Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mara hii super pawer atagombana na kila mtu[emoji1787]
1681495663976.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vikosi vya Ukraine vyalipua majengo baada ya kuondoka Bakhmut.sasa sijui wana maana gani[emoji23][emoji23][emoji23]





Propaganda haibadilishi uhalisia [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]




[emoji298][emoji298]Russian army continues to focus its main efforts on conducting offensive operations in the #Lyman, #Bakhmut, #Avdiivka and #Maryinka directions. The fiercest fighting continues in Bakhmut and Maryinka. About 40 enemy attacks were repelled over the last day.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vikosi vya Ukraine vyalipua majengo baada ya kuondoka Bakhmut.sasa sijui wana maana gani[emoji23][emoji23][emoji23]




Wamekata tamaa wanajua Urusi akishakamata eneo huwa halirudi milele, hivyo wanalipua wakitaka Urusi aje aanze ujenzi upya.

Unajua miji anayochukua Urusi sio maghorofa yote anaanza ujenzi upya bali kuna ambayo anarepea tu.

Wanachofanya hawa wanajeshi wa NATO kitakuja kuwagharimu endapo hii operesheni ikichukua muda mrefu sababu Urusi atawatumikisha haohao wanaojisalimisha kujenga hiyo miji.

Kwenye vita kuna mambo mengi.
Wanaofanya hivyo sio wanajeshi wa Ukraine ila ni wale wanato wenye uchungu wa kupoteza kwenye uwanja wa vita, au wanawalazimisha wajeda wa Ukraine wafanye hivyo ili Urusi aingie gharama kubwa ya kujenga hiyo miji.
Bahati mbaya ukimfanyia Urusi ukatili yeye anakufanyia ukatili zaidi alafu hatangazi.
Kila wanachofanya hawa mashoga kitawagharimu waowao kwa kipimo cha kuzidi.
Ikishindikana kuwatumikisha, basi rasilimali za maeneo aliyochukua Urusi zitaenda kuuzwa hukohuko Ulaya na Marekani kwa bei ya juu zaidi kuwakomesha
 
Hivi kwa nini Comrade KIM JONG KILA SIKU ANAFANYA MAJARIBIO YA MAKOMBORA YAKE KUELEKEA EITHER SOUTH KOREA OR JAPAN lakini sijawahi kusikia japan, south korea pamoja na us wakijaribu kurusha hata jiwe kuelekea pwani ya Kiduku??? View attachment 2587904
Hahahaha akili hana yule anaripua kweli wakimjaribu hana utani
 
Warusi wa buza wanakwambia wataamini kwamba urusi wanachinjwa pale idadi itakapofikia million 27 🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa laki mbili ndio kelele zote hizo...tunawachinjaa tunawachinjaa...askari ameapia kifo jeshini, hvyo huchinji warusi, unaua walinzi wa urusi...ni hivyo tu..ila kila mkiwaua ndivyo mnavyopoteza mji..mwishowe Kyv hii hapa..
 
War in Ukraine Expected to Continue into 2024, Allegedly Leaked Documents Reveal

A stalemate, in which neither side will achieve a decisive advantage, is described in a leaked document as "the most likely scenario."

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Natamani iendelee hadi 2043, umri sawa na kule kwa wa taleban, tujue mbivu na mbichi za EU kutetea kiti cha u-NAZI hpo Ukrain
 
Sergey Lavrov and Russian UN Delegation Denied US Visas

The US has refused visas for the Russian delegation and the Russian Foreign Minister to attend a UN Security Council meeting.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mnamuogopa waziri Lav wakati mnajigamba mtamkamata Rais Putin...viroja vya mashoga
 
Former Georgian President Receives Polish Award for Contribution to the Struggle for Freedom

The Lech Kaczyński Prometheus Award, named in memory of the former Polish President who died in a plane crash in Smolensk 13 years ago, was this year made to the imprisoned former President of Georgia

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyu rais wa Georgia hana tofauti na huyo wazir wa ufaransa, wote wanakimbilia kwa fiancé wao US ndio wanaropoka ushoga wao ili kuleta civil unrest...
 
[emoji298]️China will not sell weapons to any party involved in the situation around Ukraine, the head of the Ministry of Foreign Affairs of the People's Republic of China, Qin Gang, said. He also added that China will monitor the export of dual purpose goods, the AP reported.

[emoji328]: ReutersView attachment 2587621

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Infiriority Propaganda, Russia hajawahi kuomba yeyote yule amuuzie silaha za kukimbiza wanazi...zakwake zinamtosha kupiga wanazi-NATO wote pamoja na Ukrain na mashabiki zao wote na zinabakia...
 
The Ukrainian Ministry of Youth and Sports issued a decree on April 12 banning all official delegations of national sports teams from participating in international competitions where athletes from Russia or Belarus are present.

Learn more: Ukraine bans national sports teams from participating in competitions with Russian, Belarusian athletes

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine ina impact gani kwenye masuala ya michezo ya Kimataifa - yaani Merikani imemvimbisha kichwa Zelensky na wasidizi wake, wanazungumza chochote kinacho wajia kichwani - mara ifukuze Russia kutoka umoja wa mataifa, mara....
 
China anaiitaji Ukraine kuliko Ukraine anavyoiitaji china,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zelensky alikua anawazia kbs kuwa Jinping akitoka Moscow atatua Kyiv ili aanze kumparapata kidada-dada, akashangaa mjomba kamaliza siku 3 Moscow na simu za Washngton za mikwara hapokei, akakwea pipa nyumbaniii Beijing..
Zelensky hakuamini..akasubir simu..hamna, ikabid apige yeye..jibu alilopewa ni "sio mda wa kuongea na Xi kwa sasa", wakaanza matusi ya rejareja oooh atamzunguka Putin, oooh China ni chui alie mawindoni...urusi atajuta...
Wakamtuma Macron Beijing, nusura Xi agome kuonana nae, walipoonana Macron amerud Paris akatapika Nyongo.."EU ijitegemee iepuke kuwa mkeka wa kuazima wa US, sio kila US akiwa na kitchen party mkeka wa shughul ni EU, kila mtu ajitegemee"...Macron
Wakamtuma yule bibi wa kijeruman..eti kakajifanya "Pelosi wa ulaya"...alichokipata Beijing hajaamini kama pale ndipo mkutano wa haki sawa kwa wanawake ulifanyikia hapo...kasachiwa hadi vitambulisho utasema ni mwajuma ndala ndefu ameenda shopping China....
=========================
Unahisi China ndie mdangaji ukrain au Zelensky ndio anataka kudanga China?
 
Zelensiky ana mianya mingi ya kupata mitonyo,,huku World Bank, huku IMF, huku nchi washirika, chenjichenji zinazobaki kwenye zile military packages.., yaani Jamaa akitoka madarakani bila kuwa billionaire naweza kumuaona hamnazo, maana Hela zinatiririka kutoka kila upande

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapa umenena mwanangu kula gwara[emoji109] hapa ndio umetumia ubongo wako wa kuzaliwa, achana na akili za kushikiwa na makakapoa wa ulaya.
 
Kuhathirika ni hatua ya mwanzo kabla ya kuanguka.., huwezi ukafikia 2 bila kuanza na Moja..,hapo ni kwamba Putin alikuwa anawapa onyo warusi Ili ikitokea wakaanza. Kubeba fedha kwenye magunia Ili kwenda kuemea sokoni,wasiseme hakuwaambia[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa basi ile nchi ya Urusi haina tena mfanyibiashara wa Ulaya wala Marekan, na nchi imesimama vizuri kushinda hata kipindi cha Covid, unemployment imepungua sana Urusi, wanajiendesha kwa faida.. Wana rasilimali za kutosha, wananchi wake, raia wamechukua fursa za kazi walizoziacha wageni wa ulaya, zile za taaluma ambazo hazijapata wafanyajikazi wachina wamepita nazo...wahindi ndio usiseme
Huko kuanguka kunatokea wapi wakati Vokswagen ya German imeomba kurudi Urusi kuendeleza kufyatua magari..
Uswiss imeruhusu wawekezaji wa Urusi wawe free kuchukua pesa zao zilizopo Uswiss, na assets za Urusi zipo free from sanction ndani ya Swissland[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom