Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Mkuu mimi niko humu tokea muda mrefu sana hata kabla ya hii vita(2014) ingawa kujiunga nilichelewa.sina upande kuongea uhalisia ambao kwa namna moja maybe huupendi ndio unaona kama nina upande.labda unataka nichangie kwa namna itakayofurahisha upande wako.kwa mfano sipendi sera za ushoga,usawa(wa kijinsi)nk pia sipendi sera za mabavu,vita na ukoroni(hapa nahisi ndipo unaposema nina upande)Hata T14 Armata, HIMARS na Tsh walianzia hivi hivi kusema hawana upande ila mwisho wa siku wakaumbuka.
Wewe tayari upande wako tunaujua kutokana na post zako za awali.
Hiyo picha sio fake ila sio Putin yule ni mtu mwingine. Ile claim ni absurd hata kwa pro Russia mwenye akili hawezi kusema vile. Kusema vile kwa pro Russia anadhibitisha kutomjua Putin kabisa.Ameishi mkuu , mbona kuna pcha au ni fake
Mkuu ni vema ungejibu hoja zake ni si kumshambulia katika maisha yake binafsi na pia haina uhusiano na mada au uzi huu.hapa hatuna ushahidi na tuhuma hizo(siyo kila kinachoandikwa na mtu humu kuhusu maisha yake ni sahihi) sometimes watu wana-fantasize tu.Punyeto mbaya sana inaharibu sana kisaikolojia. Muwe mnamsamehe huyu dogo, kila siku anazidi kutupa mashaka.
Pole kwa kuchagua upande wa wanaume waliolegezwaMkuu kwa bahati mbaya sitatoa maelezo zaidi.ni baada tu ya kukataa kuwa hakua counteroffensive iliyofanyika 2022 wakati leo russia anafanya offensive nyingine ku reclaim lyman na kupiasky(walifurushwa mwaka jana).mkuu mimi siyo shabiki na sina upande ila niko kwenye uharisia.amini unavyoamini!
Ndio vita(to kill or be killed) hata upande wa pili yanatokea hayo na si mara moja(nenda newsweek,hindus news)VIDEO
Brigedi ya 127 Kutoka Kwenye Kikosi cha 228 cha Kujilinda Huko Khakorv Jeshi la Ukrein
Kimeamua Kugoma kupigana Dhisi ya Urusi
Wanasema Wanawaomba Wananchi wa Ukrein Wawaelewe Wengi wao Wameuliwa Sana
Wamejeruhiwa sana
Wanahali Mbaya
Wamepelekwa Kuuliwa tu Nasivinginevyo
Mengi Wasikilizeni hapa
View attachment 2581023
Vita zote zinaanzishwa na shetani mkuu ambaye ndio kipenzi chako. Zelensky haweizi kuamua chochote zaidi ya kufuata maelezoMkuu hauko serious!maana maneno yako yanakinzana na hata hao unaowashabikia.sijawai kuona mtu anafurahia vita,vita ni uharibifu wa maisha,miundombinu na gharama.mkuu kwenye vita kila upande unapoteza.vita ni hatua ya mwisho katika maamuzi(rejea maneno ya kremlin kwamba walibakiwa na option moja ya mwisho ambayo ni vita)
Mkuu sorry kama michango yangu imekukwaza.but mimi ni muungwana na umri (sipendi matusi)pia hauruhusu kutaja lugha za matusi yenye kuudhi.Pole kwa kuchagua upande wa wanaume waliolegezwa
Hakuna lugha ya matusi iliyotumika hapo. Endelea tu kuchangia bila kuficha upande uliopo kwani unafeli sanaMkuu sorry kama michango yangu imekukwaza.but mimi ni muungwana na umri (sipendi matusi)pia hauruhusu kutaja lugha za matusi yenye kuudhi.
Mkuu namba tuishie hapa.
Thanks kama uta consider ushauri wangu!
Mkuu mimi sina ushabiki kwenye mambo yanayohusu vita.Vita zote zinaanzishwa na shetani mkuu ambaye ndio kipenzi chako. Zelensky haweizi kuamua chochote zaidi ya kufuata maelezo