saw a pro NATO wa manyenye karibu na kwa mama chikuHaya sasa Vladimir Putin kapigwa na kitu kizito tena. Kwa kasi hii Uchumi wa Urusi lazima kuporomoka.
@Joannah kasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahya bnMtashindwa tu na hicho ki Z chenu kinamaanisha ZERO.
Putin amedhibiti mipaka yote kwa sasa, lakini usisahau kuwa Russia ndio mwenye kujitapa kuwa ana silaha bora kabisa.Nchi ngapi zinapeleka silaha na wapiganaji ukraine? Jiulize unadhani Russia wanapigana maraboti? Wale wahuni wa syria wakiingia hapo ukraine ndio tutaona athari kamili za vita.
Warusi wanapiga mabomu kiustadi sana utafkiri Aliens yaani bomu linachakata nyumba mpaka ibaki gofu na hainguki ili wenyewe wakiiona wafe kwa preshaKazi inafanyika kwa ufanisi mkubwa, picha za setiliti zaongea zaidi (picha zilizochukuliwa kabla ya mashambulizi June 2021, na za baada ya mashambulizi March 9, 2022)
A1/ Kabla ya shambulizi mji wavutia
View attachment 2148009
A2/ Baada ya shambulizi.
View attachment 2148010
B1/ Kabla ya shambulizi mji wavutia
View attachment 2148012
B2/ Baada ya mashambulizi
View attachment 2148013
C1/ Kabla ya mashambulizi
View attachment 2148014
C2/ Baada ya mashambulizi
View attachment 2148015
Itakuwa zaidi ya Zimbabwe kabisa au sio [emoji848]Haya sasa Vladimir Putin kapigwa na kitu kizito tena. Kwa kasi hii Uchumi wa Urusi lazima kuporomoka.
Habari ndio hiyo na ipo kwenye vyombo vya habari tofauti.Kama hyo kauli ni kweli basi ngoja nione kama wataacha au wataendelea....
Kwasababu up-to-date tear washatuma over 17000 Anti Missile tanks na stinger 2000....
Nahakika kwa komenti zako zile wewe si mchumi.Profit repatriation inategemea na sheria zenu kama zinaruhisu,pia acha ushamba, investment haiwi included kwenye GDP bali kwenye GNP.
Huna cha kuniambia kwenye economics,ndio fani yangu hiyo.
Hasira za kibano [emoji116]
View attachment 2147943
Tatizo ataachiwa akiwa hana marinda we wanaume wanaugwadu hawajaona papa mwezi sasaMeya naye fala tu ww unaona kabisa mji wako umetekwa bado unaendelea kukaa tu? Ila watamuachia.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba Urusi sio taifa dogoHaya sasa Vladimir Putin kapigwa na kitu kizito tena. Kwa kasi hii Uchumi wa Urusi lazima kuporomoka.
Kasema kazi iendelee.Kwani mama hajatoa tamko lolote kuhusu vita vya huko?
Kwa hiyo "Super Power" amenyweya pamoja na tambo na promo zote zile. Usicheze na vita bwana.Ndio maana wasyria wameitwa ambao ni mabingwa wa urban warfare.
Putin hajawahi kuwa mjinga.
Shukran Jomba... Nazan tunaelimishana wote name najifunza pia kupitia nyinyi. [emoji1666][emoji1666][emoji1666]Kuna kazi ya kufanya, aisee ila kuwepo kwa watu kama Galip SV humu, Ina maana haupo peke yako huko mitaani.
Shukrani komredi endelea kuelimisha
Utakuja uniambie, huwezi kutoa watu Syria kwenda kupigana kwenye mitaa ya nchi ya kigeni halafu ndio eti wawashinde wenyeji wa pale hilo sahau kabisa.
Tena kama hujui elewa kwamba ni warusi hao hao ndio watakaowachuuza kwa waukraine. Wanajeshi wengi wa Russia hawataki hivi vita, wanasema hawaoni sababu ya kupigana na Ukraine.
Kama zilikuwa na watazamaji wachache, kwa nini wazifungie?Unasambaza tena propaganda. Hakuna anayezuliwa kuangalia vituo vya kirusi, vyote vinapatikana online. (analialia kwa sababu satelaiti zilifuta runinga ya kirusi - ambayo ilikuwa na watazamaji wachache, maana muda wote ilionekana kama propaganda)
Russia jeshi lake Ni mdebwedo....Ni wakuwasamehe tuSasa ata aibu huoni kama mpaka leo baada ya wiki tatu za kuanzisha vita ya uvamizi na masilaha mengi na askari zaidi ya 120,000 hamjaweza kuuteka mji mdogo kama Maurpol ambao ni.mji mdogo sana na haulindwi kama miji mingine apo unaona kuwa mna jeshi kweli yaani sijui nikueleze vip
Maana ulichokiongea hadi mimi mwenyewe nimeona aibu yaani baada ya wiki tatu za vita bado hamjafaulu kuuteka mji mdogo kama maurpol aisee Russian tuliwaover rate sana kifupi jeshi lenu ni dhaifu mno dhaifu kupindukia ikumbukwe maurpol ni mji ambao wal serikali ya Ukrain haijaweka nguvu nyingi kuulinda am kuukomboa ameweka nguvu kidogo sana pale!!
Ha ha ha Taifa kubwa kutegemea wapiganaji mamluki wa Syria.Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba Urusi sio taifa dogo
Na hayo makubaliano kwamba Raia wakiisha ondoka kinachofuata ni kugeuza mji kua kifusi cha majivuPicha za setiliti zaonesha majeshi ya Russia yakikaribia zaidi Kyiv huku yakinyesheleza mvua za mabomu zinavyounguza miji na kuigeuza kuwa vifusi na magofu
View attachment 2148084View attachment 2148085
Ni vigumu kuangalia channel za Urusi sababu West wamezizuia usizione na Urusi hawana la kufanya kusaidia wapenzi watazamaji wa chaneli zake nje ya Urusi kuzitazama kwa uhuru.Kama zilikuwa na watazamaji wachache, kwa nini wazifungie?
Watakwambia zinatangaza propaganda, je Wanachokifanya BBC, CNN, AL JAZEERA, FRENCH 24 ni nini?
Oohh ni state sponsored sawa ni kweli zinafadhiliwa na Serikari ya Urusi.
Je BBC haifadhiliwi na serikari ya Uingereza, je wale wengine?
Hamna mtu kaomba,Putin ndio kaomba msaada kaelemewaKama mtu ameomba kujitolea utamkataaje