ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,728
- 2,418
Duh! Sasa imekua thread ya vita ya Sudan, sio Ukraine tena?!!SUDAN BATTLE MAP:
General Burhan’s government forces control red parts.
General Dagalo/Hemedti control yellow.
Green areas are controlled by rebels who oppose both sides.
Non-highlighted parts are desert areas with very few human settlements.View attachment 2591245View attachment 2591246
Mkuu hii si uifungulie uzi wake?SUDAN BATTLE MAP:
General Burhan’s government forces control red parts.
General Dagalo/Hemedti control yellow.
Green areas are controlled by rebels who oppose both sides.
Non-highlighted parts are desert areas with very few human settlements.View attachment 2591245View attachment 2591246
Usijisumbue na huyu mtuIngekuwa kweli CNN, BBC, aljazeera, vyombo vyote vya magharibi vingejaa hiyo habari lakini source yake ni Facebook, kuweni serious na bando za watu.
1000 wamejisalimisha huko hawati kufaAFU wanajitekenya nakucheka wenyewe[emoji1][emoji38]
Naomba wa Russia aweke baseSergey Lavrov has landed in capital Brasilia, Brazil. He’s going on tour throughout Latin American countries and will visit Venezuela, Nicaragua and Cuba
Tulia mkuu, hii vita ya sudan ina uhusiano na mgogoro kati ya west na Russia.Duh! Sasa imekua thread ya vita ya Sudan, sio Ukraine tena?!!
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Sergey Lavrov has landed in capital Brasilia, Brazil. He’s going on tour throughout Latin American countries and will visit Venezuela, Nicaragua and Cuba
Kwanini wanajisalimisha wapigane tu si wamependa kupigana.Huko Lisichansk na Gorsky Kundi kubwa la Askari wa Ukrein wanaji salimisha
Karibu Wanajeshi 1000 Walisha Jisalimisha Wengi wao Wakilalamika kuwa Wanauliwa sana
hawana Silaha wala Pesa
Unaambiwa Ndani ya Masaa 24 Wanauliwa mpaka 1000
Kitu ambacho wameogopa na Kuanza Kujisalimisha huku sehemu kubwa Ikiwa imezungukwa na Wanajeshi wa Urusi
View attachment 2590985
The Ukrainian military began to surrender en masse, both near Lisichansk and Gorsky. The total number of prisoners can reach 1000 people.
The Ukrainian army suffered huge losses near Lisichansk
The number of people killed in the last 24 hours can reach up to 1000 people.