mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Ivi Cuba na Venezuela zipo karibu na nchi gani ?.Hilo pori ninaposema ni Urusi wana eneo kubwa na republics maskini kibao kama Tuva kwa kina Shoigu. Maeneo uelekeo wa kwenda Mongolia sijui Tatar na Ulan Ude wana umaskini na hayajaendelezwa, kukosa rami kawaida na population ni sparse. Kwenye machimbo kidogo na gesi ndio kuna unafuu na yakiisha madini wanabaki na ghost towns. Siberia eneo kubwa. In short Russia is uneccessarily big na pupulation yake ya karibia milioni 150.
Sasa bado wanahangaika na Ukraine badala waendeleze nchi yao. Nani avamie yale mapori, Russia halisi iko Western uko St. Petersburg, karibia na kati uko Moscow na kusini kina Sochi. Mashariki uko Chechnya ndio maana walipigana kujitenga, ni kama hawapo.
Ukraine imevamiwa kwa sababu zilezile za kuivamia Georgia na ujinga wa Urusi ni kuvamia jirani tena waliokuwa nao Soviet block. Hutoona Marekani inaivamia Canada au Mexico
Kukosa URUSi izi nchi si zingekuwa zishavamiwa muda tu na Marekani.
Ndo maana nasema katika watu wanaongea utumbo kwenye ili jukwaa basi wewe mmoja wapo.ni bora ya Vunjo kuliko wewe maana ni mweu kabisa[emoji23][emoji23]