kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kwani propaganda za wajinga Zina mahesabu?Hizo takwimu zako zina ukweli gani?..SMO ilikua na "wafukuza nazis" 190,000 wakaja kuongezwa Wegner group wanaofikia 20,000, ila westen media zikasema ni 50,000, haya jumla tuseme ni 260,000
Haya wewe unasema mmechinja 180,000+ majeruh 500, means kwamba Urusi ana wapiganaji 70,000 tuu ukrain mzima?
Yah!Hamna uporaji hapo, hizo ni states ambazo Ukrain alizikalia kwa makubaliano aliyoyavunja mwenyewe..
Hizo ni mbinu za kivita, Wala hatuna ushirika na Jeshi la Serikari, wala hakuna siraha.Huyo jamaa ndio zake.
Anawajaza upepo, manazi ya Ukraine yanavimba kichwa.
Yakija yanapewa za uso.