Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Way to go Field Marshal Vlad Putin (Ivan the terrible) - BRAVO, I trust that a telling blow will teach these crooks a hard lesson of not messing with a mighty Russian military.
 
Dunia Inaenda Mbio sana
na Ukweli sikuzote Utabakia Kuwa Ukweli
===========================
Ujerumani Imetuma Barua Kazaa kwa Mwamba Putin kuomba Kurudisha Uhusiano wake
na Kufungua Viwanda vyake vya Magari Urusi
Anaomba Kuhamisha na Kufungua Viwanda vyake Ndani ya Urusi
Maana Kaona Uchumi wake Unayumba



The Germans are asking the Kremlin to allow them to produce cars in Russia

The German publication Spegel reports that it has sent a three-page letter to Vladimir Putin with a proposal to resume cooperation.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kaanza Hadi kuzeeka wkt still Yuko 40s
Sina shaka amekwisha gudua kwamba mabeberu wanamtumia kuwa- sacrifices vijana wa Ukraine kwa niaba ya maslahi ya Merikani wenye agenda za siri kumuhusu Putin na Urusi lakini Waamerika wenyewe hawatali kushiriki vita ya ana kwa ana na Urusi kwa kuwa wanajua matokeo yake yatakuwa mabaya sana kwa upande wao, kwa hiyo wanatumia mtu au Taifa ambalo halijitambui ili wamlazimishe au kumtishia afanye kile wanacho kitaka wao na wakimkuta kiongozi clown kama Senselesky ndio basi tena atatumiwa kama a zombie/robot.

Amekuwa leashed vilivyo na US Administration ndio maana Zelensky hawezi kuzungumzia masuala ya kusitisha vita bila ya kuomba kibali kwanza kutoka White House/Serikali ya Merikani, Zelensky is currenty caught between the rock and hard place - anajilahumu SANA kwa kutozingatia ushauri wa kiongozi wa Urutuki.
 
Sasa kama asilimia 80 ipo kwenye mikono ya WARUSI bado utasema mji haujanguka.

*Bakhmut - imeanguka

*Marinka- imeanguka

*Advivka- Bado haijanguka
Huo mji wa mwisho na mimi sijui kwanini ilikua inanipa wepesi kuusoma kama ulivyoandika, ila jina sahihi ni Avdiivka sio Advivka!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Safi sana mkuu....hiyo makala ya Bbc sikuwahi kuiona ila imemaliza utata kabisa.

Huyo jamaa ya picha ya mwaka 1973 hawezi kuwa ya kijana mdogo wa miaka 21 ambao ni umri wa Putin enzi hizo, ila ni bahati tu kuwa wanafanana.
 
Huo mji wa mwisho na mimi sijui kwanini ilikua inanipa wepesi kuusoma kama ulivyoandika, ila jina sahihi ni Avdiivka sio Advivka!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Yah wala ni sahihi wala sijakataa bali ni vitu vya kawaida kwenye kuandika kikubwa ni mtu kuelewa tu nini namanisha.
 
Sasa kama asilimia 80 ipo kwenye mikono ya WARUSI bado utasema mji haujanguka.

*Bakhmut - imeanguka

*Marinka- imeanguka

*Advivka- Bado haijanguka
Russia has switched to 'scorched earth' tactics in Bakhmut, says top Ukrainian general

Fighting has been fierce in the Ukrainian city of Bakhmut for months, as Wagner Group mercenaries relentlessly push to gain control of the region.

Oleksandr Syrskyi, commander of Ukraine's ground forces, said today that Russian troops have switched to "scorched earth" tactics in the embattled eastern city.

This is a military policy in which the enemy attempts to destroy anything useful for its opponent to fight back. This can include bases, weaponry, supplies - and even crops.

"The enemy switched to the so-called scorched earth tactics from Syria," Mr Syrskyi said. "It is destroying buildings and positions with air strikes and artillery fire."

Despite this, the commander said that Ukraine's defence of Bakhmut continues.

"The situation is difficult but controllable," he added.

Mr Syrskyi also claimed that Russian forces were bringing in airborne assault units to aid their attack, as Wagner fighters have become "exhausted".

==========================

Asilimia 80% bado sio sawa na 100%, bado Bakhmut pagumu japo wavamizi wana 'upper hand'..
 
Hakuna ugumu hapo yani mtu amechukua asilimia 80 ya mji mzima alafu useme bado mji umeushikilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ebu acha utani basi
 
Kwahio walikuwa wanajambisha🤣
 
Hizi assets za west Russia ameshazitungua mara kibao na hamna kitu walifanya kama retaliation. Sometimes west wanaelewa uki act tough. Huwezi kuanzisha total war dhidi ya Russia kisa katungua ndege yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…