attacks".
President Volodymyr Zelensky's chief of staff, Andriy Yermak, has urged people to "calmly respond to the fakes of those who invent a 'victory' that does not exist in reality".
Ukraine's Deputy Defence Minister Hanna Maliar said the Wagner claim was "a funny fake".
In the video, Mr Prigozhin said a tribute to Russian military blogger Vladlen Tatarsky, who died in an explosion at a St Petersburg cafe on Sunday, had been written on the flag.
The BBC has not been able to verify the footage.
Analysis by the Institute for the Study of War said that, as of Sunday, Ukraine still held much of the city - although Russian troops were attempting to envelop it from the south and east.
According to the ISW, the city council building is in part of the city recently claimed by Russia, as it approaches from the east.
Wagner - officially called a private military company - has suffered heavy losses during fighting in Bakhmut.
Many of its recruits are convicts released from Russian prisons drafted in to swell the group's numbers.
Troops from the regular Russian military are also fighting in Bakhmut, as well as the Wagner troops.
Thousands of Russian and Ukrainian soldiers have died in the fight for control of the city - and it's thought Russian losses have been far higher than Ukraine's.
Bakhmut has little strategic value, but Ukraine has seen it as an important drain on Russia's military equipment and manpower.
Russian commanders hope taking Bakhmut might give them a springboard for further territorial gains.
As the UK Ministry of Defence noted in December, capturing the city "would potentially allow Russia to threaten the larger urban areas of Kramatorsk and Sloviansk".
Meanwhile, Ukrainian forces are expected to launch a fresh offensive in the coming weeks to try and regain territory that is currently under Russian occupation.
The operation is expected to begin when long-promised Western supplies, including German Leopard tanks, arrive in the country.
Poor Zelensky.😧😧😧😧Germany's Habeck and Ukraine’s Zelenskyy tour Chernihiv region
German Vice Chancellor Robert Habeck and Volodymyr Zelensky, president of Ukraine, leave after meeting witnesses of alleged war crimes. The village of Yahidne in the Chernihiv region gained notoriety after the Russian invasion last year.
In early March, Russian troops captured the village and forced the remaining 300 or so residents to hold out in the basement of the local school, according to the Associated Press. More than a dozen other villagers are alleged to have been murdered by the Russian occupiers.
Robert Habeck (Bündnis 90/Die Grünen, front, l), Federal Minister for Economic Affairs and Climate Protection, and Volodymyr Zelenskyy, President of Ukraine, inspect the reconstruction of a destroyed bridge in northern Ukraine. Behind them walks Vyacheslav Chaus, governor of Chernihiv Oblast.
Christoph Soeder | Picture Alliance | Getty Images
Volodymyr Zelenskyy, President of Ukraine, arrives for a meeting with witnesses of alleged war crimes northeast of Kiev.
Christoph Soeder | Picture Alliance | Getty Images
School furniture and toys are seen in a school basement northeast of Kiev where people were held hostage.
Christoph Soeder | Picture Alliance | Getty Images
Volodymyr Zelenskyy, President of Ukraine, walks through the basement of a school where people were held hostage during a meeting with witnesses of alleged war crimes northeast of Kiev.
Christoph Soeder | Picture Alliance | Getty Images
The names of deceased people can be seen on the wall of a school basement northeast of Kiev, where people were held hostage. The village of Yahidne in the Chernihiv region gained sad notoriety after the Russian invasion last year.
Christoph Soeder | Picture Alliance | Getty Images
Volodymyr Zelenskyy, President of Ukraine, encounters witnesses of alleged war crimes held hostage in a school basement northeast of Kiev.
Christoph Soeder | Picture Alliance | Getty Images
A photograph taken on April 3, 2023 shows children drawings in the basement of a school where villagers were kept for almost a month by Russian troops in the village of Yahidne, north of Kyiv, a year after the liberation of the settlement, amid the Russian invasion of Ukraine.
Sergei Supinsky | Afp | Getty Images
Ukrainian President Volodymyr Zelensky leaves the basement of a school, in the village of Yahidne, Chernihiv region, where all the residents were jailed during the Russian occupation, as he makes a visit to mark the first anniversary of the village liberation, on April 3, 2023 amid the Russian invasion of Ukraine.
Sergei Supinsky | Afp | Getty Images