Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russian forces continue to focus their main efforts on conducting offensive operations in the Lyman, Bakhmut, Avdiivka and Marinka directions. Throughout the day, units of the Defense Forces of Ukraine repelled nearly 20 enemy attacks.#

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Valeriy Zaluzhny met with Chief of the Joint Staff of the Armed Forces of the French Republic, Army General Thierry Burkhard, who arrived in Ukraine on a visit.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
#Yoweri_Museveni_Speaking!..

"Wanahitaji tuwe Kinyume na Urusi, tuwe Maadui wa Urusi, Lakini sisi tunasema "Urusi amekuwa Pamoja nasi kwa Zaidi ya Miaka 100, je tunawezaje Ghafla tu kumkataa na Kuwa Kinyume nae?...Tazama! Kama tumethubutu mpaka kuwasamehe Wakoloni waliotutesa, Kutupora Mali kwa Minyororo na Mijeredi, waliotuchukua Kama Watumwa na kututendea Mambo Mabaya, Lakini leo tumewasamehe na Tunafanya nao kazi!...Uganda itasimama na Urusi". - Museveni.
 
The foreign ministers and defense ministers of Romania, the Republic of Moldova, and Ukraine held a trilateral meeting in Bucharest to discuss the security situation in the region and prospects for further cooperation.#

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
William Taylor, vice president of the U.S. Institute of Peace and former U.S. ambassador to Ukraine, believes that it is rather premature to assert that there is a certain alliance between China and Russia or that their views coincide in everything.#

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanataka walipwe lini? Maana bado wanazi hawajakimbia.
 
Na wamempa somo Mrusi kuunda chuma nyingine hatari sana..COMING SOON...achana na visilaha vya nchi 30+ vinagongwa na vyuma vya nchi 1 tu
 
Na wamempa somo Mrusi kuunda chuma nyingine hatari sana..COMING SOON...achana na visilaha vya nchi 30+ vinagongwa na vyuma vya nchi 1 tu
Yote Tisa,kumi, mafanikio makubwa ya ukraine mpaka Sasa ni kuweza kuigeuza operation maalum ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo kuwa vita ya muda mrefu [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…