LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kazi inafanyika kwa ufanisi mkubwa, picha za setiliti zaongea zaidi (picha zilizochukuliwa kabla ya mashambulizi June 2021, na za baada ya mashambulizi March 9, 2022)

A1/ Kabla ya shambulizi mji wavutia
View attachment 2148009

A2/ Baada ya shambulizi.

View attachment 2148010


B1/ Kabla ya shambulizi mji wavutia

View attachment 2148012


B2/ Baada ya mashambulizi


View attachment 2148013


C1/ Kabla ya mashambulizi

View attachment 2148014


C2/ Baada ya mashambulizi
View attachment 2148015
Warusi wanapiga mabomu kiustadi sana utafkiri Aliens yaani bomu linachakata nyumba mpaka ibaki gofu na hainguki ili wenyewe wakiiona wafe kwa presha
 
Profit repatriation inategemea na sheria zenu kama zinaruhisu,pia acha ushamba, investment haiwi included kwenye GDP bali kwenye GNP.

Huna cha kuniambia kwenye economics,ndio fani yangu hiyo.

Hasira za kibano [emoji116]

View attachment 2147943
Nahakika kwa komenti zako zile wewe si mchumi.

Sio tu uchumi, wewe pia huwezi kuwa Mwanasheria, Accountant, Engineer of all forms, Huwezi kuwa expert wa Biashara hata Agribusiness ya pale SUA.

Kwa sababu tunatumia majina feki humu lakini mtazamo, uwezo , ufahamu, utaalamu, uzoefu unaonyesha kila kitu Cha mtu.
 
Ndio maana wasyria wameitwa ambao ni mabingwa wa urban warfare.

Putin hajawahi kuwa mjinga.
Kwa hiyo "Super Power" amenyweya pamoja na tambo na promo zote zile. Usicheze na vita bwana.

Nyerere alisema vita sio lelemama, ona sasa Russia alivyoaibika kwenye hivi vita hadi mkuu wa intelijensia amewekwa kwenye kizuizi cha ndani kwa kupotosha kuhusu nguvu za Ukraine na majenerali nao ndio hivyo wametemeshwa mzigo.
 
Utakuja uniambie, huwezi kutoa watu Syria kwenda kupigana kwenye mitaa ya nchi ya kigeni halafu ndio eti wawashinde wenyeji wa pale hilo sahau kabisa.

Tena kama hujui elewa kwamba ni warusi hao hao ndio watakaowachuuza kwa waukraine. Wanajeshi wengi wa Russia hawataki hivi vita, wanasema hawaoni sababu ya kupigana na Ukraine.

Umeitoa DW kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unasambaza tena propaganda. Hakuna anayezuliwa kuangalia vituo vya kirusi, vyote vinapatikana online. (analialia kwa sababu satelaiti zilifuta runinga ya kirusi - ambayo ilikuwa na watazamaji wachache, maana muda wote ilionekana kama propaganda)
Kama zilikuwa na watazamaji wachache, kwa nini wazifungie?

Watakwambia zinatangaza propaganda, je Wanachokifanya BBC, CNN, AL JAZEERA, FRENCH 24 ni nini?

Oohh ni state sponsored sawa ni kweli zinafadhiliwa na Serikari ya Urusi.
Je BBC haifadhiliwi na serikari ya Uingereza, je wale wengine?
 
Sasa ata aibu huoni kama mpaka leo baada ya wiki tatu za kuanzisha vita ya uvamizi na masilaha mengi na askari zaidi ya 120,000 hamjaweza kuuteka mji mdogo kama Maurpol ambao ni.mji mdogo sana na haulindwi kama miji mingine apo unaona kuwa mna jeshi kweli yaani sijui nikueleze vip

Maana ulichokiongea hadi mimi mwenyewe nimeona aibu yaani baada ya wiki tatu za vita bado hamjafaulu kuuteka mji mdogo kama maurpol aisee Russian tuliwaover rate sana kifupi jeshi lenu ni dhaifu mno dhaifu kupindukia ikumbukwe maurpol ni mji ambao wal serikali ya Ukrain haijaweka nguvu nyingi kuulinda am kuukomboa ameweka nguvu kidogo sana pale!!
Russia jeshi lake Ni mdebwedo....Ni wakuwasamehe tu
 
Kama zilikuwa na watazamaji wachache, kwa nini wazifungie?

Watakwambia zinatangaza propaganda, je Wanachokifanya BBC, CNN, AL JAZEERA, FRENCH 24 ni nini?

Oohh ni state sponsored sawa ni kweli zinafadhiliwa na Serikari ya Urusi.
Je BBC haifadhiliwi na serikari ya Uingereza, je wale wengine?
Ni vigumu kuangalia channel za Urusi sababu West wamezizuia usizione na Urusi hawana la kufanya kusaidia wapenzi watazamaji wa chaneli zake nje ya Urusi kuzitazama kwa uhuru.
 
Back
Top Bottom