Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu nipe hiyo taarifa yako Putin alikuwepo mwaka gani hapa tz na Mimi nikupe fact kipindi hicho alikuwa wapi halafu ulinganishe uone
 
View attachment 2582783
Heres the pic claimed of Putin in Tanzania....but I dont think so...
Huo ni uwongo mtupu ndugu yangu. Mwaka 1973 Putin alikuwa na miaka 21 tu akiwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Leningrad. Hakuwa na taaluma yoyote ya kijeshi kuweza kuja kufundisha wapigania uhuru mbinu za kijeshi. Achana na propaganda.
 
Russian troops defeat 98 artillery units of Armed Forces of Ukraine.

Konashenkov added that over the past day, Russian air defense systems intercepted 10 HIMARS and Smerch MLRS shells, a Grom-2 missile, and destroyed 14 drones of the Armed Forces of Ukraine
Tass.
 
Russia ni invader; hakuna vita hapo. The invaded anajititea dhidi ya invader. Fikiria kuwa kabla ya vita ya dunia, Tanganyika Rwanda na Burundi zilikuwa nchi moja ya Deutsch-Ostafrika Baada ya muda hizo zimekuwa ni nchi tatu tofauti, halafu anatokea kichaa mmoja akatumia nguvu ya kijeshi kuziteka nchi zote kuwa nchi moja. Kweli hiyo ni sahihi?
 
Huelewi unachoabdika wewe...tuliza kichwa na ufanye analysis mlinganifu..sio hicho ulichoandika
 
Toka Lin sisi tulikuwa nchi kabla ya kuwa koloni LA germani hatukuwai kuwa nchi hata siku moja
 
Huo ni uwongo mtupu ndugu yangu. Mwaka 1973 Putin alikuwa na miaka 21 tu akiwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Leningrad. Hakuwa na taaluma yoyote ya kijeshi kuweza kuja kufundisha wapigania uhuru mbinu za kijeshi. Achana na propaganda.
Baadhi ya vijana waliozaliwa miaka ya 2000 hawaelewi kitu... tusiwalaumu.
 
Huo ni uwongo mtupu ndugu yangu. Mwaka 1973 Putin alikuwa na miaka 21 tu akiwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Leningrad. Hakuwa na taaluma yoyote ya kijeshi kuweza kuja kufundisha wapigania uhuru mbinu za kijeshi. Achana na propaganda.
Wewe umeongelea mwaka 1973.
Hebu tuambie Mwaka 1975 - 1977 Putin alikuwa wapi?
Kumbuka vita vya Angola baina ya MPLA na UNITA vilipiganwa miaka hiyo na USSR ilikuwa upande wa MPLA na mafunzo yao yalikuwa Tanzania.

Huku akina Samora na Mnangagwa wakiwa kambi ya Bagamoyo.
 

Propaganda nyingine bwana!! When were pictures taken - je hapo ni Bakhmut kweli??Mbona kama wiki mbili zilizo pita wanajeshi wa Ukraine walionekana wali-retreate ng'ambo ya pili ya mto wakirudi makwao - sasa hawa kwenye ma-trench wanatokae wapii??
 
Hao NBC News, waweke na picha za askari wa Ukraine walivyokuwa wanazuia wanafunzi wa Afrika wasijiokoe kutoka kwenye uwanja wa mapambano na kukimbilia Nje ya Ukraine kama wanayojeuri hiyo!
====

Kuna graphics images kwenye link chini fungua kwa tahadhari.
====
 
Propaganda nyingine bwana!! When were pictures taken - je hapo ni Bakhmut kweli??Mbona kama wiki mbili zilizo pita wanajeshi wa Ukraine walionekana wali-retreate ng'ambo ya pili ya mto wakirudi makwao - sasa hawa kwenye ma-trench wanatokae wapii??
Bakhmut haijaanguka yote bado, japo Wagner na askari wa Urusi wamechukua maeneo mengi.
 
Macron huwa anawakumbusha wana Ulaya wenzake kila siku kwamba waachane kuwa American Vassals, wanzishe jeshi lao, viwanda vya kuunda ndege zao za kivita na Meli - yaani kuaachana na utegemizi husiofaa amboa unaweza kuwatia matatani kwa kujikuta wanapigana vita au Kukorofishana na mataifa mengine kwa niaba ya Maslahi ya Merikani - Ulaya ijifunze kijitegemea na kuwa a truly independent Continent.
 
Huo ni uwongo mtupu ndugu yangu. Mwaka 1973 Putin alikuwa na miaka 21 tu akiwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Leningrad. Hakuwa na taaluma yoyote ya kijeshi kuweza kuja kufundisha wapigania uhuru mbinu za kijeshi. Achana na propaganda.
Nisome tena, read my last sentence ....but I dont think so...
 
👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝

Umemaliza Mkuu,
Hatari yote ya Europe kutaka kupigwa na Urusi ni kutokana na kumkaribisha Jambazi la dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…