NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Unaweza kuweka evidence ni wapi amesema Ukraine siyo nchi!? Hivi unatuchukulia humu tunauelewa sawa na vijana unaowadanganya mtaani kwako!?je unajua wewe? Mimi sina uhakika. Najua anachosema Putin - ila si rahisi kuelewa anachofikiri kweli.
Wewe unajua nini??
- anasema anataka kuokoa Warusi katika Ukraine wanaochinjwa. Sijaona uthibitisho wowote, kinyume naona watu wa Kharkiv (asilimia 70+ Waukraine Warusi) wanapigana kwa nguvu dhidi ya jeshi la Putin.
- anasema kwamba Ukraine si nchi , ni sehemu ya Urusi. Ni haki yake kuwaza vile lakini ni haki ya watu wenyewe kuamua kama wanataka kuendelea kuwa nchi huru au kujiunga naye. Hadi sasa hawakutaka. Wana ahadi ya Urusi ya kulinda Ukraine ya mkataba wa Paris - ila ahadi ya Putin ni kinyume...
- Putin amelalamika kwamba NATO imeviringisha Ukraine - nikiona ramani NATO inapakana na Ukraine kwenye %% 5 ya miapaka yake. Hmmm. (yeye anaiona pia)
Huwezi amini mkuu nimeshangazwa sana na huyu mtu,watanzania wengi sisi ni watu wa kuleta ushabiki katika kila jambo.Watanzania utawaweza!hapo yeye kashiba ndi mihogo ya kuchoma na dagaa mchele Yuko anashadadia mauti ya wenzao
[emoji1787][emoji1787] mu Ukraine wa Lupingo-Ludewa yaani bado unamatumaini ya kuepuka kipigo cha Wasoviet sitaki nikuongopee Serikali ya Zelensk ipo Mashakani jahazi linazama wataanza kugawa mbao mda si mrefu[emoji1787]He here mrussi wa Naliendele naona umetubalishia na la Avatar umeweka ka ZERO kenu eeeh?Zero Ni failure....mtafeli njooni kambi la ushindi
Sidhani kama unaelewa mambo haya zaidi ya west! Wewe ni Mfuasi tu wa kuona yanayotokea, hakuna unachofikiri wewe ambacho wao hawajiki-anticipateMtu hajui economics analeta mahaba kwenye vitu siriaz yaani wanaamin Russia ataumia wakt mpaka wao vitawahusu. Kwa kinachoendelea EPL kama Chelsea atashindwa sababu ya UKATA wachezaji kuna uwezekano wasilipwe mishahara yao tim imefungiwa account.
Chelsea akishindwa itapelekea tim zingine zigome kucheza kumbuka wenzetu wanaumoja sana. Tim zikigoma kucheza sponsors watasitisha mikataba itaathiri mapato ya tim, itaathir mapato ya EPL Zile Tv zinazirusha matangazo zitakosa wateja mfano DSTV kama hurushi EPL nan atanunua packages?? Itaathiri uchumi worldwide. West wasilete ubabe kwenye vitu kama hv shida wanashinikizwa na biden, unaona kabisa vikwazo vya kupaniki.
Huko italy viwanda vinafungwa, huko ujeruman viwanda vya magari vinategemea sana nishati kama production iko juu unafikir nini? Hawa wasipokaa mezani na Russia uchumi duniani utaanguka sana hapa namwona china atakavokuja juu sana.
Biden ajue anampa nafasi china acha walale wakishtuka muda umekwenda dunia ya sasa imechoka na utawala wa kidhalimu wa marakani mataifa mengi yanalia ndani kwa ndani. Siku ya kuanguka kwa US tutaskia mengi sana. Je ni kweli yale yaliyotabiliwa kwenye bible yanakwenda timia??????
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Russia ni fair wanataka kugeuza magofu hiyo miji, sasa hawataki kuua raia labda wawe wabishi kuondoka ndio watakipata wakitakacho.Ila wadau kuna jambo natafakari sipati jibu. Ni nini hasa Russia anachokitaka maana hii yakutaka wananchi waondoke kwenye Miji/ nchi yao ndio nashuhudia kwa Mara ya kwanza kwenye hii Dunia.
Pro Ukraine wamepoa sana ni dalili za maumivu makali baada kushuhudia NATO na USA wamewatosa kikatili nyikani huku Wasoviet wakiendelea kuchanja mbuga kuelekea Kiev hatari sana..Kama uliowapata Nyie wazee wa ZERO(in Magu voice, ZERO usitamke Ziro tafadhali)
Ubalozi Ukraine njaa tupuUbalozini Kuna mchongo,changamka!
......Katika ubora wako.Yani vitu vingine kichekesho mno... Bora mjinga yuko radhi kuelekezwa kuliko mpumbav anayehis anajua kumbe hajui...
Hv mfano apa tz ile kiberiti tunaagiza kenya, na vichoko choko kibao tu twaagiza kutoka kenya af mara ghafla tunapiga marufuku kufanya biashara na mkenya ilhal tulivokuw tunavifata kenya hatujavtaftia mbadala....
Si ndo utakuwa mwanzo wa kununua kiberiti cha 100 kwa 500? Haya kule vinakotoka supply itakuwa kubwa maana ake ukija kwe "Demand na Supply rule" ni kwamba kule vinakopatikana vitashuka bei uku vinapanda bei...
Je ataathirika mkenya pekee au n ww mwenyewe uliyepiga marufuku...
Twende mbali zaidi uchumi wetu sie tunafanya exports sana kuliko imports kiasi cha mpaka kitu kiduchu tu ka sukari haitoshi tunaagiza kutoka nje...
Tukiwapiga marufuku hao wanaoleta tunaumia sisi au wao?.... Chinese products zilizosambaa apa Tz ukisema umpige mchina marufuku ataumia mchina au tutaumia sisi...?
Yan mtu mahindi yake kayalima mwenyewe unamringishia et hununui kwake kwan we ndo mnunuzi pekee?...
Tunajisahaulisha ka USA n just 4.25% of world population... Hyo 95.75% n rest of the world... Ko USA so dunia. Haya nenda mbali zaidi kwe hilo kundi la G7...
G7 labda kama halijui ni Canada, France, Germany, Italy, Japan, UK na USA mwenyewe... Je tfaut na yeye anategemea Germany ata terminate normal trade na Russia???
Huu ushabiki tungeuweka kando apa tungejifunza mengi mno ila sasa uzi umegeuka ka kijiwe cha kahawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Next.. Ukraine imesema Urussi imeutwaa mji wa Mariupol.
Mpendwa, tafadhali: FUATA HABARI! Kabla ya uvamizi Putin alitoa hotuba ndefu ambako alirudia kwamba Ukraine si nchi kweli. Si mara ya kwanza, nimekuta hapa gazeti la kirusi Komersant ya 07.04.2008 https://www.kommersant.ru/doc/877224 ambako ananukuliwa "Когда же речь зашла об Украине, Путин вспылил. Обращаясь к Бушу, он сказал: "Ты же понимаешь, Джордж, что Украина — это даже не государство! Что такое Украина? Часть ее территорий — это Восточная Европа, а часть, и значительная, подарена нами!" Tafsiri yangu: “When it came to Ukraine, Putin flared up. Addressing Bush, he said: , George, that Ukraine is not even a state! What is Ukraine? Part of its territory is Eastern Europe, and part, and a significant one, was donated by us!"Unaweza kuweka evidence ni wapi amesema Ukraine siyo nchi!? Hivi unatuchukulia humu tunauelewa sawa na vijana unaowadanganya mtaani kwako!?
I'm not sure....what's ua opinion?Was this the reason for Putin's invasion over Ukraine?
Huoni hapo amekimbilia Israel ndio waokoe jahazi lake linalozama.Imani ingekufa angeisikiliza Urusi na kukubali masharti.