Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

BREAKING NEWS YA KUSHANGAZA WANAJESHI WA UKRAINE 4000 WAMEKIMBIA KAMBI WAMEACHA SILAHA NZITO WALIZOPEWA NA NATO BILA KUPIGANA WAMEAMBIWA TUU NA WENYEJI WARUSI WANAKUJA WAKAVUA MAGWANDA WAKAJIMIX NA RAIA WEMA WAKALA KONA NDUKI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]‍[emoji3601]RUNFOR LIFE.... SASA WARUSI WAMEFIKA WANAZICHKUA CHA KUOKOTA SIO CHA KUIBA MPAKA VIFARU TOOOBA, JUMLA YA TANI 4500 ZA SILAHA NZITO NA KAMBI KUBWA YA JESHI WAMEACHA, WAMEENDA USWAHILINI??? I DONT KNOW

Warusi wanatisha
 
Unaambiwa moja ya nchi zilizo na political will ya kuchakazana na US ni North Korea. Hawamuogopi kabisa na hawana cha kupoteza. Ni tofauti na Russia na China ambao uwezo wao ni mkubwa kijeshi lakini hawana political will ya kupigana na US.
US anajua kuwa Kiduku ni mwehu 😀 ukimbipu anapiga hajiulizi mara 2
 
Russia [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

BREAKING NEWS YA KUSHANGAZA WANAJESHI WA UKRAINE 4000 WAMEKIMBIA KAMBI WAMEACHA SILAHA NZITO WALIZOPEWA NA NATO BILA KUPIGANA WAMEAMBIWA TUU NA WENYEJI WARUSI WANAKUJA WAKAVUA MAGWANDA WAKAJIMIX NA RAIA WEMA WAKALA KONA NDUKI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]‍[emoji3601]RUNFOR LIFE.... SASA WARUSI WAMEFIKA WANAZICHKUA CHA KUOKOTA SIO CHA KUIBA MPAKA VIFARU TOOOBA, JUMLA YA TANI 4500 ZA SILAHA NZITO NA KAMBI KUBWA YA JESHI WAMEACHA, WAMEENDA USWAHILINI??? I DONT KNOW

Warusi wanatisha
Ugali ulivyo mtamu ukajipeleke kwa Wagner kweli 😀😀😀
 
Kama kawaida mchina mzee wa dili ndo maana hua hapendi kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote. Tayari kaanza ku import mali kutoka maeneo yaliyokuwa annexed na Russia. Kampuni inanunua mzigo wa copper wa mabilioni halafu ukiifuatilia kampuni husika kazi yake official ni kutengeneza bidhaa za karatasi😀😀
Nadhani sasa wataelewa pesa za kuendesha vita zinatoka wapi😂😂😂
 
Russia [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

BREAKING NEWS YA KUSHANGAZA WANAJESHI WA UKRAINE 4000 WAMEKIMBIA KAMBI WAMEACHA SILAHA NZITO WALIZOPEWA NA NATO BILA KUPIGANA WAMEAMBIWA TUU NA WENYEJI WARUSI WANAKUJA WAKAVUA MAGWANDA WAKAJIMIX NA RAIA WEMA WAKALA KONA NDUKI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]‍[emoji3601]RUNFOR LIFE.... SASA WARUSI WAMEFIKA WANAZICHKUA CHA KUOKOTA SIO CHA KUIBA MPAKA VIFARU TOOOBA, JUMLA YA TANI 4500 ZA SILAHA NZITO NA KAMBI KUBWA YA JESHI WAMEACHA, WAMEENDA USWAHILINI??? I DONT KNOW

Warusi wanatisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Christ Is Risen – and So Is Ukraine! And for the Faithful?

As Christians in Ukraine celebrate Easter, turmoil caused by the war has engulfed the Orthodox Churches – what is behind it all?
Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The displayed renderings of traditional Ukrainian Easter eggs are among those that survived Russian destruction of a Kyiv region park last year.
Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Jana walichinjwa zaidi ya mia tano 🥱🥱🥱🥱
1681632583250.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu NATO hawapangiwi masharti namna ya kuanza vita, ni kama Urusi ilivyoibuka ikaamua iende Ukraine. Ili NATO waingie kwenye vita haswa ni lazima Article 5 itumike na haijawahi tumika tangu wawepo. Ni pale member wa NATO atakapovamiwa na iliwahi tokea kwenye September 11 ndipo baadae wakajua ni magaidi. Urusi hajafanya chochote cha kupigwa na NATO ndio maana hawajamshambulia. Ukraine sio mwanachama.

Russia ni dhaifu mbele ya Marekani, achana na nuclear maana hiyo either ni draw au Russia kupigwa. Hakuna nuclear exchange itakayoleta matokeo ya Marekani kupigwa. Ukubwa wa Urusi unakuja kwa wengine hao Moldova sijui Georgia.

Kuhusu Vietnam. Marekani ilienda kufanyaje kule, na Vietnam ikafanyaje. Kilichoipeleka Marekani kule ni kuzuia influence ya Communists, sasa vipi Ukomunisti upo leo? Na hao USSR mababa wake wako wapi si ndio hawa hapa wanapigana leo. Sasa mshindi nani hapo. China yenyewe ilienda baada ya Marekani kutoka nayo ikafeli, wakati Marekani ilipokuwa kule ilikuwa inawapa mswada Vietcong.
USSR ilikuwa na utofauti mkubwa na US, moja ilifeli kwa muungano wa kugundisha nyingine ipo ndio superpower
Kwani Russia inapangiwa masharti nanani si nato wanasema Russia haikua na sababu yakuitwanga Ukraine ila mbona waitwanga
Tunawaomba nato wakaisaidie Ukraine kama walivyosema eti wanawasaidia raia wa Libya
 
Upuuzi wako huu peleka kule kwenye uzi wenu wa slava Ukraine,,, huku unatujazia server,,, kwani kama umekosa habari ya maana si ukaushe..
[emoji298][emoji298] Ukraine is celebrating Easter with unshakable faith in its victory.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hilo pori ninaposema ni Urusi wana eneo kubwa na republics maskini kibao kama Tuva kwa kina Shoigu. Maeneo uelekeo wa kwenda Mongolia sijui Tatar na Ulan Ude wana umaskini na hayajaendelezwa, kukosa rami kawaida na population ni sparse. Kwenye machimbo kidogo na gesi ndio kuna unafuu na yakiisha madini wanabaki na ghost towns. Siberia eneo kubwa. In short Russia is uneccessarily big na pupulation yake ya karibia milioni 150.

Sasa bado wanahangaika na Ukraine badala waendeleze nchi yao. Nani avamie yale mapori, Russia halisi iko Western uko St. Petersburg, karibia na kati uko Moscow na kusini kina Sochi. Mashariki uko Chechnya ndio maana walipigana kujitenga, ni kama hawapo.

Ukraine imevamiwa kwa sababu zilezile za kuivamia Georgia na ujinga wa Urusi ni kuvamia jirani tena waliokuwa nao Soviet block. Hutoona Marekani inaivamia Canada au Mexico
USA Kule Kuna maskini tele wanalala nje hawana makazi kuhusiana na kutaka kujitenga hata North Ireland Wales wanataka kujitoa kwenye makucha ya UK
 
Russia [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

BREAKING NEWS YA KUSHANGAZA WANAJESHI WA UKRAINE 4000 WAMEKIMBIA KAMBI WAMEACHA SILAHA NZITO WALIZOPEWA NA NATO BILA KUPIGANA WAMEAMBIWA TUU NA WENYEJI WARUSI WANAKUJA WAKAVUA MAGWANDA WAKAJIMIX NA RAIA WEMA WAKALA KONA NDUKI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]‍[emoji3601]RUNFOR LIFE.... SASA WARUSI WAMEFIKA WANAZICHKUA CHA KUOKOTA SIO CHA KUIBA MPAKA VIFARU TOOOBA, JUMLA YA TANI 4500 ZA SILAHA NZITO NA KAMBI KUBWA YA JESHI WAMEACHA, WAMEENDA USWAHILINI??? I DONT KNOW

Warusi wanatisha
Bendera ya Urusi ni hii🇷🇺 sio hiyo unayoitumia mara kwa mara hapa jukwaani
 
US hajavuruga Indo-Pacific. Japan, South Korea na Taiwan ziko bega kwa bega na US na zinafanya vizuri sana kiuchumi na kila kitu. Huwezi nitajia nchi tatu zilizokuzwa kiuchumi na Urusi dunia nzima.

Nchi inavamia majirani ingekuwa na uwezo si ingevamia nchi za mbali ila uzuri ndio uwezo haina. Kwa Urusi hii uwezo wa kuvamia mfano Brazil haina kabisa kabisa
Heheheee Sasa Russia ikavamie Brazil imefanya nn yaani unataka Russia ianzishe vita kwakua wewe umependa
 
Back
Top Bottom