Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kamasi anatoka NATO pamoja na kiranja wao marekani walikuwa wanajinadi Wana silaha Bora kumbe himars zinapigwa na drone mpaka Sasa hakuna silaha Bora kwa NATO Kama ipo itaje hapa.
 
Kama ulipita umande zelensky askali wake wanasaka vijana kwa nguvu waende vitani, unachukuliwa kwa nguvu utafundishwa uko mbele ya safari kushika bunduki. Wachambuzi wa vita wanasema hao watu wanapelekwa kwenye meat grinder -mashine ya kusaga nyama. Wengi hawana uzoefu wa vita. Hivyo watakuwa chakula ya mizinga ya Russia.
 
Sukhoi Superjet 100 ilifanya vibaya kwa international customers. Ina bei ndogo baadhi wakajichanganya wakanunua, hata spare parts walikuwa hawapati kwa muda. Warusi wenyewe walinunua kwa uzalendo wakiongozwa na Aeroflot. Hapo makampuni ya Urusi yote yaliungana pamoja na support ya wazungu hasa Ufaransa ndio wakatoa hiyo.

Ngoja tuone hii MC itakuaje Urusi ipunguze kutegemea ndege za Marekani na za Ulaya kina Airbus. Urusi ina Boeing kama 70 hivi
 
Kishaanza kunuka mdogo mdogo..


Ukrainian forces have advanced on a poorly-defended part of the riverine coast of Kherson, the southern region bisected by the Dnipro River, according to several reports during the 61st week of the war.
Kwahio umeona uandike kwa English ili umfurahishe kipanya kwa nini usiandike kwa kiswahili tu ungeeleweka zaidi' alafu ungemalizie kwa kuandika chanzo cha habari " ndoto yangu ya mwisho kabla ya kuamka 🤣🤣"
 
Kwahiyo ukitumia nafsi katika kueleza story jitahidi kama kitu kinahusiana na uwingi wa sisi sisi usijitoe.

Kwani kipindi hicho wazungu na mataifa mengine nje ya Africa wakati wanafanya kila njia kutokutegemea Tanzania ilikuwa wapi??


Kiufupi ni kwamba hakuna chá upumbavu wala nini uwezo wakujitegemea kwa sasa kwa miaka 50 au 100 mbele bado tutakua ombaomba tu.

Ya viongozi waulize wanaoongoza nchi.

Kama nilawama tusitupiane na wala tusiwatupie wanaotupa misaada.

Swali jee tunaouwezo wakujitegemea kama nchi bila ya misaada?
 
Mkuu,unafikiri ataelewa basi?
Mi nakuambia watu kama hawa ndio husababisha waafrika tudharaulike.
Hakuna kudharaulika tumejidharau wenyewe.

Wewe hapo ulipo unatumia kifaa kinachotoka hukohuko kwa mabeberu kwa nini hatutengenezi vya kwetu tukawauzia wao ili na sisi tujigambe kama tuko vizur kiteknologia?
 
Kauli za kukata tamaa hizi.Eti counter offensive ya ukraine hata ikifanikiwa russia haiwezi give up au kurudi nyuma.

That means there is no any importance of counter offensive, because whatever the ukraine can do russia can not bowdown.

The only solution is, at negotion table not at the battle field.
Na hayo maneno wameongea majenerali na wachambuzi wabobevu wa vita.
 
Akili za kishamba ziko wapi hapo??

Wewe uliyenaakili za kimjini umefanya kitu gani ili tusitegeme chá nje ya Tanzânia?

Wao walipokuwa wanasomesha watoto wao na kuwapatia mazingira rafiki na kujiendeleza ili wasistugemee sisi tulikuwa wapi?
 
Tutazidi kuwachinja🍉🍑🍒🍅🥔🥝🍆🍎🍑 muda mwengine uje na facts..
 
According to Fedorov, Russians are in panic but continue to prepare defensive structures and mine fields in the towns of Enerhodar, Kamianets-Dniprovskii, Tokmak, Molochansk, Vasylivka.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hawa Jamaa ni balaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123]



Ukrainian electric and thermal energy company Centrenergo has started exporting electricity to Moldova.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…