Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

USA wamechukizwa sana na Zelensky kwa kitendo chake cha kuongea na Rais Xi Jiping kuhusu swala la amani hapo Ukraine.

USA wamemtaka Zelensky awaeleze kwa kina ni mambo gani waliyoongea na kukubalina.


View attachment 2601610
Marekani ni taifa la kishenzi sana.
Nikisema marekani ni taifa la kishenzi namaanisha Viongozi na sera ya nje ya taifa la mareakani.
Raia wengi wa Marekani wala hawana shida masikini.
 
Hivi ni nchi gani ya Africa na watu wake ukiwemo wewe inayoweza kujitegemea bila ya misaada ya wazungu??


Unachokitumia kuposti hapa ni miongoni kwa vifaa na muendelezo wa wahawo tunaowadharau wakati hatuna uwezo huwo.

Kiufupi tusitukane mamba wakati hatujavuka mto.

Ili tuweze kutukana jambo lá muhimu kila kitu cháo tuwachane nacho tutumie vyetu tuposti.

Zingatia kutukana hakusaidii sisi kujitegemea.
[emoji1]umenifanya nitabasam kwa kuudharau uwezo wako wa kupambanua mambo.
Natambua wengi Tz hatukua na tamaduni ya kufatilia siasa za kimataifa hasa nje ya mipaka ya Ulaya na kina Amerka kiujumla.

Ila unanisikitisha sana kwasababu umeshindwa kabisa kujifunza namna ya kuufikirisha ubongo wako, nabaya zaodi umo hum ndani ya uzi kwa kipindi kirefu sana na ni mfatiliaji sana wa maoni ya watu hum.

Nakudharau sana kwasababu umeshindwa kuelimika juu ya Elim kubwa inayotolewa na wadau hum ndani.

Nlitangulia kucheka comment yako kwasababu nmekufananisha na kijana wangu wa kiume yuko darasa la 6, akili mnafanana ila yeye atakuwa ameshakuzidi kwasababu nilimuelewesha na alinielewa mno.
Umeuliza swali ambalo aliniuliza j2 iliyopita, kwamba Afrika tunaweza kuishi bila Mzungu?[emoji1]

Jifkirishe aloo, au upo kupigania haki zenu?
Maana wazungu ndio watetezi wa haki zenu.


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ukrainian M777 destroyed by Lancet drone on the western bank of Kherson
IMG_20230427_194152.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ukrainian 5P85S TEL, part of the S-300PS air defense system was destroyed by a Russian Lancet-3 loitering kamikaze drone.

Near Kherson region
Screenshot_20230427-194557.jpg
Screenshot_20230427-194612.jpg
 
[emoji1787][emoji1787]
Ukraine Army South Command say Russian Air Force used 3 KAB bombs, 6 Lancet drones and 1 Kh-31 missile in Kherson.

It’s interesting how they say 3 KAB bombs. KABs are laser guided bombs. Laser guided weapons have a max range of 17km. RuAF has mainly used IMU-GLONASS guided glide bombs which can be launched outside Ukrainian SAM range.

Ukrainian AD must be very weak in Kherson if RuAF is able to deploy short range munitions
IMG_20230427_194947.jpg
 
Baada ya Urusi kuwafyeka wanamgambo wa Ukraine maeflu sasa Zelensky ameanza kuwavizia watoto kwenye migahawa awapeleke mstari wa mbele [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zelensky’s soldiers wait outside McDonald’s in search for any military aged men.

They’re getting Happy Meals and sending men to the Bakhmut meat grinder
Screenshot_20230427-195759.jpg
 
Ukrainian humanitarian aid corruption:

Ukrainian army officer Yevgeny Borisov bought a new ~$250000 Mercedes Benz G63 G-wagon. Registration number VN 1111 RS.

The car was put in his wife’s name, Alexandra, near the military recruitment office in Odessa.

The car was driven to Spain after crossing into Poland. The vehicle is now located on 5 Avenue Playas del Duque, 2, 29660 Marbella, Málaga province.
IMG_20230427_200947.jpg
 
Ukrainian humanitarian aid corruption:

Ukrainian army officer Yevgeny Borisov bought a new ~$250000 Mercedes Benz G63 G-wagon. Registration number VN 1111 RS.

The car was put in his wife’s name, Alexandra, near the military recruitment office in Odessa.

The car was driven to Spain after crossing into Poland. The vehicle is now located on 5 Avenue Playas del Duque, 2, 29660 Marbella, Málaga province.View attachment 2601680
Wanajitajirusha na fedha za west. Ndo maana kruta wao wamefanya kujikamatisha kwa warusi
 
“We went and killed everyone. There were women, men, seniors, and children.”

These were the words of Azamat Uldarov, an ex-fighter of Russia’s Wagner mercenary group who personally admitted to shooting dead a five or six-year-old girl, speaking to Russian independent outlet Gulagu.net. Uldarov, together with ex-Wagner commander Aleksei Savichev, both described being given and carrying out orders to “clean” entire buildings or areas in Donetsk Oblast of civilians by murdering them all.

The confessions came out on the back of a video of Russian troops, later reported as also belonging to Wagner, beheading a Ukrainian prisoner-of-war with a knife.

Three days after the Wagner confessions, Russian state-sponsored patriotic singer Shaman released a new music video entitled “We,” of him walking down Red Square sporting a full black leather outfit, combed blond undercut, and Russian flag armband.

“Faith and love is with us, God is with us,” he sings.

No, this is not a fever dream, this is fascist Russia in 2023.

Read our full editorial article here: Editorial: Today's Russia is fascist. It’s time to start calling it that

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
🪖14,000 Ukrainian soldiers have returned to defend homeland after receiving training in the UK, Minister for Defence People Andrew Murrison said, Sky News reported.

[emoji328]: UK Defense Ministry

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The Ministry of Digital Transformation and its partners will soon equip new UAV strike companies with the necessary equipment. In addition, the Deputy emphasized that a revolution is currently taking place in the drone manufacturing market in Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The Peace Formula proposed by President of Ukraine Volodymyr Zelensky aims to end the war once and for all, Ukrainian Prime Minister Denys Shmyhal says, following his meeting with Cardinal Secretary of State Pietro Parolin in the Vatican.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom