LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Vila vifaru na ndege vita zilipoingia niliamini kesho yake Urusi anateka nchi.
Kazi inafanyika kwa ufanisi mkubwa, picha za setiliti zaongea zaidi (picha zilizochukuliwa kabla ya mashambulizi June 2021, na za baada ya mashambulizi March 9, 2022)

A1/ Kabla ya shambulizi mji wavutia


A2/ Baada ya shambulizi.




B1/ Kabla ya shambulizi mji wavutia




B2/ Baada ya mashambulizi





C1/ Kabla ya mashambulizi




C2/ Baada ya mashambulizi
 

Mtu hajui economics analeta mahaba kwenye vitu siriaz yaani wanaamin Russia ataumia wakt mpaka wao vitawahusu. Kwa kinachoendelea EPL kama Chelsea atashindwa sababu ya UKATA wachezaji kuna uwezekano wasilipwe mishahara yao tim imefungiwa account.

Chelsea akishindwa itapelekea tim zingine zigome kucheza kumbuka wenzetu wanaumoja sana. Tim zikigoma kucheza sponsors watasitisha mikataba itaathiri mapato ya tim, itaathir mapato ya EPL Zile Tv zinazirusha matangazo zitakosa wateja mfano DSTV kama hurushi EPL nan atanunua packages?? Itaathiri uchumi worldwide. West wasilete ubabe kwenye vitu kama hv shida wanashinikizwa na biden, unaona kabisa vikwazo vya kupaniki.

Huko italy viwanda vinafungwa, huko ujeruman viwanda vya magari vinategemea sana nishati kama production iko juu unafikir nini? Hawa wasipokaa mezani na Russia uchumi duniani utaanguka sana hapa namwona china atakavokuja juu sana.

Biden ajue anampa nafasi china acha walale wakishtuka muda umekwenda dunia ya sasa imechoka na utawala wa kidhalimu wa marakani mataifa mengi yanalia ndani kwa ndani. Siku ya kuanguka kwa US tutaskia mengi sana. Je ni kweli yale yaliyotabiliwa kwenye bible yanakwenda timia??????
 
Wewe ni kajinga,kwa hiyo importation anayofanya US kutoka Russia itakula kwa nani?

Tunarudi pale pale Tyson na matumla nani ataumia?
Asante me ni kajinga... We mwerevu endelea kubwabwaja... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usibishane na mie mjinga utakuwa mjinga... Sawa Mr Mwerevu [emoji3577]
 
Basi tarifa nzuri zipo bbc, japokuwa kuna muda wanakuwa hawana namna.
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana kila mda nasema wanasiasa ni watu wa hovyo sana [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Ogopa kufanyiwa maamuzi na 70+yrs Old [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijamaa vinajua vinakaribia kufa haviwazi kabisa maisha y baadae....

Uchanganuzi ka huo uloweka ni kwa watu walokomaa akili tu big Up kwa kuliona hilo nimeongeza kitu apo...

Hivi vitoto vina mahaba sana ngoja tuvikaushie tu viendelee kujifurahisha....
 
The main thing from the President's telephone conversation with Olaf Scholz and Emmanuel Macron:

— Putin told Macron and Scholz about the recent talks between Russian and Ukrainian representatives;

- Putin cited numerous facts of gross violation of the norms of international humanitarian law by the Ukrainian military;

- Putin called on the heads of the two republics to influence the Kiev authorities so that the crimes of the national battalions of Ukraine were stopped;

Putin, Makaron and Scholz agreed to continue contacts on Ukrainian issues. Galip SV Liwagu
 
Hoja zako nyingine sina nazo shida, ila hii ya Club nyingine kugoma kisa Chelsea kuuzwa sahau. Tena kuna mtu kuna warusi walio na share kwenye vilabu vya Arsenal na Everton nao wanapaswa kujumuishwa kwenye huu msako wa pligarchs. Kimsingi hii ni vita iliyogambasha maslahi ya Urisi na nchi za Magharibi, hivyo nchi zinatumia namna mbalimbali za kukubiliana na "common enemy ".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…