Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ujue bora ukose Pesa, unaweza pata wasamalia wema wakakupatia. Ila mtu akikosa akili kisha akajikuta mjuaji siku zote huwa anaachwa na Upumbavu wake.

Nasoma zangu hapa comments nimeiona hiyo binafsi nimecheka sana, but kicheko cha masikitiko. That's why kila mda huwa nasema hawa wenzetu wana namna yao ya kufikiri ambayo haifanan na yetu. I mean wapo kwenye dunia yao full of illusions!

Finland weka mbali silaha iwe mshale, ama mkuki. Ni nchi yenye Idadi ya watu wachache kuliko Mkoa wa Dar es Salaam hapa Tanzania. Finland ina idadi ya watu takriban Mil 5.47

Hapo tumesema Idadi ya watu, So ni Jumla ya Wazee Vijana na watoto kwa pamoja. Ila kwa upande wa Russia tusizungumzie Idadi ya watu bali Total reserves ya wanaoweza kupigana endapo ikitangazwa Vita. Ni zaidi ya Mil 25.

Number hazidanganyi msemo wa lee van cliff
Idadi ya wapiganaji tu waliopo Russia ni almost five times ya Idadi yote ya watu waliopo Finland including Vijizee, Vijana hadi Vitoto. Bila hata kutumia Silaha ima bunduki wala mishale, kwamba wazichape ulingoni kama Mwakinyo na Mandonga bila kupepesa jicho ushajua nini kitajiri.

Population vs Fighters, 1 to 5 af bado kuna mtu anawaza mtoto wa miaka miwil, Mzee wa miaka 90, mama mwenye kijusi, wagonjwa, walemavu ambao ni katika wanaochangia idadi hiyo ya watu watamudu pambano la wapiganaji wa 5 kwa kila mmoja.

Kwamba kuna toto moja baada ya kuvuta alichovuta sijui ndio niseme milango iko wazi hawezi bana pumzi ikabaki mwilini kuleta afya ya akili anakurupuka anakuja sema eti "Russia bila Nukes" Finland pekee tu anam-mudu. Hivi wanawaza kwa kutumia nini ndugu zetu hawa?

Ok kama wana mmudu wamekimbilia NATO kufanya nn? Nukes? Ndani ya Europe zipo France na UK. Tena kwa idadi kisoda watazifanyia nini ndani ya huo Muungano? Kama France mwenyewe, Germany, UK, Poland... top dog hapo EU wanaogopa kukutana ana kwa ana na Russia. Finland atafanya nn?

Russia anatengeneza silaha zake mwenyewe, almost nchi zote EU ama ndani ya NATO ukizitoa zile top zinategemea silaha kwa manunuzi kutoka kwa shangazi yao US. Watafanya nini?

The farthest distance kutoka Russia ndani ya Europe ni UK, ambapo Russia anaweza fikisha madhara ndani ya dk 3-4 ukitokea Kaliningrad. Je hawa waliopo kikwapani watafanywa nini?

Mahaba ya upande flan kwa kila mtu yapo ila this is too much [emoji57], sijui ndio kuishiwa hoja comments nyingi kutoka kwao zimekua kama mipasho isiyo na uhalisia. Ni kutype ilimradi kiumbe kime'type.

Unajionaje mchambuzi kama Unashindwa tofautisha Politics vs Reality.

Matumizi mabaya ya mwili yanaharibu sana akili. Vijana wenzetu em acheni hizo mambo muweze kubana pumzi ubongo upate hewa ufanye kazi kwa ufasaha. Mnaboa sio siri nyie wazee!
Pro nato wamepanic sana twendeni nao taratiiib
 
“By supporting the US hybrid war against Russia, the political leaders of the EU exposed their countries to the inevitable sharp deterioration in the economic situation. The hybrid war will end after the citizens of EU countries come to their senses.” — Glazyev #FranceProtests
 
Ft7GREiXgAgvfHO
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787]
FM Lavrov amepiga pamba za kijanja WORLDS coolest FM of all time
[emoji635]#Russian Foreign Minister Sergey #Lavrov arrives in #Brazil wearing jeans and trainerView attachment 2591329
Kumbe Lavrov mnyamwezi sana tu 🤣🤣🤣
 
Viktor Orban: "Wamarekani hawatishiwi na mzozo kati ya Urusi na Ukraine,bali ni sisi. Kwa hiyo, tungependa Marekani kuelewa msimamo wetu maalum: vita hivi vina mtazamo tofauti kabisa na Budapest kuliko Washington. Ndiyo maana tunaitisha mazungumzo ya kusitisha mapigano na amani"
 
Wanaotamani kumkamata Putin mbona alitembelea Ukraine na kukagua vikosi vyake na kuongea na wapiganaji lakini hawajamkamata. Subirini Sasa mkong'oto utakaofuata.

President
Putin visited the headquarters of the group of troops "Dnepr" in the Kherson region:
"In the headquarters of the group of troops "Dnepr" in the Kherson region, Vladimir Putin listened to reports of Colonel General Mikhail Teplinsky, commander of the airborne forces, Colonel General Oleg Makarevich, commander of the group of troops "Dnepr," and other military commanders.

#source
Join our chat. Your opinion matters. Share the news further.
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Huo ndo uanaume Sasa,
Sio unaenda kujitekesha ili ukimbie Vita

Kama kweli hawakukimbia warudishwe Frontline,

Maana kitakwimu chechens hawakupata defeat au retreat kote walikopita,

Hawa Waaojitia POW walitokea wapi Kama sio wanaume ubwabwa walokimbia Vita[emoji4]

Naungana na kadyrov,warudishwe Frontline[emoji4]
Hata mimi nimeifurahia hii
 
Wanaotamani kumkamata Putin mbona alitembelea Ukraine na kukagua vikosi vyake na kuongea na wapiganaji lakini hawajamkamata. Subirini Sasa mkong'oto utakaofuata.

President
Putin visited the headquarters of the group of troops "Dnepr" in the Kherson region:
"In the headquarters of the group of troops "Dnepr" in the Kherson region, Vladimir Putin listened to reports of Colonel General Mikhail Teplinsky, commander of the airborne forces, Colonel General Oleg Makarevich, commander of the group of troops "Dnepr," and other military commanders.

#source
Join our chat. Your opinion matters. Share the news further.
@Slavyangrad
Join SLG [emoji832] Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
Kumchinja Kobe kwahitaji timing.
 

Ex-Pentagon Officer: Russia’s Robust Capabilities in Electronic Warfare Second to None​


April 17, 2023

The Russian army’s state-of-the-art electronic warfare systems are capable of significantly hampering the planned counteroffensive by Ukrainian forces, David T. Pyne, an EMP Task Force scholar and former US Department of Defense officer, told Sputnik.
 

Iraq offers to mediate between Ukraine and Russia to end war​


Ukrainian foreign minister Dmitro Kuleba has been in Iraq today for the first time since the start of the war in hopes of gaining diplomatic support.

Baghdad has called for a ceasefire and offered to mediate between Ukraine and Russia to bring and end to the war.

But Ukraine's top diplomat - whose visit to Iraq marks the first by a Ukrainian foreign minister in 11 years - insisted his country would not take part peace talks unless Russia withdraws from its territory.

Baghdad "has experience in communication with countries that have tension between them" and "is ready to be in service of peace," Iraq's foreign minister Fuad Hussein said at a joint news conference in Baghdad.

But Mr Kuleba said while Ukraine sees Iraq as "a country that is capable of building bridges", it was important to note that "Ukraine wants peace and Russia wants war".
 
Back
Top Bottom