Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo ww ukinunua juis kutoka Azam utasema unaishi kwa kutegemea msaada wa Baghareesa sio?
Maana ya nchi kujitegemea ni kuwa na uwezo wa kutimiza mahitaji muhimu ya raia wake kama afya ,elimu ,maji,umeme, bila kutegemea msaada wa nchi nyingine.
Mkuu unajipa shida bure ya kumuelewesha mtu ambaye anajua ukweli' alafu anakupotezea muda wako bule yeye anajua kila kitu ila yupo Hapa kufurahisha tu
 
Akili yako imezama sana kwenye utegemezi hadi unashindwa kutofauti kati misaada na kitu ulichokipata kwa kununua kutumia pesa yako. Hizi sim tunazotumia sio misaada bali ni pesa zetu wenyew
 
marekani wao wana waza vita tuu hawataki amani hawa jamaa shenzi type
Kipind hiki cha wagombea kujiandaa na uchaguz mkuu ndan ya USA wagombea wanatafuta masponsa kufadhili harakat zao

Km unavyojua anayemlipa mpiga zumar ndie anaechagua nyimbo wanasiasa wakishaingia madarakan wanapaswa kurudisha fadhila kwa wafadhil na hapo ndipo unapoona licha ya umilik silaha kiholela kunaitesa mno us lkn hakuna mwanasiasa anayethubutu kuanzisha kampen ya kupinga raia kumilik silaha
 
Waache waendelee kuota tu 😀!!! Kitakachofuata USSR itaungwa tena
 

Mtu kama wewe bila shaka hata marinda huna. Kama ni mtu mzima bhs namashaka na Elimu yako au akili yako. Kwa mtu mwenye elimu hawezi andika upumbavu kama huu. Waafrica nani alituroga???
 

Hawana hicho kiburi za kuzuia silaha maana huku ndo wanakopata pesa. Kwenye kuuza silaha hata hizi ndogo wanazomiliki raia ni gharama. Serikal inapata kodi nyingi ni ngumu kuzuia. Umiliki wa silaha hovyo hauwezi isha US kila mtu anamiliki gun, ndomana matukio ya mauaji ni mengi sana.
 
Kwa hiyo ww ukinunua juis kutoka Azam utasema unaishi kwa kutegemea msaada wa Baghareesa sio?
Maana ya nchi kujitegemea ni kuwa na uwezo wa kutimiza mahitaji muhimu ya raia wake kama afya ,elimu ,maji,umeme, bila kutegemea msaada wa nchi nyingine.
jinga holo bado lina hitaji viboko vya shule kichwani hamna kitu kabisaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani hakuna mtu mwenye ubongo mdogo kama wewe hapa jamii forrum.
 
Mkuu sorry!Ila naona kama hii video ni ya muda mrefu.i means mwanzoni mwa vita!
 
Fanyeni UNAZI mkubwa kabisa, kusanyeni askari wa NATO mliowawekeni tayar hupo poland sweden finland na kwengine kote mje muvamie kwa pamoja, huenda mkamshinda Baba wa amani Putin...Putin asipoandikwa kwenye vitabu miaka 200 ijayo kuwa Rais bora aliwahi kutokea karne ya 21 sitakua na imani na wanadamu milele nikiwa huko kwa Mungu..huenda ndio maana Mungu anaacha watu wanateswa maana wanapenda kuteseka...
 
Kishaanza kunuka mdogo mdogo..


Ukrainian forces have advanced on a poorly-defended part of the riverine coast of Kherson, the southern region bisected by the Dnipro River, according to several reports during the 61st week of the war.
Sijawah ona nchi yenye kiongozi mstaarabu kama Urusi, inaacha adui ajipange aje wapigane tena, anasubir adui ajikusanye kwa mikopo, misaada, propaganda, hila za ndani na nje ili aje tena ulingoni ajaribu bahati yake..[emoji56][emoji56] ingekua ni "nchi ileeee" hakika isingekupa nafasi kujitafakari..ingeshalete nchi zingine 30 zikudonyoe kwa zamu..
 
Wewe jamaa kajitafakari....usifikiri Urusi ni zuzu kama unavyoandika hapa..Isingekua Imejipanga basi hadi leo huo utawala wa Putin usingekuwepo madarakani...
Nitajie nchi yoyote duniani hapa...achia mbali ulaya na marekani yenyewe, ipigwe vikwazo ilivyopigwa Urusi halafu iko poa na inaendelea kutawala maeneo ya nchi nyingine...
Kakae chini ya mti wenye kivuli ujitafakari upya..acha mihemko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…