safi bro nimekupata loud and clear. but on point of correction mimi si mtanzania bali Mkenya kumaanisha nikijilinganisha na wabongo kiswahili changu kitakuwa kimbovu kuruka so kindly ruhusa i throw one or two malkia words bora tuskizane.asantekiswahili ni lugha tamu sana alafu mizizi hake ni hapa hapa bongo tanzania so hata kama unakijua kimalkia kutoka uk jitahidi kuandika lunha mama kiswahili....[emoji4][emoji4][emoji4]
Kuna habari nimetoka kusoma hapa Askari wa Ukraine wamekimbia wameacha shehena za silaha nyingi sana [emoji119][emoji119]
Nauliza kwani bakhmut ndio eneo la mwisho kwa ukraine nikimaanisha baada ya hapo ukraine itakua chini ya russia???
Nimekubali mdauMkuu, Bakhmut ni sawa na CHALINZE hapa Tamzania, ukiikamata Chalinze basi inakufungulia na mikoa mengine.
Kikubwa ni kuleta takwimu za kweli,hata wakichinjwa wawili lazima uhabarishwe,hao elf Moja unaotaka wachinjwe nafikiri usubiri pale counteroffensive itakapoanza!!Idadi inapungua tuu kutoka
1,000
900
800
700
Sasa ni
500
400......
Kwa trend hii usijeshangaa unaandika 17[emoji23][emoji23][emoji23] had 9
Ndo unapotimia usemi wa huyo mzee, kama jeshi tu halihiitaji"No one need it"...Medveded
Kazi kazi
mmhh kumbe we ni mkenya basi sawa mkuu endelea tu mkuu nitapambana na lugha ya malkia hivo hivo ingawa lugha yangu KISWAHILI kipa umbele....safi bro nimekupata loud and clear. but on point of correction mimi si mtanzania bali Mkenya kumaanisha nikijilinganisha na wabongo kiswahili changu kitakuwa kimbovu kuruka so kindly ruhusa i throw one or two malkia words bora tuskizane.asante
MK254 atakataaKazi kazi
[emoji28][emoji28][emoji28]We must listen to China, says Spain’s Sanchez
The world should listen to China to find a way out of the war in Ukraine, Spanish Prime Minister Pedro Sanchez says.
“China is a global actor, so obviously we must listen to its voice to see if between all of us, we can put an end to this war and Ukraine can recover its territorial integrity,” Sanchez told a news conference in Brussels following a meeting of the European Council.
The Spanish leader is expected to visit Beijing on March 31 for talks with President Xi Jinping. The meeting between the two leaders is expected to focus mainly on the war in Ukraine.
Xi has described China as “impartial” and proposed a 12-point peace plan while calling for a comprehensive ceasefire.
Mmoja kati ya Wakenya Wachache msiopenda ujinga.safi bro nimekupata loud and clear. but on point of correction mimi si mtanzania bali Mkenya kumaanisha nikijilinganisha na wabongo kiswahili changu kitakuwa kimbovu kuruka so kindly ruhusa i throw one or two malkia words bora tuskizane.asante
[emoji3][emoji16] hili dongo lakini halijamuumiza bwana mixx...Mmoja kati ya Wakenya Wachache msiopenda ujinga.
Hongera sana
Vita nifano kama mchezo wa mpira u hezwavyo,unashambulia na baade na wewe unashambuliwa.