Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna Mamia na Maelf ya Waukrein Wanasepa Bakhmut
wengine Hawapati Bahati wanakumbana na Kisago njiani
 
Kwamara Yakwanza Mrusi Kaonyesha Mabomu mapya Ambayo Bado Hajayatumia Ukrein
FAB 3000-m54
Waziri wa Ulinzi hii leo Katembelea na Kuona Uzalishaji wake
Mrusi anaposema Bado Hajawa Siriasi Ukrein Nikweli Anamaanisha
Angalia Mzigo huu
 
Kuna Mamia na Maelf ya Waukrein Wanasepa Bakhmut
wengine Hawapati Bahati wanakumbana na Kisago njiani
Naona leo hawana mpya majirani zetu wanasubiri macron kaenda kujitongozesha kwa mchina

Ila nasikia jirani waligomea negotiation vipi kuna kipondo heavy kiliwakuta kimyakimya nini.?
Counter offensive lini?
Maana kuna wanamuziki wanaelekea odesa sasa.

Kaka tu chart.
 
Kama yeye mbabe mbona anawatumia wale wahuni Wagner? kwa nini asipambane mwenyewe hadi anakodi kampuni binafsi ya ulinzi, yaani kama sisi hapa tupigane na Uganda afu KK Security wawe mstari wa mbele.
 
Sipendi Vita/Sipendi Migogoro
Lakini kunamuda Nashukuru kwa Ukrein Kupaza Shingo juu na Kupewa Kiburi dhidi ya Urusi
Kujitoa kwao Ufahamu Kunasaidia Tujue Tulio kuwa Tunafichwa!
Kujitoa kwao Akili Kumesaidia Kiasi Fulani Yule Fedhuli kuu mtengeneza Migogoro Duniani Naye Kupata Mitikisiko Ya Baadhi ya nchi Kujitambua.
vita hii Imetoa Mwanga Mpya Duniani Yaani Wengi wamefumbua Kope zao na Bongo zao kujua Jibwa ni Yupi
Hata kuthubutu Kumpinga pia
Leo hii wanapishana Afrika Wamesha ona Hali sio Nzuri Mbeleni.

Ukrein Waendelee kukaza Tu Na Wafe kweli kweli pengine ndio mwisho wa Migogoro na Amani ya Dunia Kupatikana


MUNGU IBARIKI URUSI
 
Hivi wewe tukikuuliza je unajua sababu gani hasa inayomfanya Mrusi anapigana vita Ukraine?
 
Kwa nini Urusi inatumia kikundi binafsi cha ulinzi (Wagner) kuwasaidie kupigana vita mstari wa mbele? Je Urusi haina vifaa vya kisasa vya vita? tatizo ni nini hasa? ufafanuzi.
Mbona umeongea kitu kimoja kwani hicho kikundi kinatolea wapi silaha
Mkuu wa hicho kikundi ni wa asili ya nchi gani?
Ongezea na jibu mujarrab[emoji116][emoji116][emoji116]
Gruppa Vagnera), also known as PMC Wagner (Russian: Π§Π’Πš Β«Π’Π°Π³Π½Π΅Ρ€Β», tr. ChVK Β«VagnerΒ»; lit. 'Wagner Private Military Company'), is a Russian paramilitary organization. It is variously described as a private military company (PMC), a network of mercenaries, or a de facto private army of Russian President Vladimir Puti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…