Utatuboa maskio mkuu[emoji28][emoji28]VIDEO
View attachment 2595976
Vita Raha ukisikia tu sio Live ukiwepo
Huko Bakhmut Kuna Kikundi cha jeshi la Ukrein Kilikuwa kimejificha kwenye Jengo na Kuleta Usumbufu sana kwa WAGNER
Ikabidi waitwe Wanaume wakazi kutoka Urusi wenyewe
yaani Special Forces amabao kazi yao ni ku storms na ku destroys
hawa Majamaa nihabari Nyingine
Yaani Njugu zinamwagwa Live hakuna kurudi Nyuma FILAMU
yaani Zinapigwa Mpaka masikio yanatoboka kwa milio tu!!
Sometimes ni makosa ya kibinadamu tu,au hata sabotage!Kwa hiyo hata lile kombola lililopotea target na kutwanga Urusi humohomo pia Ukraine walifuta GPS eee !!
Russia accidentally bombs own city near Ukraine
At least three people were injured as a jet fired a weapon into the city of Belgorod, according to Russian state media.
Comment of the day, shukran sana mkuu haya madini hayapatikani kokote zaidi ya hapa JF.Hapana Mkuu Extrovert.
Russia haikutingishwa mwanzo wa vita hata kidogo.
Isipokua Hali ilikua kama hivi.
-Jeshi la Ukraine lilikua bado liko fiti kabisa tayari kukabiliana na jeshi lolote hapa duniani,hasa likiwa na mafunzo makali kabisa kutoka majeshi Bora kabisa ya NATO.hasa USA,UK,Her,Fra,Canada n.k.
-jeshi la Ukraine lilikua bado liko na silaha Bora kabisa,kutoka Iliyokua USSR,USA UK na NATO.
-jeshi la Ukraine lilikua linapata taarifa zote muhimu kivita dhidi ya jeshi imara kabisa hapa chini ya jua.
Taarifa muhimu kama vile Urusi wanakuja na silaha Gani,mipango Yao,jinsi ya kuwapiga na kuingilia mawasiliano yao.taarifa hizi Ukraine alikua akipewa na NATO hasa USA UK Fra na Ger n.k.
-ukraine ikiwa na askari wenye morale ya Hali ya juu kabisa wakiwa brainwashed na ahadi no no-no kua wataishinda Red Army na kua Urusi itashindwa mfano wa USA walivyoshindwa Vietnam.
-Ukraine ikiwa na advantage ya "eneo",
Ikiwa imepakana na nchi zote wanachama wa NATO hivyo ikawa rahisi kupokea misaada haraka kutokea Western countries.
-ukraine ilikua Ina ngome ngumu sana kijeshi zilozojengwa kwa msaada wa NATO Kwa ajili ya kuja kukabiliana kijeshi na Might Russia.
Hivyo basi Russia wala haikua dhaifu,wala haikubahatisha,wala haikukurupuka.
Kumbuka Ukraine ilikua ni sehemu ya Urusi USSR kwa maana hiyo Wana masalia Yao yanayopata taarifa zote za kinachoendelea Ukraine,Wana majasusi Bora kabisa,hivyo,walikua wanajua Kila kitu kinachoendelea Ukraine kwa msaada wa NATO.
ilikua ni suala la muda TU.
Urusi Walifanya maandalizi yote ya hii SMO na kwa kujua uwezo wa kijeshi aliokua nao Ukraine Urusi akapanga mipango yake yote ya uvamizi huku akijua anaenda kukabiliana na nchi yenye uwezo Gani wa kijeshi.alijua fika atapoteza askari na vifaa vingi sana,kwani moja ya sababu kubwa kabisa ya SMO hii ni kumvua na kumnyang'anya Ukraine uwezo wake wa kijeshi.hapa sio mchezo,kumnyang'anya silaha mtu alieishika na akiwa ana mafunzo mujarabu kabisa sio kitu kidogo.yaani kuifanyia nchi kamili kitu kinachoitwa"Demilitalization"sio jambo dogo ATI,Tena nchi yenyewe inapewa Kila aina ya misaada inayotaka kutoka NATO.
Sasa basi Urusi iliyajua yote haya na ikaanzisha OP yake,wakati Ukraine ikiwa bado Iko fiti kabisa,ukweli hata Ingekua nchi Gani hapa duniani ni lazima ingepata upinzani mkali kabisa kutoka Kwa nchi yenye uwezo iliyokua nao Ukraine.
USA iliwahi kupata upinzani,Iraq, Afghanistan n.k.kwa Nini isiwe Russia?
Lakini basi kwa kuyajua hayo yote ,Might Russia ilianza kuvunja ngome moja Hadi nyingine, taratibu, hatua kwa hatua.
Kama inavyofahamika,katika vita huwezi ukaanza na silaha kubwa,Bali unakua unaingiza silaha kubwa kutokana na upinzani kuongezeka.
USA na washirika wake walisumbuliwa kidogo na Scud B za sadam husein,ndipo.wakaleta mwarobaini wake Patriot.
Vivyo hivyo kwa Urusi,sio kwamba haikua na solution za akina Juveline, Himmers nk.bali walipoona kua kumbe aina hiyo ya silaha zipo nao wakaleta Tiba zake.
Mwisho kabisa ni kwamba,kazi ya kulivunja nguvu jeshi la Ukraine ilikua ni ngumu yenye jasho na damu,lakini Sasa hatimae wameshalivunja tayari.
Silaha zote zinazotumika Sasa upande wa Ukraine ni mpya,ni zile zinazoingizwa kwa njia za panya na kificho,nazo zikibainika zinateketezwa.
Sio kwamba Urusi ilikua haijapata in war experience,Bali jeshi la Ukraine lilikua bado ni imara.
Urusi kafanya kazi kubwa na ya hatari sana ya kuli neutralize.
hatimae kamudu,na Sasa anajipigia TU.
Tutamuengua tu,ni swala la muda, hatimaye atajiona mjinga na kufyata mkia.Nashukuru watu wanazidi kujitambua.Hapana, uzi mzima huu ulijazwa na wanazi sasa wameshaona unazi wao haupendwi enzi hizi za uhuru na kujitegemea, nafsi zimewasuta walichokua wanakipigania ni maslahi ya kuja kuondolewa marinda yao, sasa mmebaki wanazi watatu(3) tuu humu jamvini
Hata ukituletea wewe hasara aliyopata Ukraine sio mbaya!Why not ukrain iwe ni russia tuu?
According to your views!Converted to pagan, islam, jews, freemason even to witches and wizard...no one give tha "Fuud"
Aliyedhalilika ni yule dikiteta aliyekwenda kufanya operation ya saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo matokeo yake imekuwa vita ya muda mrefu [emoji16]Kazeni buti maana mmedhalilika mda mrefu sana sasa...
[emoji35][emoji81][emoji445][emoji2484][emoji1732][emoji1783]VIDEO
View attachment 2595976
Vita Raha ukisikia tu sio Live ukiwepo
Huko Bakhmut Kuna Kikundi cha jeshi la Ukrein Kilikuwa kimejificha kwenye Jengo na Kuleta Usumbufu sana kwa WAGNER
Ikabidi waitwe Wanaume wakazi kutoka Urusi wenyewe
yaani Special Forces amabao kazi yao ni ku storms na ku destroys
hawa Majamaa nihabari Nyingine
Yaani Njugu zinamwagwa Live hakuna kurudi Nyuma FILAMU
yaani Zinapigwa Mpaka masikio yanatoboka kwa milio tu!!
Hahahahah ngoja tumuone kibwengo in chief kp kipanya44Atokee mpumbavu aitaje tu ICC wakati putin yupo South africa ndo atajua kwa nini kuku hakojoi.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wao walipoivamia Iraq, Libya hawakuwa ma NAZI?Warsaw Ghetto Uprising: German president draws Putin-Nazi parallels
IMAGE SOURCE,AFP VIA GETTY IMAGES
Image caption,
German President Frank-Walter Steinmeier (R) asked "for forgiveness for the crimes" Nazi Germany had committed
Germany's president has drawn parallels between the brutal Nazi crackdown of the Warsaw Ghetto Uprising in 1943 and Russian President Putin's full-scale invasion of Ukraine last year.
Mr Putin "has broken international law, challenged borders, committed land grabs", said Frank-Walter Steinmeier at a commemorative ceremony in Poland.
More than 10,000 Jews were killed by the Nazis during the ghetto uprising.
Mr Steinmeier asked "for forgiveness for the crimes" Germany had committed.
The Warsaw Ghetto Uprising - one of World War Two's most remarkable acts of defiance - began exactly 80 years ago as a response to Nazi efforts to send the remaining Jewish population in the Polish capital to death camps.
Hundreds of young Jewish men - armed only with pistols, machine guns and grenades - withheld the onslaught of German troops for three weeks.
About 13,000 Jews were killed, many of them burnt alive or suffocated after the Nazis burned the ghetto b-by-block.
Of the remaining 50,000 residents, almost all were captured and sent to the death camps of Majdanek and Treblinka in Nazi-occupied Poland.
IMAGE SOURCE,GETTY IMAGES
Image caption,
Nazi soldiers march Jews out of the ghetto on 19 April 1943
On Wednesday, Mr Steinmeier - together with Polish President Andrzej Duda and Israeli President Isaac Herzog - laid wreaths at the monument to the ghetto heroes in Warsaw.
And speaking at the commemorative ceremony, the German president said that President Putin's war "brings immeasurable suffering, violence, destruction and death to the people of Ukraine".
"You in Poland, you in Israel, you know from your history that freedom and independence must be fought for and defended. You know how important it is for a democracy to defend itself.
"But we Germans, too, have learned the lessons of our history. Never again, which means that there must be no criminal war of aggression like Russia's against Ukraine in Europe."
Mr Steinmeier stressed this meant Germany and other Western nations would "stand firmly on the side of Ukraine".
It was the first time that a German head of state has been asked to speak at an anniversary of the Warsaw Ghetto Uprising.
Unlike counterparts in other Western countries, German leaders had somewhat strained relations with Ukraine's authorities during the first few weeks of the Russian invasion, with senior officials in Kyiv openly criticising them for refusing to send modern weapons.
It was even reported that Mr Steinmeier was snubbed by Ukrainian President Volodymyr Zelensky last year, when he wanted to visit the Ukrainian capital together with other Western leaders.
But Germany is now seen as being at the forefront of Ukraine's fight with the invading forces.
Tens of thousands of people are believed to have been killed, and many Ukrainian towns and villages have been destroyed since President Putin launched his invasion on 24 February 2022.
Ukraine and its allies accuse Russian troops of committing thousands of war crimes, including mass murder, and rape and deportations.
Mass burial sites have been found in several parts of Ukraine previously occupied by Russian troops, including some containing bodies of civilians showing signs of torture.
Moscow has repeatedly denied the accusations.
Last month, the International Criminal Court in The Hague issued an arrest warrant against President Putin, triggering an angry response from the Kremlin.
=========================
Putin amegeuka Hitler wa karne ya 21.
Nakula, Tena mchana kweupe, kwani ndugu zetu wameshafungulia Sasa.ππππMoja ya uchambuzi bora sana huu kula tano mkuu
Wapenda haki chini ya kiongozi wetu Putin lazima tuseme ukweli.Comment of the day, shukran sana mkuu haya madini hayapatikani kokote zaidi ya hapa JF.
Dah..an excellent piece of analysis...nimekuandalia birian hapa Vladivostok...jiji ambalo ni mwisho wa reli na bandari Safi na makao makuu ya Pacific fleet...Hapana Mkuu Extrovert.
Russia haikutingishwa mwanzo wa vita hata kidogo.
Isipokua Hali ilikua kama hivi.
-Jeshi la Ukraine lilikua bado liko fiti kabisa tayari kukabiliana na jeshi lolote hapa duniani,hasa likiwa na mafunzo makali kabisa kutoka majeshi Bora kabisa ya NATO.hasa USA,UK,Her,Fra,Canada n.k.
-jeshi la Ukraine lilikua bado liko na silaha Bora kabisa,kutoka Iliyokua USSR,USA UK na NATO.
-jeshi la Ukraine lilikua linapata taarifa zote muhimu kivita dhidi ya jeshi imara kabisa hapa chini ya jua.
Taarifa muhimu kama vile Urusi wanakuja na silaha Gani,mipango Yao,jinsi ya kuwapiga na kuingilia mawasiliano yao.taarifa hizi Ukraine alikua akipewa na NATO hasa USA UK Fra na Ger n.k.
-ukraine ikiwa na askari wenye morale ya Hali ya juu kabisa wakiwa brainwashed na ahadi no no-no kua wataishinda Red Army na kua Urusi itashindwa mfano wa USA walivyoshindwa Vietnam.
-Ukraine ikiwa na advantage ya "eneo",
Ikiwa imepakana na nchi zote wanachama wa NATO hivyo ikawa rahisi kupokea misaada haraka kutokea Western countries.
-ukraine ilikua Ina ngome ngumu sana kijeshi zilozojengwa kwa msaada wa NATO Kwa ajili ya kuja kukabiliana kijeshi na Might Russia.
Hivyo basi Russia wala haikua dhaifu,wala haikubahatisha,wala haikukurupuka.
Kumbuka Ukraine ilikua ni sehemu ya Urusi USSR kwa maana hiyo Wana masalia Yao yanayopata taarifa zote za kinachoendelea Ukraine,Wana majasusi Bora kabisa,hivyo,walikua wanajua Kila kitu kinachoendelea Ukraine kwa msaada wa NATO.
ilikua ni suala la muda TU.
Urusi Walifanya maandalizi yote ya hii SMO na kwa kujua uwezo wa kijeshi aliokua nao Ukraine Urusi akapanga mipango yake yote ya uvamizi huku akijua anaenda kukabiliana na nchi yenye uwezo Gani wa kijeshi.alijua fika atapoteza askari na vifaa vingi sana,kwani moja ya sababu kubwa kabisa ya SMO hii ni kumvua na kumnyang'anya Ukraine uwezo wake wa kijeshi.hapa sio mchezo,kumnyang'anya silaha mtu alieishika na akiwa ana mafunzo mujarabu kabisa sio kitu kidogo.yaani kuifanyia nchi kamili kitu kinachoitwa"Demilitalization"sio jambo dogo ATI,Tena nchi yenyewe inapewa Kila aina ya misaada inayotaka kutoka NATO.
Sasa basi Urusi iliyajua yote haya na ikaanzisha OP yake,wakati Ukraine ikiwa bado Iko fiti kabisa,ukweli hata Ingekua nchi Gani hapa duniani ni lazima ingepata upinzani mkali kabisa kutoka Kwa nchi yenye uwezo iliyokua nao Ukraine.
USA iliwahi kupata upinzani,Iraq, Afghanistan n.k.kwa Nini isiwe Russia?
Lakini basi kwa kuyajua hayo yote ,Might Russia ilianza kuvunja ngome moja Hadi nyingine, taratibu, hatua kwa hatua.
Kama inavyofahamika,katika vita huwezi ukaanza na silaha kubwa,Bali unakua unaingiza silaha kubwa kutokana na upinzani kuongezeka.
USA na washirika wake walisumbuliwa kidogo na Scud B za sadam husein,ndipo.wakaleta mwarobaini wake Patriot.
Vivyo hivyo kwa Urusi,sio kwamba haikua na solution za akina Juveline, Himmers nk.bali walipoona kua kumbe aina hiyo ya silaha zipo nao wakaleta Tiba zake.
Mwisho kabisa ni kwamba,kazi ya kulivunja nguvu jeshi la Ukraine ilikua ni ngumu yenye jasho na damu,lakini Sasa hatimae wameshalivunja tayari.
Silaha zote zinazotumika Sasa upande wa Ukraine ni mpya,ni zile zinazoingizwa kwa njia za panya na kificho,nazo zikibainika zinateketezwa.
Sio kwamba Urusi ilikua haijapata in war experience,Bali jeshi la Ukraine lilikua bado ni imara.
Urusi kafanya kazi kubwa na ya hatari sana ya kuli neutralize.
hatimae kamudu,na Sasa anajipigia TU.
Kunywa maji yakutoshaMuda sio mrefu Saud Arabic itakuwa Kama Libya. Ngoja wajidanganye na Majini yao