kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ungekuwa na akili ya kuchambua issues usingeileta habari hii kama kejeli.....Nadhani what is bwhind Lukashenko's statement. Hapo ni kwamba Belarusi muda wowote itaingia vitani iwe kutokana na false flag au vinginevyo. Ile counter offensive ya Ukraine ikianza Russia na Belarus wataanzisha front myingine kuelekea Kiev.....wakati ile ya mwanzo ya February 2022 ilikuwa ni geresha hii itakuwa sasa ni for real...Acha kitete, si uliyataka mwenyewe nini tena ? 😀 😀
Belarusian president meets with Russian defence minister
Belarusian President Alexander Lukashenko met Russian Defence Minister Sergey Shoigu for an unannounced meeting in the Belarusian capital Minsk, Belarusian state-owned news agency BelTA reported.
Lukashenko said Belarus needs guarantees that Russia will defend Belarus “like its own territory” in the event of external atta
Hii nadhani wamejifunza Kwa mjapaniDunia Inaenda Mbio sana
na Ukweli sikuzote Utabakia Kuwa Ukweli
===========================
Ujerumani Imetuma Barua Kazaa kwa Mwamba Putin kuomba Kurudisha Uhusiano wake
na Kufungua Viwanda vyake vya Magari Urusi
Anaomba Kuhamisha na Kufungua Viwanda vyake Ndani ya Urusi
Maana Kaona Uchumi wake Unayumba
The Germans are asking the Kremlin to allow them to produce cars in Russia
The German publication Spegel reports that it has sent a three-page letter to Vladimir Putin with a proposal to resume cooperation.🤣🤣🤣🤣🤣