Huenda vunjo na Axel loyd nao walikumbwa na hii kadhia maana hawaonekani tena mitaaniHabari za maangamizi makubwa ya majenerali na maofisa wa NATO kuuliwa ndani ya handaki huko Ukraine zimezangaa hadi kwa raia wa kawaida huko marekani na kwingineko.
View attachment 2598581
The story of the destruction of the control bunker in Ukraine with generals and senior officers of NATO countries reached the American public.
Independent political scientist, journalist Gilbert Doctorow.
Atulie counter offensive inakuja kumfurushaRais wa Urusi Vladimir Putin amesema kwamba Yupo Tayari kuisaidia Serikali ya Congo DRC Kuwamaliza Magaidi wa M23.
Balozi wa Urusi Jijini Kinshasa Congo DR Tayari ameshaonana na Waziri wa Ulinzi wa DRC Jean Pierre Bemba Tarehe 20.04.2023
View attachment 2598663
KUNA MTU ALIWAHI KUHOJI ....... akaambiwa WAGNER walishaingia DRC ndo mwisho wa wizi wa madini.......Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kwamba Yupo Tayari kuisaidia Serikali ya Congo DRC Kuwamaliza Magaidi wa M23.
Balozi wa Urusi Jijini Kinshasa Congo DR Tayari ameshaonana na Waziri wa Ulinzi wa DRC Jean Pierre Bemba Tarehe 20.04.2023
View attachment 2598663
Wanajaza wingi wa watu bure hawa jamaaBora wafe tuuu
Hizi koti zinwasaidiaje sasa kwamba usiku hawaonekani ama mchana piaWarusi wamebuni raincoat maalum ambalo linawasaidia usiku wasionekane na adui.
The Russians began to use special raincoats with elements of heat-insulating material at the front, which made it difficult to see a person at night in a thermal imager. This is reported by the Russian media.
It is alleged that the material absorbs the heat generated by the human body and hides the person from the thermal imager, which, in theory, allows the Russians to approach the positions of the Ukrainian Armed Forces unnoticed at night.
Note that this one is not new - even before the start of the war, they wrote about the Polish development in this direction, as well as about the US-Singapore project.
Kwa wanaojua kirusi someni hapa Chini
Россияне начали использовать на фронте специальные плащи с элементами теплоизоляционного материала, мешающего увидеть человека ночью в тепловизор. Об этом сообщают российские СМИ.
Утверждается, что материал поглощает тепло, выделяемое человеческим телом и скрывает человека от тепловизора, что позволяет, теоретически, россиянам незаметно ночью приближаться к позициям ВСУ.
Отметим, что эта не новая - еще до начала войны писали о польской разработке в данном направлении, а также об американо-сингапурском проекте.
Сайт «Страна» | YouTube |Прислать новость/фото/видео |Реклама на канале
Unadhani ,lakini huna uhakika!Nakumbuka Wana msemo wao "hawatunzi mdomo maana hawana chakula cha kulisha" (sina uhakika kama nimepatia) Ila walikuwa wanamaanisha hawekamati mateka bali Wanawauwa maana hakacha chakula cha kulisha mateka, lakini nadhani kauli hii imekuja baada ya urusi kubaini wanaopigana sasa hivi ni mamluki na Siyo Askari ya Ukraine
Ooh!mkuu nimemaanisha kwa aina ya vita(attritional) wanayopigana sasa (pia tofauti na mwanzoni mwa optn).kidogo hiyo vita ya Nazi na USSR inalingana na hii.I
una uhakika na hiki ulichoandika?
Sio inategemea na nguvu za wanaopambana?
1: Nazi Germany Vs Soviet
2: US Vs Vietnam
3: JWTZ vs M23
4: UK vs Argentina
5: Iraq vs Kuwait