Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Anniversary of the Destruction of the "Moskva"

The flagship of the Russian Navy's Black Sea Fleet was destroyed by two Ukrainian Neptune missiles a year ago. Its loss completely changed the course of Russia's war against Ukraine.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
In a phone call with President of #Ukraine Volodymyr #Zelensky, #UK Prime Minister Rishi #Sunak reacted to a video that shows the execution of a Ukrainian prisoner of war, saying that those responsible need to be held to account.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mchina bado hapokei simu ya Zele
 
Dikiteta Putin mwenyewe alishakiri hadharani kwamba vikwazo vinahathiri uchumi wa urusi..,Sasa sijui tukuamini wewe mrusi wa buza kuliko Putin?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wazungumzie ule mtonyo Zelensky anaoupiga kwenye chenji za msaada wa mafuta.
 
Bado kidoogo aambiwe akubali mapatano
 
Wazungumzie ule mtonyo Zelensky anaoupiga kwenye chenji za msaada wa mafuta.
Zelensiky ana mianya mingi ya kupata mitonyo,,huku World Bank, huku IMF, huku nchi washirika, chenjichenji zinazobaki kwenye zile military packages.., yaani Jamaa akitoka madarakani bila kuwa billionaire naweza kumuaona hamnazo, maana Hela zinatiririka kutoka kila upande

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dikiteta Putin mwenyewe alishakiri hadharani kwamba vikwazo vinahathiri uchumi wa urusi..,Sasa sijui tukuamini wewe mrusi wa buza kuliko Putin?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tamko la Putin liko wapi akikiri uchumi umeanguka? Tofautisha "kuathirika uchumi" aliyotamka na "kuanguka" aliyotamka huyo kibaraka wa wanazi hapo Ukrain
 
Tamko la Putin liko wapi akikiri uchumi umeanguka? Tofautisha "kuathirika uchumi" aliyotamka na "kuanguka" aliyotamka huyo kibaraka wa wanazi hapo Ukrain
Kuhathirika ni hatua ya mwanzo kabla ya kuanguka.., huwezi ukafikia 2 bila kuanza na Moja..,hapo ni kwamba Putin alikuwa anawapa onyo warusi Ili ikitokea wakaanza. Kubeba fedha kwenye magunia Ili kwenda kuemea sokoni,wasiseme hakuwaambia[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hamna mabadiliko yaliyotokea kwenye OP, wanachojivunia wanazi ni spidi ya kuwatungua wanazi kutokea baharini ilipungua..
 
Ilitekwa asilimia 80, ishirini wanazi wanaponya nafsi zao...msijesema wanazi wameiachia bakhmut kwa hiyari..
Hizo asilimia mmeshatwambia sana ,Leteni tu habari kwamba mmefanikiwa kuwaondoa vijana wakakamavu wa rais zelensiky hapo bakhumut..,ni Hilo tu, nyingine ni mbwembe [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…